East Africa News
Ugandans lose Sh60 billion in football Ponzi scheme
=======
Summary
The BLQ scam leaves behind hundreds of Ugandans who had recently become millionaires.
The supposed wealth...
Picha: Rais wa Uganda, Yoweri Museven
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ,ametangaza amri ya kutotoka nje ya wiki tatu, kwa wilaya mbili za Mubende na Kasanda, ili kuzuia maambuzi ya ugonjwa wa...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni siku ya Jumatano aliamuru waganga wa kienyeji kuacha kuwatibu wagonjwa katika jitihada za kukomesha kuenea kwa ugonjwa wa Ebola, ambao tayari umegharimu maisha ya...
Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) umekatisha maisha ya mhudumu mwingine wa afya wakati nchi ikipambana kudhibiti kuenea kwa virusi hivyo, Wizara ya Afya imeripoti.
Dkt Jane Ruth Aceng, Waziri wa...
Hiyo ni mara ya kwanza tangu mlipuko wa Ugonjwa wa #Ebola kuripotiwa kuanza Nchini Uganda, Septemba 2022 ambapo kifo cha mtu huyo kinafanya waliofariki kwa Ebola kufikia 19.
Baada ya kuanza...
Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), William Byansi ameagiza kuanza utaratibu huo ili kuwalinda askari na wafanyakazi wa idara za haki na kutambua mapema hali za kiafya na magonjwa ya watuhumiwa...
According to the publicly disclosed Military equipment, Uganda leads Kenya
Hata hivyo, Uganda ina Budget ndogo zaidi kwa nchi tatu za Maziwa Makuu
Kwenye upande wa viwango vya Rushwa
Hatua hiyo inafuatia ufanisi hafifu wa chanjo zilizotumika awali kushindwa kufanya kazi kama ilivyotarajiwa kutokana na kutofautiana na aina Kirusi kilichopo nchini humo.
Uganda inakabiliwa na...
Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto.
Akitishia...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amempandisha cheo mtoto wake Muhoozi Kainerugaba, kutoka kwenye cheo cha Luteni Jenerali hadi kuwa Jenerali.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Jenerali Kainerugaba...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema kuwa hakuna atakayezuia mradi mkubwa wa bomba la mafuta Afrika mashariki, akipuuza azimio la wabunge wa Ulaya lililotaka mradi huo ucheleweshwe kutokana na...
Hello guy while I have resumed a plan to trip to Uganda in December this Year, Kindly share with me All you know about this country for a foreigner who is about to Visit, my purpose for that trip...
Wizara ya Afya ya Uganda imesema takwimu hizo ni hadi kufikia Jumapili Septemba 25, 2022.
Kwa waliofariki, wanne wamethibitika kuwa na maambukizi wakati 17 walionekana kuwa na dalili za virusi...
The launch of Uganda’s first-ever satellite, PearlAfricaSat-1, has been postponed to October 28 because of bad weather.
The launch, which is supposed to be accomplished by America’s National...
Makamu wa Rais, Maj Jessica Alupo, Waziri wa Mambo ya Ndani Meja Jenerali Kahinda Otafiire, na Waziri wa Ulinzi Vincent Ssempijja ni miongoni mwa viongozi wa Uganda ambao wametia saini barua ya...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema hakuna haja ya kuweka vikwazo ikiwemo marufuku ya kutotoka nje katika maeneo yenye mlipuko wa #Ebola kwa sababu Ugonjwa huo unaosababishwa na Virusi...
Ofisi ya Shirika la Afya Duniani Kusini mwa Jangwa la Sahara imesema mlipuko wa #Ebola unaoendelea nchini Uganda uligunduliwa kwa kuchelewa baada ya Uchunguzi wa awali kuonesha kuwa dalili...
Idadi hiyo ni ndani ya wiki moja tangu mlipuko utangazwe eneo la Mubende na kusambaa Kyegegwa na Kassanda wakati idadi ya wanaodaiwa kuwa na maambukizi ni 36.
Aidh, Rais wa Jumuiya ya Madaktari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.