Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemhukumu wakili maarufu, Eron Kiiza, kifungo cha miezi tisa jela kwa kosa la kudharau mahakama. Kiiza ni wakili wa mwanasiasa wa upinzani Kizza Besigye.
Kesi hiyo...
Mkuu wa Majeshi nchini Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, amesema mtu pekee anayemzuia kumshughulikia Mwanasiasa mashuhuri wa...
Wakuu.
Taifa la Uganda linaloongozwa na Yoweri Museveni rasmi sasa limejiunga rasmi na BRICS kama moja ya nchi mshirika hivyo kuifanya Uganda kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki kujiunga na...
Vyombo vya habari vya Uganda vimeripoti madai kwamba ndege ya ujasusi ya Marekani aina ya Bombardier Challenger 604, iliyodaiwa kupita kwenye anga la Uganda na DRC, huenda ilipiga picha...
Wakuu,
Inaonekana huko nchini Uganda masuala ya "hacking" na "cyber security" yamepamba moto mno.
Wizara ya Fedha ya Uganda imethibitisha ripoti za vyombo vya habari kuhusu wadukuzi kuvamia...
Watu 15 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kuharibu makazi katika vijiji kadhaa mashariki mwa Uganda, wilayani...
Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemshtaki mwanasiasa wa upinzani, Dkt Kizza Besigye, pamoja na mshirika wake, Hajj Obeid Lutale, kwa kumiliki silaha nchini Kenya, Ugiriki, na Uswisi...
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda, Kizza Besigye (68), anadaiwa kukamatwa na kuwa chini ya ulinzi wa kijeshi akiwa nchini Kenya.
Mke wa Besigye...
Muuzaji wa viatu vya mitumba mwenye umri wa miaka 27, Bw. Juma Musuuza maarufu kama Madubarah, amekuwa TikToker wa tano wa Uganda kuwekwa rumande na Hakimu Mkuu wa Entebbe, Stella Maris Amabilis...
Mkuu wa majeshi wa uganda Gen Muhoozi Kainerugaba ametangaza kuwa kama taifa wana mgogoro na balozi wa Marekani William Depp na watachukua hatua asipo omba msamaha.
Hapa bongo kuna yule Balozi...
Raia wawili wa Uganda wamewekwa kizuizini kwa madai ya kumtusi Rais Yoweri Museveni, mke wa rais Janet Museveni na mtoto wa rais Jenerali Muhoozi Kainerugaba kwenye jukwaa la la TikTok.
Hakimu...
Wataalamu wa uchunguzi wa kitaalamu wa Uganda wametoa ripoti ya kina kuhusu asili na athari za uchafu wa anga ulioanguka katika maeneo ya magharibi mwa Uganda mnamo Mei 2023.
Uchafu huo...
Mahakama ya kijeshi nchini Uganda siku ya Jumatano iliwahukumu wanachama 16 wa chama cha upinzani kifungo cha miaka mitano jela kwa kupatikana na vilipuzi kinyume cha sheria na mashtaka ya...
A group of exiled Ugandans has announced its intent to return to Uganda by force if necessary.
In an October 5th statement issued from Kisangani, Democratic Republic of Congo, the 'Coalition of...
My Take
Na 🇹🇿 ilitakiwa kusema hakuna Mpinzani Atakuwa Rais bila kupepesa macho.👇👇
Mkuu wa Jeshi la Uganda, ambaye pia ni mtoto wa kiume wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi...
Kwa sasa ndie Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, mtoto wa kiume wa Jenerali Museveni. Mipango ikikamilika basi CDF Kainerugaba ataungana na Marais wenzake kuendelea Kula keki hapo Afrika Mashariki
Waandaaji wa tamasha la muziki nchini Uganda la 'Nyege Nyege' wanasema jaribio la bunge la kupiga marufuku tamasha hilo kwa sababu ya wasiwasi kwamba linapotosha maadili limeongeza mauzo ya...
Bunge limehoji kuhusu Sh7.4M ( dola 2000 ) & Shs400,000 ( dola 109) zilizotumiwa na Wizara ya Kilimo katika ununuzi wa kila mbuzi wa kigeni na wa kienyeji mtawalia,
Mbuzi 409 kati ya 850...
Mbunge wa Uganda, Sarah Opendi, amependekeza kutungwa sheria inayowaruhusu wanandoa wapya, ambao hawajafanya mapenzi ndani ya miezi sita, kuvunja ndoa zao.
Aidha, Opendi alipendekeza kwamba watu...