Wizara ya Afya imetangaza taarifa hiyo na kueleza hali ya matumaini ya kufanikiwa kuudhibiti ugonjwa huo ulioathiri watu 142 na kuua wengine 56 imerejea nchini humo.
Afisa Kutoka Wizara ya Afya...
Kipindi flani hawa Rwanda na Uganda wasingetamba hivi. Mimi nawaonea huruma sana DR Congo. Hawa miaka mingi wanachezewa.
Toka miaka ile na wakoloni na sasa Waafrika wenyewe kwa wenyewe. Tena wa...
Picha mnato ni Jeneral Muhoozi Kainerugaba Rubereza.
Duru za ndani zinaeleza kuwa yupo kwenye maandalizi ya kumrithi baba yake Museveni Kaguta wakati wowote.
#CMCA
Wiki tatu zijazo ni muhimu kwa Uganda kudhibiti Ebola kufuatia kupungua kwa maambukizi mapya kwa mara ya kwanza ndani ya siku 10.
Iwapo hali hiyo itaendelea, nchi inaweza kufurahia likizo "huru"...
Ana utoto utoto mwingi sana. Hata personality ya Urais hana. Nadhani abaki tu kuwa mwanaharakati wa vijana. Maana sidhani hata Baganda nao wanamchukulia serious.
Sema wanamtumia tu kumsumbua...
Agizo hilo limewataka Wafanyakazi wa Magereza kutotumia 'Smartphone' muda wote wakiwa kazini kwa maelezo kuwa Wafungwa wanaweza kutumia msisimko wa Soka kutoroka.
Msemaji wa Magereza Frank Baine...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewahakikishia watalii na wageni kuwa maambukizi ya Ebola yanadhibitiwa na hawana haja ya kusitisha kuitembelea Nchi hiyo
Amesema kuna watalii walisitisha ratiba...
Rais Yoweri Museveni amewahakikishia wageni kutoka mataifa ya kigeni kwamba mlipuko wa Ebola utadhibitiwa nchini humo huku kukiwa na visa 141 na vifo 55 vilivyorekodiwa tangu Septemba 2022
Katika...
Mswada huo unalenga kuongeza ufahamu kuhusu hatari ya Pombe na kuleta vikwazo vingi ikiwemo #Sheria ya kudhibiti muda wa kufunguliwa kwa baa na kupunguza uuzaji na utangazaji wa pombe, katika...
Rais Yoweri Museveni amesaini Sheria ya Matumizi ya Mitandao yenye vifungu vya kuwabana watumiaji mitandao endapo watachapisha au kusambaza habari zinazoikera Serikali au watu binafsi.
Sheria...
Kampuni za mtandaoni na wanaharakati 12 wameungana katika kesi wakidai Sheria hiyo inaminya uhuru na haki za matumizi ya mitandao na itatumika kuwanyamazisha wakosoaji wa Serikali.
Wanaoiunga...
Ni baada baada ya Waziri wa Afya, Dkt. Jane Ruth Aceng kutangaza kuwa Serikali inawatafuta watu zaidi ya 300 wanaodhaniwa kuwa na Ebola ambao wengi wao wao wako jijini Kampala na wilaya ya karibu...
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Rebecca Kadaga, Mawaziri watafundishwa Kiswahili kila Jumatatu kabla ya Kikao cha Baraza chini ya Rais Museveni.
Waziri Kadaga amesema...
Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye ni Mtoto wa Rais Museven wa Uganda yupo ziarani nchini Rwanda
Amepewa zawadi ya Ng'ombe aina ya Inyambo baada ya kutembelea shamba la Rais Paul Kagame
Waziri wa Afya Jane Ruth Aceng ameripoti ongezeko la Wagonjwa 9 waliothibitishwa kuwa na Ebola jijini humo na kufanya jumla ya wagonjwa kufikia 14 ndani ya saa 48 zilizopita.
Usambaaji wa kasi wa...
Benki ya Finance Trust ya Uganda imezindua akaunti ya kwanza kabisa inayofuata sheria za Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Viongozi na shakhsia mbalimbali wa Kiislamu walihudhuria...
Ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku chache tangu Rais Museveni ambaye ni baba yake kumuombea msamaha na kumtaka ajiondoe Twitter kutokana na kauli zake za kuliteka Jiji la Nairobi
Akijibu mahojiano...
Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya, Dkt. John Grace Walugembe anakuwa mhudumu wa 5 wa Afya kufariki kutokana na ugonjwa huo uliosababisha vifo 20 na maambukizi kufikia watu 58
Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.