Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Moja kati ya Matukio ya kufedhehesha na ambayo hayatasahaulika aliyoyafanya Idd Amin kule Nchini Uganda ni lile tukio la kuwauwa Omba Omba vilema waliokuwa wakiishi mjini kampala baada ya...
8 Reactions
31 Replies
8K Views
The U.S. Treasury Department on Tuesday imposed financial sanctions on Uganda's chief of military intelligence, Major General Abel Kandiho, over alleged human rights abuses committed under his...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapenzi nchini Uganda wamehukumiwa kifungo cha miezi 30 jela baada ya kunaswa kwenye video wakishiriki tendo la ndoa katikati ya barabara inayotumiwa na watu wengi mchana kweupe. Video ya wapenzi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Uganda inasema kwamba washukiwa saba wameuwawa na wengine 106 wanashikiliwa kutokana na matukio ya kigaidi. Hayo yametokea wakati wa oparesheni iliyofanywa na vikosi vya usalama wakihusishwa na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi karibuni, habari kwamba "kwa sababu serikali ya Uganda imeshindwa kulipa madeni ya China, China itachukua uwanja pekee wa ndege wa kimataifa wa nchi hiyo Entebbe International Airport”...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadai ni kelele chache zinazopigwa kuzorotesha mahusiano ya China na Uganda JamiiForums mobile app
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Nimesikiliza hotuba ya Rais Museveni akihutubia viwanja vya Ikulu, jijini Dar. Ameongea mambo mengi ya msingi sana. Kama humjui unaweza kusema anaongoza taifa tajiri zaidi duniani. Anasema...
12 Reactions
31 Replies
4K Views
President Yoweri Museveni has described the recent twin bombings in Kampala as cowardly acts, pinning it on ADF rebels that he says the army has defeated before. “We have fought and defeated them...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
President Museveni Tuesday said the terrorists have exposed themselves at a time when Uganda’s security infrastructure has improved, compared to what it was in 2018 when he made the speech to...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Police have shot dead five suspects and arrested 21 people as part of an investigation into twin suicide bombings claimed by the Islamic State group that killed four people on Tuesday. Tuesday's...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Shirika la Umoja wa Matifa linaloshughulika na Watoto (UNICEF) limeitaja Uganda kuwa nchi iliyofunga shule kwa muda mrefu ambao ni wiki 77 japo wana idadi ndogo ya maambukizi Watoto zaidi ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
President Museveni has revealed that schools and the rest of the economy will be fully reopened in January 2022, urging Ugandans to flock the nearest health centres for vaccination. He said that...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Leo Milipuko Miwili ya mabomu imetokea jijini Kampala. Wabunge watawanyia kuokoa maisha. Wabunge wa bunge la Uganda wakiwa nje ya jengo baada ya Mlipuko kutokea Jijini Kampala...
3 Reactions
67 Replies
8K Views
Jumanne 16, Novemba 2021, zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikionesha mlipuko uliotokea katikati ya mji mkuu wa Uganda Kampala. Taarifa kutoka katika mamlaka nchini humo zimeeleza kuwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Police have said the twin explosions that hit Kampala at a police checkpoint and Parliamentary Avenue on Tuesday were carried out by three suicide bombers who died on spot. Police also said three...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The move to have an East African Community (EAC) international passport has hit a snag in Uganda after MPs blocked it over its legality and the cost to users. In 2016, EAC leaders agreed to...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi! Raia mwenye asili ya Asia akiwa kwenye pikipiki yake avamiwa na wezi kwenye Bodaboda kupigwa na kunyang'anywa begi baadaye ikagundulika kulikuwa na kiasi kidogo tu cha shilingi...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Bunge la Uganda limetangaza kwamba wabunge ambao hawajapokea chanjo, hawataruhusiwa kuhudhuria vikao vya bunge hilo kuanzia leo. Naibu wa spika Anita Among, amesema kwamba hatua hiyo inalenga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mlipuko umetokea katika mji Mkuu wa Uganda, Kampala na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine watano kujeruhiwa Rais Museveni amesema watu watatu waliacha ‘Mizigo’ kwenye eneo la tukio ambayo...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Aziz Bashir(40) aliyewahi kuwa dereva wa Umoja wa Mataifa(UN) alipata ajali na muendesha bodaboda ambaye hakufahamika ambaye alikwangua gari lake, Mengo, #Kampala Walitokea bodaboda wengine na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom