Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Watu sita wamefariki na watu wengine zaidi ya 30 wanahofiwa kufa baada ya makazi yao kusombwa na maporomoko ya matope katika wilaya ya Bududa, Mashariki mwa Uganda. Karibu kila mwaka, watu wengi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwalimu wa somo la kiswahili wa shule ya Catherine Junior anashikiliwa na polisi kwa kumnajisi mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa siku ya tarehe 25, Septemba wakati mwanafunzi huyo akiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watuhumiwa tisa wa mauaji ya mwanajeshi wa UPDP Jinja wakamatwa. Miongoni mwa watuhumiwa hao ni pamoja na wanajeshi sita wa UPDP pamoja na wananchi watatu. === Nine people who are suspected of...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Padri wa katoliki katika dayosisi ya Kiyinda Mityana, Lawrence Muduse na wengine ambao ni John Kulumba Mkubwa, John Kulumba Mdogo, Jane Nankabirwa Kulumba, Ibrahim Muyingo, Robert Ssenyange na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukosefu wa maji umeikumba Manispaa ya Mbale kwa zaidi ya siku tatu kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa na kupelekea miundo mbinu ya Idara ya maji ya Uganda (NWSC) kuharibika...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Polisi Wilayani Ibanda wavikuta vichwa viwili vya binadamu (Mwanaume na Mwanamke) vikiwa vimetupwa shambani maeneo ya Kyegwisa ambapo ni kilomita tatu kutoka Ibanda mjini. Katika uchunguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa jarida la ‘Times’ la Marekani Bobi Wine ni miongoni mwa watu maarufu wanao kuja kwa kasi katika kuleta mabadiliko katika mambo mbali mbali ikiwepo burudani, siasa na uchumi. Kupitia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Maafisa wawili kutoka Wizara ya Maji nchini Uganda wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama kwenye Mto Aswa katika wilaya ya Pader. Maafisa hao walikuwa wametembelea kituo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
President Museveni Friday launched Uganda's first ICT manufacturing and assembling plant in Namanve. This comes into force after government signed an agreement with SIMI technologies to promote...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mtoto wa miaka 12 amefariki wakati akigombana na Mwanafunzi mwenzie katika Shule ya Msingi Lukolo. Imeelezwa kuwa alianguka chini ya kugonga kichwa chake Mwalimu ameeleza kuwa ugomvi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Afisa wa Jeshi la Uganda (UPDF) Private Paul Sserugo amehukumiwa na mahakama ya kijeshi kifungo cha miaka 50 kwa mauaji ya kikatili ya watu wanne. Private Sserugo amehukumiwa jana pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Mbunge wa jimbo la Busiro Kusini huko Uganda imemlazimu kwa hiari yake mwenyewe arudie kufanya mtihani wa darasa la nane nchini Uganda baaada ya kesi ya pingamizi dhidi ya Ubashite wa vyeti vyake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiongozi mkuu wa Taasisi ya kupambana na Rushwa Uganda Bi. Edith Nakalema amewaomba viongozi wa dini kusaidia katika harakati za kukemea rushwa nchini Uganda. Kiongozi huyo akiwa amehudhuria...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
ZAIDI ya wananchi 800 wa Uganda wamesaini waraka wa kushinikiza kufikishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo. Kampeni hiyo inayokusudia kukusanya kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Polisi nchini Uganda wamesema wamewakamata watu 120 katika Baa moja mjini Kampala na kukamata dawa za kulevya katika operesheni hiyo. Baa hiyo inaruhusu wapenzi wa jinsia moja kuburudika katika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wakuu, Msanii na Mwanasiasa wa Uganda Bobby Wine ametajwa na jarida la Forbes kuwa ni binadamu mwenye ushawishi zaidi duniani, hasa hasa kwenye muziki na siasa. Majuzi Msanii...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Uganda na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo zimesaini mkataba wa kufanya maboresho ya miundombinu hasa barabara zinazounganisha nchi hizo mbili katika kipindi cha ndani ya miezi 24 kwa lengo la...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na Serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwanafunzi wa darasa la tatu ya Shule ya Msingi Lukolo wilayani Jinja amekufa kufuatia mapigano na mwanafunzi mwenzake. Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 12, aliripotiwa kuanguka sakafuni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais M7 wa Uganda amekodi ndege binafsi kwa ajili ya timu ya Taifa ya Uganda The cranes. Watacheza na Malawi na kurudi kujiandaa kwa mchezo unaofuata siku hiyo hiyo. Sjui timu yetu wanamkakati gani!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…