Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Nilienda Uganda kwenye mitkasi yangu nikabook lodge moja Kali tu donwtown Cumpala pale Bakuli mu bitara. Tangazo lao likanitisha maana kila baada ya sentensi moja kuna neno kisenge..loh! Im...
2 Reactions
73 Replies
21K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema serikali yake haitaingilia kati hali ya sasa ya uchumi nchini humo huku kukiwa na kupanda kwa gharama ya maisha kwa kiasi kikubwa kutokana kupanda kwa bei ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada.. Inaelekea licha ya watu kutafuta pesa kwa jasho na mateso mengi lakini hawajali kabisa matumizi ya pesa zenyewe.. Uganda inaweza kuwa mfano na kuwakilisha matumizi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana nmeona mwanadada mrembo Ila kutokana na lugha gongana sijaelewa mwenye clear information atuambie je huyu mdada ndiyo mkuu wa MAJESHI au ? Na je Kuna uwezekano mwanamke kuwa special force...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Picha: Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Benki kuu ya Uganda ipo kwenye harakati za kutafakari matumizi ya sarafu ya kidigitali Nchini humo, pia haijapiga marufuku sarafu ya kimtandao ‘cryptocurrencies’. Benki kuu ya Uganda inatafakari...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Luteni Jenerali Muhozi asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa nderemo. Kianzio cha taarifa hii kinapatikana hapa Happy Birthday, Mr(almost) President Muhozi Wakati wa sherehe yake Lt. Jenerali...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi majuzi vikosi vya jeshi la Uganda UPDF vimeivamia chuo kikuu Cha Victoria na kumuchukua Mkuu wa chuo hicho maarufu. Dr Lawrence Muganga anadaiwa anaipeleleza serikali ya Museven na...
18 Reactions
185 Replies
19K Views
Hizi ni rasha rasha, mvua inanyesha rasmi kama linavyosema bango
2 Reactions
36 Replies
4K Views
alfajiri ya jana saa 11.30 hali ya hewa ilikuwa mbaya katika uwanja wa ndege wa Entebe (poor visibility) lakini jamaa akalazimisha kutua bila kuuona uwanja. matokeo yake ikatua nje ya uwanja. all...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
President Museveni Sunday advised Ugandans to eat cassava as alternative to bread whose price has gone up due to disruptions in wheat supply, dashing hopes of many vulnerable Ugandans who were...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Museveni awachana live Waganda. Kuleni Mihogo kama mkate umepanda bei.👇
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema baada ya kifo cha Oulanya ametoa amri kwa Polisi kufuatilia wanaondika kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jacob Oulanya alifariki baada ya kupewa sumu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mawakili wa wabunge wawili wa chama cha upinzani cha NUP nchini Uganda wamesema majaji wanaogoba kusikiliza maombi ya wateja wao kupewa dhamana. Hatua hiyo imekuja baada ya Rais Museveni kutoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mahakama ya Uganda imetoa hati ya kumkamata mwandishi wa vitabu aliyetoroka nchi baada ya kushtakiwa kwa makosa ya kumtusi Rais Yoweri Museveni na mwanawe, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, wakili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nathan Okori ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Oulanyah amesema Mtoto wake (Spika Jacob) alipewa sumu ambayo ndio imesababisha kifo chake. Mzee Okori ametoa kauli...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
For years Uganda has experienced impunity in her politics since independence to now as many know a leader who ceases power by a coup is not a leader and we have seen so many ruthless counters on...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Rais Museven kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametangaza kifo cha Spika wa Bunge wa Uganda Jacob Oulanyah. Museven anaeleza kuwa kifo hicho kimetokea leo majira ya saa 4:30 asubuhi...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
A Ugandan novelist charged with insulting President Yoweri Museveni has taken the government to court over his alleged torture by soldiers. Kakwenza Rukirabashaija was arrested in December after...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
A Ugandan author who had spent nearly a month in jail after criticising President Yoweri Museveni has fled the country, his lawyer has said. Kakwenza Rukirabashaija, an internationally acclaimed...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom