Wananchi Nchini humo wanatarajiwa kupiga kura kuchagua Rais na Wabunge leo Januari 14, 2020
Miongoni mwa Wagombea wa Urais ni Yoweri Museveni, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine), John Katumba, Willy...
Siasa za haya mataifa yanayotuzunguka zinatia aibu na huruma sana, napitia pitia taarifa za Uganda na kusoma kuhusu namna wapinzani wanachezea kichapo cha mbwa, tena wanapigwa na jeshi ambalo...
Presidential candidates Wednesday said they were ready to cast their ballots and asked their supporters to go to their various polling stations and vote.
National Unity Platform (NUP)...
Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani
kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
Wakati wa kampeni mpaka uchaguzi nchini Tanzania wanasiasa wa upinzani walikuwa wanalia faulo za hapa na pale na ilifika mahali hata mitandao ya kijamii kupungua uwezo.
Haya hapo jirani kwa mzee...
WAKATI Uganda inapata Uhuru wake mwaka 1962, akili za wakubwa wawili wa serikali mpya zilikuwa zinawaza mambo tofauti kuhusu muundo wa Jeshi la Uganda.
Rais wa kwanza, Edward Mutesa, kutoka...
Zikiwa zimebaki siku chache kuelekea uchaguzi mkuu nchini Uganda, mtandao wa Facebook umefungia akaunti za viongozi wa serikali kwa tuhuma za kushawishi maamuzi ya umma, mtandao wa AFP umeripoti...
The police said Tuesday that they have credible information that the National Unity Platform (NUP) presidential candidate, Robert Kyagulanyi alias Bobi Wine plans to stage his own abduction after...
Uganda's President Yoweri Museveni has accused social media giant Facebook of arrogance and bias as he confirmed ordering the shut down of social media and messaging apps ahead of Thursday's...
Balozi wa Marekani nchini Uganda ameeleza kukatishwa tamaa na hatua ya serikali ya kukataa kuwapatia wasimamizi wao idhini ya kusimamia uchaguzi.
Balozi Natalie Brown amesema kuwa zaidi ya...
Miaka ya nyuma adui mkuu wa Museveni alikuwa Daktari Kiiza Besigye, mpiganaji mwenzie wa mstuni na mshirika wa Museveni wakati wa mapambano.
Museveni alitumia kila njia kumdhibiti msomi hii ikiwa...
Security forces in Uganda have said that they will beef up deployments in 39 districts across the country, considered hotspots for violence.
The announcement comes on the last day of campaigning...
Uganda's communications regulator on Tuesday ordered internet service providers to shut down social media and messaging applications, just two days before elections.
In a letter, Uganda...
The National Unity Platform presidential candidate Robert Kyagulanyi Ssentamu alias Bobi Wine has said two of his gardeners were arrested and his security guard badly beaten by security operatives...
The East African Community (EAC) member states have sent a 74 man short-term election observers to witness Uganda's presidential and parliamentary elections on January 14, 2020. They are to...
Waganda wenye umri chini ya miaka 35 -wanamjua rais mmoja peke yake na zaidi ya robo tatu ya wakazi wa nchi hiyo ni vijana.
Yoweri Museveni, aliingia madarakani baada ya kutoka katika mapigano ya...
Tume ya uchaguzi nchini Uganda imepiga marufuku wapiga kura kwenda na simu au kamera kwenye kituo cha kupiga kura wiki ijayo tarehe 14 au kubaki kituoni kusubiri matokeo, agizo hilo limetolewa...
Wapiga kura, wanasiasa wa upinzani na wachambuzi wa maswala ya usalama nchini Uganda, wana wasiwasi mkubwa kufuatia hatua ya rais Yoweri Museveni kuteua wanajeshi kusimamia usalama wakati wa...
National Resistance Movement (NRM) presidential candidate Yoweri Museveni has accused the Electoral Commission (EC) of treating him like other candidates who have been holding mass rallies which...