Muigizaji wa kike aliyekuwa mmoja wa wahusika katika filamu ya Queen of Katwe, iliyoangazia mtu mwerevu kutoka maeneo ya makazi duni ya Uganda, aliekuwa anacheza chess, ameaga dunia akiwa na umri...
Watoto wawili nchini Uganda wamefariki dunia huku wengine 11 wakipelekwa hospitali baada kula kitafunwa aina ya chapati kilichotengenezwa kwa sumu ya kuua wadudu badala ya mafuta.
Watoto wote 13...
Afisa wa polisi wa kituo cha Bunamwaya, Sabagabo - Makindye amewapiga risasi askari mwenzake na mtu mmoja wa ulinzi shirikisha kabla hajajiua mwenyewe kwa kujipiga risasi
Makamu wa msemaji wa...
JANA Nilimsikiliza Mheshimiwa Rais Wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni
Kwa Kiswahili Kizuri Sana Tena Kwa Kukichezea Kwa Madaha
Miongoni Mwa Usemi Mpya Nilioupata Kwako Wakati Akiomboleza Kifo Cha...
Wakati hatari ya kuzidi kusambaa kwa virusi vya Corona ikiongezeka nchini China, wafanyabiashara zaidi ya 200 wa Uganda wamefika katika ubalozi wa China jijini Kampala wakibembeleza kupewa VISA...
Wasafiri zaidi ya 100 kutoka China watengwa baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mjini Kampala kutokea nchini China.
Mamlaka ya uwanja wa ndege huo nchini Uganda umefahamisha kuwa uamuzi huo...
Mamba anaelezwa kuwa na uzito wa kilo 600
Miezi minne iliyopita, Demeteriya Nabire aliliwa na mamba alipokwenda mtoni karibu na makazi yake kuchota maji. Mnyama huyu alirudi tena baaae katika...
Polisi wilayani Bududa mashariki mwa Uganda wanamsaka mwanafunzi wa miaka 10 kwa tuhuma za kumchoma kisu mwenzake ambaye alidai kupora mpenzi wake wa miaka 11. Mtuhumiwa huyo, ni mwanafunzi wa...
KAMPALA:
Taasisi ya Kuandaa Masomo na mfumo wa Elimu nchini Uganda imetangaza rasmi kubadilisha mfumo wa Elimu National Curriculum Development Centre (NCDC) nchini humo kwanzia Februari mosi...
Imam aliyemwoa mwanamume mwenzake akidhani ni mwanamke amefutwa kazi na baraza kuu la Waislamu Uganda.
Huku mjadala kuhusu kama kweli alifahamu jinsia ya bi harusi wake wiki mbili zilizopita...
Watu wawili wamethibitishwa kufa baada ya ndege ya jeshi la watu wa Uganda kuanguka katika mji wa Gomba. Kwa mujibu wa Msemaji wa Jeshi la Wananchi wa Uganda, Brigedia Brigedia Richard Karemire...
Uganda's President Yoweri Museveni is in London this week to attend the UK-Africa Investment Summit 2020. The event was hosted by British Prime Minister Boris Johnson who told the attending 16...
Mamlaka ya Mapato nchini Uganda (URA), imemkamata Duach Toang, Raia wa Sudan Kusini, akiwa na karatasi zenye usawa wa dola na kemikali ambayo ukiimwaga, karatasi hizo hubadilika na kuwa dola...
Bwana Richard Tumushabe, mtu aliyejifanya mwanamke na kuolewa na Imam Mohammed Mutumba, amewaomba Waganda wasimhukumu kwa matendo hayo
Tumushabe alisema alilazimika kuuza mwili wake kwenye mitaa...
Charles Minaani(33), mkazi wa Luweero, Uganda atatumikia kifungo cha miaka 13 jela, hii ni baada ya kuongea na jaji kuhusu mashtaka yake ya kunajisi na kumpa mimba mwanae wa miaka 12, kosa ambalo...
Je umewahi kusikia vijambo (ushuzi) ni dawa ..
Joe Rwamirama mwenye umri wa miaka 48,kutoka Kampala nchini Uganda ndio pekee ambaye akijamba au kutoa ushuzi unaua mbu..aliwahai kuajiriwa na...
Mwanamke mmoja katika wilaya ya Hoima mashariki mwa Uganda anashikiliwa kwa madai ya kumuua mpenzi wake baada ya kumfuma akimeza dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi (ARV)
Polisi...
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50 kutoka wilaya ya Budaka mashariki mwa Uganda, amemjeruhi mke wake vibaya baada ya mwanamke huyo kumchinja kuku aliyetakiwa kufanywa kitoweo kwenye siku kuu...
Congratulation to "Sharon Mbabazi"Ugandan sister who has been laying Bricks to pay her University Tuition, she has graduated with degree in Communication 🇺🇬
Source:AfricanUpdates
======...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.