Polisi nchini Uganda wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya raia walioandamana katika Miji Mitatu kupinga kupanda kwa bei ya mafuta na vyakula muhimu huku wakiwashikilia watu kadhaa.
Maandamano...
Shule ya Sekondari Nyakasura iliyoko Magharibi mwa Uganda imekuwa gumzo baada ya wanafunzi wa kiume wa nchi hiyo kuvaa sketi ikiwa ni sare ya shule hiyo ambayo imeanzisha tangu Mwaka 1926.
Mkuu...
President Museveni has disavowed reports that Uganda is now a middle-income status nation
"I didn’t say we have already become but I said we are entering middle income status,” Mr Museveni said...
Hongera EAC, mpaka hapo tumeonyesha uongozi, wanajeshi wa Uganda, Rwanda na Kenya ila Tanzania na mdogo wake Burundi kimyaaaa, bora Burundi kidogo tumemskia kule Somalia mara moja moja...
Ugandan police fired tear gas and arrested at least a dozen protesters on Monday after demonstrations against steep food and fuel price increases in the East African nation turned violent.
The...
Uganda imegundua amana za dhahabu katika Wilaya ya Busia na Katika jitihada za kukuza uchumi wa nchi hiyo, serikali imeipa leseni kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Kichina, Wagagai, ya kuanza...
Ndugu zangu spiritual Jews duniani kote. Leo ni kumbukumbu ya mashujaa wa Kiisrael walipowaokoa ndugu zao pale Entebe Uganda.
Kijana Jonathan Netanyahu akiwa na umri wa miaka 28 aliongoza...
Benki ya Dunia imesema pato la kila mwananchi wa Uganda ni dola 850 kwa mwaka wa fedha unaoishia 2022, huku uchumi ukikua kwa wastani wa asilimia 3.7 ambapo ni chini sana ya kiwango cha chini cha...
Jeshi la uganda limesema kuwa limegundua kituo cha mafunzo kwa wpiganaji wa kiislam Km 60 tu kutoka kampala, watu watatu wanashikiriwa, aidha vyuma vya kutengenezea milipuko vilipatikana pia...
Picha:Mabinti wa museven ni pisi kali balaa hawa kiasili ni waganda kweli?
Mmeona pisi kali za mzee baba? Hawa ni waganda kweli kiasili maana wanafanana na watu wa Rwanda kwa asilimia 100%
Ila...
President Museveni has blamed past leaders and colonialists for Uganda’s poverty, saying they “poisoned the minds’’ of hardworking farmers.
“When the colonials came here, they made our people...
Tafiti za Mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa zimebainisha kuwa zaidi ya watu nusu milioni sawa na asilimia 40 ya wakazi katika eneo la kaskazini-mashariki mwa Uganda la Karamoja wanakabiliwa na...
Kainchi kadogo ila wanajituma...
Uganda has reached the middle-income status despite an onslaught of crises in the past three years, President Yoweri Museveni said on Tuesday.
According to...
Dear kakensa,
I want to bring to open the troubles at our new Uganda Airlines and how it is going to collapse soon. This place has become like Hell after the suspension of some staff orchestrated...
Polisi trafiki Mjini Kampala asubuhi ya leo Jumatatu 30-may 2022 wamemkamata dereva wa Ikulu baada ya kudaiwa kujaribu kupiga U-turn katika lango la shule ya Msingi ya Aga Khan na kuwatisha...
Kiongozi wa upinzani Nchini Uganda, Dkt. Kizza Besigye amekamatwa na amefunguliwa mashtaka ya uhalifu baada ya kuitisha maandamano ya kupinga kupanda kwa bei za bidhaa muhimu na kutaka Serikali...
Umoja wa Wauguzi na Wakunga wa Uganda (UNMU) umetangaza kuanza mgomo kuanzia leo Mei 26, 2022 kutokana na malipo duni, ikiwa na maana wanaungana na wataalam wa afya wengine walioanzisha mgomo...
Waziri wa Uganda akinukuliwa
"Ikiwa hutumii akili alizokupa Mwenyezi Mungu, usimlaumu unaposalia kuwa maskini. Jitahidi kuushinda umaskini kwa sababu kuwa tajiri ni utukufu,"
Gazeti la New...
Police arrest political activist, Dr Kizza Besigye after he tried to leave his home on May 23, 2022.
Uganda police have arrested political activist and former presidential contender Kizza Besigye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.