Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Renowned Ugandan businessman Apollo Nyegamehe has died after the car in which he was travelling rammed into a stationary lorry along Mbarara-Kabale highway in Ntungamo District. The ruling...
1 Reactions
2 Replies
785 Views
Uganda. Waumuni wa Kanisa la Bunyonga, kaunti ndogo ya Kayonza wilaya Kayunga nchini Uganda ambapo mwanaume na mwanamke walikutwa wakifanya mapenzi katika madhabahu ya kanisa hilo, wamefanya ibada...
1 Reactions
6 Replies
689 Views
Wapenzi hao wamekutwa wakifanya kitendo hicho eneo la Madhabau Nchini Uganda na kusababisha kikundi cha Waumini kadhaa kuapa kutoingia tena katika Kanisa hilo lililopo Wilaya ya Kayunga. Tukio...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Ni kauli ya Meja Jenerali Mstaafu Kahinda Otafiire, aliyewaomba Wabunge wa Uganda kuondoa bidhaa hiyo katika orodha ya Vilevi vilivyopigwa marufuku Nchini humo. Waziri huyo amesema, sidhani kama...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kurugenzi ya Uraia na Udhibiti wa Uhamiaji ya Uganda (DCIC) imesema imepokea barua kutoka kwa Wanaume wasiopungua 32 wakitaka kufutwa kwa hati za kusafiria za watoto wao baada ya matokeo ya vipimo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Raia 26 wa Uganda wamefungua Kesi Nchini Ufaransa wakidai utekelezaji wa mradi huo (EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga umesababisha Madhara na umekiuka Haki za Binadamu ikiwemo Haki ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Takriban wanaume 32 wameiandikia Kurugenzi ya Udhibiti wa Uraia na Uhamiaji (DCIC) nchini Uganda, wakitaka kufutwa kwa hati za kusafiria za watoto baada ya matokeo ya DNA kuonyesha kwamba wao siyo...
2 Reactions
5 Replies
871 Views
Polisi nchini Uganda wanafanya uchunguzi wa tukio la Wanafunzi wanne (Wakiume) wa Chuo cha Jinja kudaiwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao (wakiume) mwenye umri wa miaka 15. Taarifa...
0 Reactions
3 Replies
798 Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa hatimaye amepona virusi vya ugonjwa wa Covid-19 baada ya vita vya wiki mbili na virusi hivyo. Mkuu huyo wa nchi mwenye umri wa miaka 78, katika...
0 Reactions
1 Replies
533 Views
Serikali ya Uganda imesema inapanga kuongeza umri wa unywaji pombe kutoka miaka 18 hadi 21 ili kukabiliana na unywaji pombe unaopita kiasi. Akiongea katika kongamano la pili la Wakuu wa Kitaifa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
..Kwanini Tanzania imeshindwa kuwashawishi Uganda kujenga SGR kuelekea kwetu, na sio Kenya? ===== Uganda yafuta mkataba wa China kutengeneza reli ya SGR, yaichagua kampuni inayojenga reli ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The Ministry of Education has withdrawn certificates for private schools asking all proprietors to register afresh ahead of the reopening of schools. While addressing the press at the Uganda...
0 Reactions
1 Replies
541 Views
Inadaiwa kuwa mchungaji wao aliwaambia kwamba wangekutana na Yesu Kristo baada ya kufunga kwa siku 40. Operesheni ya pamoja ya polisi sasa inaongoza msako wa kiongozi wa kikundi hicho, Simon...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wizara ya Afya Uganda imesema Kiongozi huyo alianza kupata dalili za homa ya Mafua makali ingawa hali yake sio mbaya na anaendelea na kazi zake kama kawaida huku akipata matibabu. Mapema Juni 7...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Idadi ya wanaume wanaotafuta vipimo vya vinasaba (DNA) kwa watoto wao imeongezeka, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani amesema. Simon Mundeyi amesema asilimia ya wanaume wanaodai huduma ya DNA...
0 Reactions
1 Replies
603 Views
Musa Hasahya Kasera ana watoto wengi sana ambao hawezi kukumbuka majina yao mengi. Mtu huyu kutoka kijiji cha Uganda anapambana kutoa mahitaji ya familia kubwa yake, ambayo anasema inajumuisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais Yoweri Museveni amesema yupo tayari kutoa ruzuku kwenye mbolea lakini sio kutoa ruzuku kwenye mafuta ya petroli ili Watu wakajazane na magari yao kwenye starehe zikiwemo ‘Night Clubs’ wakati...
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Mseven AKA M7. Ameamua kuitolea uvivu Marekani na kusema kwamba hawatishiki na vitisho vyao, bali sheria yao ipo palepale. Mwamba anasema kama watapewa vikwazo watafanya biashara na mataifa...
16 Reactions
52 Replies
3K Views
Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ. Ukweli ni kuwa unapokuwa rais wa...
11 Reactions
87 Replies
6K Views
Back
Top Bottom