Ikiwa ni siku chache baada ya kampuni ya Samsung kutangaza kurejeshwa kiwandani kwa simu zake aina ya Samsung Galaxy Note 7, ajali nyingine kubwa imetokea baada ya gari aina ya jeep kuwaka moto...
Tunapenda kuwatangazia kuwa Sasa tumeshusha gharama zetu za application Kwa ajili ya blog, Kwa yeyote anayehitaji tuwasiliane fasta. Bei ni 35, 000 tu, hii gharama ni pamoja na gharama ya...
Hello. Habarini. Nina ps3 model ya mwanzo kabisa model no. CECHA01.Nahitaji fundi ambaye anaweza kuichip ili iweze kucheza games za kudownload za ps3. Kwa mtu ambaye ni fundi wa kuchip kwa mkoa...
Habari zenu ndugu,
Nimekuwa nikijaribu kutafuta pc games online, lakini jitihada zangu zimegonga mwamba licha ya kujaribu kudownload kwa kutumia website hizi, kickass.com, skidrowgames.com...
Habar wakuu?
leo nimeamka asubuh natak kuperiz mtandaoni nashangaa meingiza modem kwa PC inakataa kusoma mejarbu mara kibao,hat nikifanya dial up inagoma pia.inaandika hivi pc kuwa error...
1.mobdro
Hii in zaidi ya kisimbuzi inafanyakazi vizuri sana kila aina ya channel utazipata kuanzia sports channel km
beIN sports,sky sports,fox sports
Za habari kama BBC news
CBS
CNN...
wakuu simu yangu ime`stuck,haisense kabisa kwenye touch,hadi ni`touch kama mara tano hivi ndio inakubali na si mara zote,nikipigiwa ndio hata siwezi kupokea,hai`function chochote,chanzo cha tatizo...
Wasalaam Nyote
Wakuu nina shida ya wataalam wa VideoCamera hasa zinazotumia DIV. Kwa bahati mbaya DIV zangu za tukio la sherehe yangu zimepata hitilafu ktk upande wa sauti/audio inakatakata ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.