Brave Ugandan Teen Tricks Western Leaders with Question that Prove they are All Liars
Ugandan climate activist Vanessa Nakate has confronted rich countries over their refusal to provide
finance...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amelikosoa bunge la Umoja wa Ulaya baada ya kuitaka serikali yake kusitisha mradi wa kimkakati wa bomba la mafuta na nchi jirani ya Tanzania.
Wiki mbili zilizopita...
Wahudumu wa Afya walio katika Mafunzo ya Kwa Vitendo (Interns) wakiwemo Madaktari, Wauguzi na Wafamasia wanaokabiliana na Ebola katika Hospitali ya Mubende wametangaza mgomo kupinga Ufinyu wa...
Kwa mujibu Wizara ya Afya, hadi kufikia Septemba 24, 2022, jumla ya wagonjwa 31 waligundulika kuambukizwa na wengine wakihisiwa kuwa na maambukizi hayo, ikiwa ni ongezeko la haraka kutoka visa 7...
Wizara ya Afya ya #Uganda imethibitisha maambukizi mapya ya Ugonjwa wa Ebola baada ya kulipuka kwa ugonjwa huo na kuua mtu moja mwenye umri wa miaka 24, mwanzoni mwa wiki hii eneo la Mubende...
Mgonjwa mwingine ambaye ni mtoto mdogo, amefariki kwa Ebola katika hospitali moja katikati mwa nchi hiyo, kwa mujibu wa taarifa za gazeti la New Vision la nchini humo.
Maafisa wa afya wanasema...
Muswada huo uliowasilishwa Bungeni una mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambazo endapo zitapitishwa, kwa mara kwanza wananchi wake wataweza kujitolea viungo vya mwili na kuruhusu upandikizaji...
Waziri wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemkorasia ya Kongo anasema Uganda imeanza kuilipa Kinshasa fidia ya dola milioni 65 kati ya 325 kama ilivyoamriwa na Mahakama ya Sheria ya Kimataifa ICJ...
Bunge la Uganda limepitisha Sheria ya Mtandao ikilenga watumiaji wa kompyuta Nchini humo.
Baadhi ya Wabunge wamenukuliwa wakisema kwamba watakwenda kuipinga Mahakamani itawahusu watu...
Afande it's here
Flash Report:
Torture
SD Ref: 06/03/09/2022
Brief facts
It was today on 3rd September 2022 at around 1500/c when the OC Busula Police Station recieved information that a video...
Polisi nchini Uganda imewafungulia mashtaka maafisa wake wanne waliovamia sherehe ya harusi wiki iliyopita na kumkamata bibi harusi wakimtuhumu kwa wizi.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Polisi, Fred...
Serikali inaongeza vituo 2,000 zaidi vya Wi-Fi ya bure kote nchini katika hatua ambayo inatajwa kuongeza ufikiaji wa huduma ya intaneti katika maeneo ya pembezoni mwa nchi, ikiwemo wakati wa...
Watu 14 wamefariki Dunia katika Mji wa Arua Nchini Uganda baada ya kudaiwa kunywa pombe inayodhaniwa kuwa na sumu.
Baadhi ya watu wengine wapo hospitalini wakiwa na hali mbaya, Polisi wameeleza...
Moazu Kromah raia kutoka nchini Uganda amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na Mahakama ya jijini New York kwa kosa la kula njama za kusafirisha Pembe za Faru na Pembe za Tembo...
Kamati ya Bunge ya Mamlaka za Serikali na Biashara za Serikali (COSASE) imeliambia Bunge la nchi hiyo kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Uganda, Jennifer Bamuturaki, hakuwa na sifa...
Organised by Art of Living Uganda
Venue: IUEA Auditorium International University of East Africa, Kansanga, Gaba Road, Kampala
Date: 24th August 2022
Time: 4.30pm to 6.30pm
Free Entry...
Bazara la Mawaziri la Uganda limeidhinisha matumizi ya Kiswahili kutumika kuwa lugha rasmi nchini humo pamoja na kuwa somo la lazima katika Shule za Msingi na Sekondari.
Maamuzi hayo yamefikiwa...
SHULE zote za msingi nchini Uganda, Januari mwakani zitaanza kufundisha lugha ya Kiswahili na baadae kufanya mitihani kwa lugha hiyo. Hatua hiyo imeelezwa ni mkakati wa nchi hiyo, kutaka kujitanua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.