Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
THE SIGHT OF a passenger jet performing stunts might terrify you, but it shouldn’t. The Boeing 737 MAX is the first new plane of Boeing’s second century of existence, but before it can enter...
0 Reactions
1 Replies
515 Views
Hivi naweza kupata chanel za azam tv kama azam one, azam two, azam sport hd n. k Msaada wataalamu
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa developers, ningependa kama kuna mtu anafahamu any messaging api specifically kwa mitandao ya Tanzania, nahitaji kuweka feature ya authentication kwa kumtumia user sms yenye pin number. I...
0 Reactions
4 Replies
930 Views
Wadau nilikuwa naomba msaada wa namba ambazo nasikia ukiweka kwenye king'amuzi chochote haswa cha startimes unaweza kuona channel za DSTV free.
2 Reactions
14 Replies
3K Views
..Helicopter yake ilipaa?...ilipaa hadi wapi?..ana mpango gani au ndo basi tena?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nina laptops aina ya Asus ni mini sasa Hdd yake ni kama 28 Gb nahitaji ku upgrade je hard disc zinaingiliana au zinatofautiana kutokana na mashine nahitaji ya 200Gb ebu nipeni na bei kabisa
0 Reactions
8 Replies
884 Views
Nimeinstall two outdoor AP( tp link TL WA5210g) ambz nimezconfigure into bridge mode ( point to point) . Nikirun timed ping y the other device napt reply chache sana. Distance btn them to is 20m...
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Wakuu Ninatumia lumia 1520 ilikuwa na window 8.1 sasa nika update kwa kutumia wi-fe ikaja window denim. Baada ya hapo nikaingia update advisor wakaniambia naweza update window 10. Nikarudi...
1 Reactions
5 Replies
736 Views
Habari wana ndugu kuna picha naonaga huku kwenye mitandao zinatoka vizuri na vitu ambavyo havihisiani na image inayokusudiwa hufifia na kubaki kitu kilichokusudiwa tu kinaonekana vizuri. Je ni...
0 Reactions
60 Replies
17K Views
Habari wana wataalamu wa JF naomba kujua hizi applications zilivyotengenezwa, I need a vivid details since am newbie in the industry. Mobile money (mpesa,tigo pesa,airtel money etc)..........i...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Yaani Internet inasoma fresh msg kwa whatsapp kama kama, ila simu haziingii pia hazitoki, msg za kawaida pia hazitoki haziingii , ktk setting nimeenda kwenye Sim management nikakuta voice calls...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
wakuu naomba kuuliza ubora wa hizi Tv aina ya Star x...nimeona bei zake ni nafuu mno ukilinganisha na Lg,samsung etc..kama zina ubora wa picha nikanunue fasta...nimeona 43' inauzwa laki 650000
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari..naombeni mwenye dc unlocker yenye free credit anisaidie
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Natafuta screen touch ya lenovo p780
0 Reactions
6 Replies
653 Views
Msaada jamani,yaani hii simu inashindikana kuweka application! Nimehangaika wataalam wote hawajui...
0 Reactions
8 Replies
993 Views
Jamani tangu asubuhi sijapata voda katika applications za whatsapp, facebook and the like. Ni simu yangu au ndio kwa wote
0 Reactions
4 Replies
775 Views
Habari Nina printer ya Canon 2202, nimeitumia miezi 4 toka niinunue ikiwa mpya, lakini toka juzi nikitoa copy au kuprinter kuna wakati karatasi inatoka na powder au ukijaribu kufuta maandishi au...
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Wadau,nimekuwekea hapa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo cha SAUT -SONGEA CENTER(AJUCO) Kwa mwaka wa masomo 2016/2017.Majina pia yapo kwenye website ya chuo ajuco. ac. tz
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Habarini jaman .., Mwenye kujua ni zipi game nzur kwenye APP store za Iphone tujuzane tafadhali
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom