Wale wa zte modems ambao wanatafuta software ya kupiga na kupokea simu na hata kuingiza vocha na pia mms pakueni hapa Free File Hosting & Video Downloads, Free File Sharing, Online Friends...
Wakuu nina document nataka nizitume sehemu sasa najiuliza Simu yangu ina Camera Nzuri je naweza Kupiga Picha? Ili nizibadilishe ziwe katika mfuno wa PDF kisha nikazituma? Vipi kule akitaka...
Guys nina Lenovo Laptop yenye specifications zifuatazo:
Processor: Intel(R) Celeron(R) CPU N2840 @2.166GHz 2.16GHz
RAM: 2 GB
System Type: 64-bit
OS: Windows 8.1
In short hii Laptop ni pasua...
anaefahamu activation code ya windows 8.1 jamani naomba anisaidie au jinsi ya ku activate hiyo window please wakuu maana kila mara napata ujumbe wa kuactivate window kwa maana hiyo product key yao...
Habari za muda
leo asubuhi nimewasha simu yangu nikakuta imeweka wino kwenye kioo
naomba mnisaidie kutambua tatizo kama linavyoonekana hapo kwenye picha
Samsung is recalling its new Galaxy Note 7 smartphone worldwide after reports of the device catching fire while charging.
The recall of one of Samsung Electronics' flagship devices is an...
Wakuu natumia huduma za halotel naombeni msaada Wanasema kwa TZS. 999/= unapata 600MB za (KASI) mliowahi kutumia baada ya Kuisha hizo 600MB Speed ina drop around ngapi (I mean Downloading Speed...
Habari wanajf.
Nimebuni wazo la kuanzisha Hub ya innovations. Hivyo natafuta vijana 9 walio serious tuunganishe nguvu ili tuwe na hub yenye nguvu ambayo itakuwa inakusanya na kuendeleza ubunifu wa...
Habari JF,
Taarifa ambazo hazija thibitishwa ni kwamba ile search engine pendwa ya torrentz.eu imefungiwa pia.
Kwa sasa ukiingia katika hiyo link hutoweza kusearch kama zamani, utaletewa ujumbe...
Heloo!! Habari zenu wakuu naomba kusaidiwa jinsi ya kupata fedha youtube maana nasikia tu kwa watu youtube unaweza kugain money sasa mimi kwangu ngumu naombeni maujuzi yenu.
Hello Wana JF Tech
Nimepata idea Moja Kwa vile Naweza Nunua Vitu kupitia Online Mfano Ebay na Aliexpress pamoja Na Alibaba Vikanifikia Je Ninaweza Kutumia Njia Hii Kununua Vitu Vingi Then Nikaja...
Naombaeni msaada wakuu. Nikitaka kuistall apps nilizotumiwa kwa cm transfer zinaniambia there was a problem of parsing this file kama sijakosea. Naombeni mnisaidie maana Nina files nyingi sana...
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa au kuelekezwa namna ya kutumia laini mbili za mitandao tofauti kwenye simu moja, mfano nipate sms zote za magroup ya laini hizo kwa muda mwafaka, natanguliza...
Natengeneza BLOG ZA WORDPRESS kwa TZS 3,000/=(Elfu tatu tu) na kukufanyia settings zote za subdomain: mfano www.abc.wordpress.com.
Natengeneza Animated web banner,kwa wale wanaotaka kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.