President Museveni has linked the apparent appeal of his son, Gen Muhoozi Kainerugaba, to younger Ugandans to their “frustration” with weaknesses within the ruling National Resistance Movement...
Picha: Rais wa Uganda Yoweri Museveni
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekaidi wito wa Mataifa ya magharibi wanaotaka sheria kali dhidi ya ushoga ifutwe ikiwa ni moja ya sheria kali zaidi duniani...
Katika Nchi za Afrika Mashariki, Nchi ya Uganda imedhamiria kwa dhati kulinda maadili na utamaduni wa kiafrika kwa kutunga sheria kali ya kuwanyonga Hadi kufa mtu yeyote atakaye thibitika kuwa...
Kweli nimeamini Uganda hawana utani kabisa, kampeni takatifu ya kuwafyeka mashoga imeanza kwa kasi ya 5G
Wenye nyumba wameanza kuwatimua mashoga kwenye nyumba zao kwasababu sheria iko wazi kabisa...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameyataka Mashirika Yanayosimamia sekta ya umeme kushusha bei kutoka Senti 8.5 Hadi Senti 5 za Dola Ili Kuchochea Sekta ya Viwanda..
Nanukiu'Hatuwesi kujadili...
My Take: Vikwazo vikiwekwa watakaoumia ni nyasi wala sio kina Museveni, so watu wawe tayari kwa matokeo.
--
President Museveni has signed the anti-gay bill into law following improvements...
Wabunge wa upinzani wameandamana kupinga bajeti ya Tsh. Milioni 220.6, sawa na Ush. Milioni 350 iliyopendekezwa kwa ajili ya Nguo, Vitanda, na Viatu vya Rais Yoweri Museveni, kwa Mwaka wa Fedha...
Marekani umechukua uamuzi huo dhidi ya Anita Among huku Mbunge Asuman Basalirwa akisema yeye pia anaweza kuwa mwathirika wa kuwekewa vikwazo baada ya Uganda kuhalalisha Sheria dhidi ya LGBTQ...
Wizara ya Afya imevunja ukimya kuhusu wimbi la sasa la mafua na kikohozi miongoni mwa wananchi.
Wanachama kadhaa wa umma wameripoti visa vya hivi karibuni vya kikohozi na mafua na wengine...
Kwa nini Waganda siyo wengi JamiiForums au hawafahamu kuwa kuna JF inayozungumzia maswala ya Afrika Mashariki, tatizo nini maana hapa EA news hata Kingereza kinatumika?
Mtoto mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kuwa atastaafu kutoka jeshi mwaka huu, baada ya karibu miongo mitatu ya kuhudumu ndani ya Jeshi.
Muhoozi Kainerugaba, jenerali wa jeshi...
Waziri wa Nchi, Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda, Kanali Mstaafu Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya Mei 2, 2023 na mlinzi wake akiwa nyumbani kwake Kyanja, Kampala...
Shule ya msingi Sekaza Memorial iliyopo kata ya Kiringente, Wilaya ya Mpigi nchini Uganda imefungwa kwa muda usiojulikana kufuatia taarifa kuwa kuna mapepo yanawashambulia wanafunzi.
Uongozi wa...
Rais #YoweriMuseveni amepiga marufuku kusafiri nje ya Nchi na posho za ndani kwa Wabunge na Watumishi wa Umma ili kuokoa Fedha za kuendeleza sekta muhimu kama Mafuta na Gesi
Hata hivyo, Waziri wa...
Mahakama imetupilia mbali ombi la Fortunate Kyarikunda aliyetaka kubatilisha uamuzi wa faini ya Tsh. Ush10.4 Milioni (takriban Tsh. 6.2 Milioni) kwa kuvunja uchumba na kwa Richard Tumwine.
Mwezi...
Polisi Jijini Kampala wanamshikilia Kijana wa Miaka 18, aliyetumia akaunti feki ya Facebook kwa jina Dkt Ronnie akidai kumiliki Kituo cha Afya kisichokuwepo kiitwacho Medical Scrub Uganda...
Askofu Mkuu wa Anglikana, Stephen Kaziimba Mugalu amenukuliwa na Tovuti ya Serikali ya #NewVision akisema kuwa bado ana zawadi zinazojumuisha 'kiasi kikubwa cha fedha' zilizokusudiwa kwa Wanawake...
Mwenzako akinyolewa, za kwako tia maji.
Imedhihirika kumbe tunaopata shule siyo kina sisi peke yao, bali na serikali husika hasa zile zenyewe sugu kwenye kukiuka haki za watu.
Hapa, Uganda...
WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesisitiza kwamba Russia haihusiki kwa vyovyote vile na ongezeko la bei ya bidhaa muhimu kote duniani, na kwamba taarifa hizo zinaenezwa na nchi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.