Hii ni mvua ya rasha rasha Bado moto wenyewe,wakaze fuvu waone kitakachojiri.
Yaani Nchi Ina njaa umaskini Hadi mwisho harafu inatunishiana Misuli na Matajiri.
Walisema watakomaa vipi tena...
Mwasibota Bazzukulu!
Ndugu Rais Yoweri Kaguta K Museveni aliingia madarakani kama Rais nchini Uganda kwa njia ya mtutu wa bunduki, kama muasi dhidi ya serikali ya Milton Obote mwaka 1986, wakati...
Matukio kama haya ndio hufanya mapagan wasioabudu katika Mungu wanatushangaa sisi tunaoabudu maana mtu anakuja kabisa kupanga kuwalipua mabomu wakati mnaabudu ili mfe, huku akijiaminisha...
Rais Museveni ametoa agizo kwa serikali kuongeza mishahara ya walimu wanaofundisha programu za sayansi katika vyuo vikuu vya umma.
Agizo hili limetokana na taarifa iliyotolewa na Profesa Eli...
Norway imetangaza kufunga ubalozi wake nchini Uganda mwaka ujao kama sehemu ya mageuzi ya kina katika huduma zake za kigeni.
Taarifa iliyotolewa na ubalozi huo siku ya Ijumaa ilisema kuwa...
Wabunge nchini Uganda wamekataa pendekezo la serikali la kuruhusu wasichana wenye umri wa miaka 15 kupata tembe za kupanga uzazi ili kupunguza viwango vya juu vya mimba.
Naibu Spika Thomas...
Mahakama ya Jijini Kampala imetoa agizo kwa msimamizi wa kikundi cha WhatsApp (Admin), Allan Asinguza, kumrudisha tena mwanachama, Bwana Herbert Baitwababo, ambaye inasemekana aliondolewa bila...
Mwanasiasa mmoja wa kike wa Uganda ameibua hisia tofauti mtandaonibaada ya kukiri kwa ujasiri kuwa ameamua kujirejeshea gari la wagonjwa alilotoakama msaada kwa wapiga kura wake kwa matumaini...
UGANDA: Kiongozi wa Chama cha Upinzani cha National Unity Platform (NUP), Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine amewekwa chini ya Ulinzi nyumbani kwake baada ya kukamatwa na Maafisa wa Usalama...
Mnamo mwaka 2021 mwanasiasa wa Uganda Evelyn Anite Kajik alishindwa uchaguzi wa ndani wa chama chake cha NRM katika manispaa ya Koboko dhidi ya mpinzani wake Dr Charles Ayume, mtoto wa Spika wa...
Kwa mujibu wa Irene Bateebe, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Serikali bado iko kwenye majadiliano na Mshirika kutoka China ambaye anatarajiwa kuwekeza karibu nusu ya Fedha za Ujenzi wa Mradi wa...
Jeshi la Polisi nchini Uganda limepiga marufuku mikutano ya kisiasa ya kiongozi wa upinzani, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, kutokana na ukiukaji wa utaratibu na kumchafua Rais Yoweri...
Police in East Kyoga region are holding a 53-year-old man for allegedly raping his elderly mother aged 100 years.
The police spokesperson, Mr Fred Enanga, said the suspect is from Olitoi village...
Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika...
Waganda hasa Bazzkulu. Salamu. Mambo yanakwenda vizuri nchini Uganda licha ya ufisadi wa baadhi ya Watumishi wa Umma na baadhi ya vipengele vya tabaka la kisiasa.
Jana usiku, afisa kutoka Benki...
Taarifa ya Polisi inasema kuwa Mtuhumiwa Taheed aliamua kumchukua mtoto kwa kipimo cha DNA na matokeo yakawa hasi kuwa mtoto hawajafanana vinasaba.
Aliporudi nyumbani na baada ya malumbano...
My Take
Rwanda tayari,Uganda tayari.
---
The President was speaking at the opening of 16 factories at Sino-Uganda Mbale Industrial Park yesterday.
President Museveni has re-echoed the need for...
Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja...
Kampuni ya Magharibi ilikuja na kupendekeza kuchimba urani. “Nichimbe na upeleke wapi?” Walisema“ Isafirishe nje ili kuzalisha nishati ya nyuklia kwa ajili ya umeme na dawa. Nikawauliza...
Wanamgambo Waasi wa Allied Democratic Forces (#ADF), wanadaiwa kushambulia Shule ya Sekondari #Lhubirina katika mji wa #Mpondwe, na kusababisha vifo 40, huku idadi isiyojulikana ya watu wakitekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.