Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Mwanamke mmja huko Uganda amekamatwa na Polisi wakati alijaribu kuvuka mpaka kuja Tanzania kujificha baada ya kudaiwa kumkata Mpenzi wake uume(mboo) na kupelekea kuvuja damu nyingi na hatimaye...
2 Reactions
9 Replies
941 Views
Museveni aanza mapambano dhidi ya Gen Z, japo sidhani kama wale wana uthubutu.... Ugandan police deployed heavily around Kampala City on Monday to forestall planned protests by the youth against...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Matakwa ya Gen Z wa Uganda Wanaondamana dhidi ya Serikali 1. Spika wa Bunge la Uganda, Anita Annet Among ajiuzulu 2. Makamishna Wanne wa Bunge wenye Kashfa ya Kujipatia Tsh. Bilioni 1.23...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MAANDAMANO yaliyoanzishwa na vijana nchini Kenya na kupewa jina la Gen Z, yameanza kubisha hodi nchini Uganda baada ya polisi wa taifa hilo kuahirisha mpango wa vijana nchini humo kuandamana...
13 Reactions
54 Replies
2K Views
Kuongezeka kwa visa vya maambukizi ya ugonjwa wa monkeypox nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kunaleta wasiwasi kuhusu uwezekano wa kuenea kwa ugonjwa huo nchini Uganda. Shirika la...
0 Reactions
1 Replies
329 Views
Ukistaajab ya Musa utayaona ya firauni. Ndio!! Rais wa Uganda Yoweri Museveni kupitia ukurasa wake wa twitter, amekemea shambulio la risasi alilofanyiwa Donald Trump na kumpa pole. Rais Museveni...
1 Reactions
6 Replies
435 Views
Tulipokua msituni, tulisema tunapambana kwenda kulinda kila kitu cha nchi yetu, Maneno ya Rais museven akiongea na vijana wa NRM, katika karamu ya jioni iliyoandaliwa ikulu, Utajiri wa waganda...
29 Reactions
76 Replies
4K Views
Mahakama moja iliyopo Entebbe Nchini Uganda imemuhukumu kifungo cha miaka sita jela TikToker mwenye umri wa miaka 24, Edward Awebwa baada ya Kijana huyo kuchapisha video fupi kwenye akaunti yake...
2 Reactions
3 Replies
541 Views
Uganda, nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta katika eneo la Albertine Rift Basin, inaendelea kujifunza na kuboresha uelewa wake wa jiolojia ya eneo hilo wakati wa mchakato wa uchimbaji wa mafuta...
0 Reactions
1 Replies
621 Views
Afrika hivi hawa viongozi wanatoana vipi? Ali moses mwenye umri wa miaka 85 anataka kugombea tena huko uganda mwaka 2026
0 Reactions
6 Replies
512 Views
My Take: Hii population growth watakuja kuishi wapi ikizingatia Kanchi kenyewe kadogo? 👇 Watu Milioni 46 ni population explosion, yaani miaka 10 ijayo watakuwa sawa na Tanzania Kwa saaa. Afrika...
0 Reactions
15 Replies
731 Views
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekataa kusaidini muswada wa Fedha hasi hapo Bunge litakaporejesha pesa kiasi Cha Bilioni 750 zilizotengwa Kwa matumizi mengine ya serikali ambayo hayajabainishwa...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Waandamanaji hao walilenga kuwasilisha malalamiko yao katika ubalozi wa China mjini Kampala kupinga uhusika na ufadhili wa nchi hiyo wa mradi huo. Mradi huo ujulikanao kama EACOP umeendelea...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Kampala, capital and largest city of Uganda. It occupies a series of hills at an elevation of about 3,900 feet (1,190 metres) and is situated in the southern part of the country, just north of...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kampala kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Kampala. Ninaomba tuangalie katika positive...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
UGANDA: Chuo Kikuu cha Makerere kimesema takriban Wanafunzi 1,000 wanaacha au kuachishwa Masomo kila mwaka kutokana na kupoteza Fedha za Ada wanazozitumia kwenye Michezo ya Kubashiri maarufu kama...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Makerere University has launched a digital system that will enable it effectively monitor attendance of staff and students in order to limit the vice of dodging classes. The two systems the...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Inspekta Jenerali wa Jeshi la Police (IGP) Abbas Byakagaba ametangaza kusitisha Mikutano yote ya Hadhara Chama cha Upinzani cha National Unit Platform (NUP) kinachoongozwa na Bobi Wine kutokana...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Waziri wa fedha nchini Uganda, Haruna Kasolo ameripotiwa kulitaka bunge kupitisha mswada wa kuruhusu watu maskini kuwekwa katika mpango wa kucharazwa viboko na mijeledi kila wakati ili...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Uzee dawa, Uzee hekima. Maneno ya Rais Museven kwenye mkutani wa viongozi wakuu barani Afrika kuhusu maendeleo. Msikilize mwenyewe kwenye hiyo video hapo chini. Bigup sana Museven.
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…