Chama kikuu cha upizani cha Uganda chini ya kiongozi wao Bob wine kimeagiza wa fuasi wao kupanda migomba (Ebitooke) kwenye mashimo ya barabara nyingi mbovu jinini kampala kama njia ya kushonikiza...
Magaidi ya ADF ambayo ni mlengo wa magaidi ya Islamic State (dola la kiislamu) yameuawa na wanajeshi wa Uganda na DRC, pia watoto na akina mama walioshikiliwa mateka wakombolewa. Jamaa...
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50, Kanu Mugwere, ameshambuliwa na watoto wake wakipinga uamuzi wake wa kutaka kuuza ardhi ya familia kwa shilingi milioni 1.5. Kulingana na taarifa, Mugwere...
Mwanaume mmoja amemfumania mkewe aliye mjamzito akifanya mapenzi hospitalini alikokuwa amelazwa akitibiwa malaria.
Mwanamke huyo alilazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Apac nchini Uganda kwa siku...
Baada ya kufuata viwango vya kimataifa, Uganda inatarajia kuondolewa katika orodha ya ‘Grey List’ ya nchi dhaifu katika sheria za kuzuia ulanguzi wa pesa haramu na ufadhili wa ugaidi mapema mwaka...
The Ugandan government and Vitol Bahrain E.C., a Bahrain-based company, have chosen the port of Dar es Salaam to import oil, as part of efforts to promote economic relations between Tanzania and...
Kamati ya Bunge ya VVU/UKIMWI ya Uganda imepokea taarifa hiyo kutoka Mamlaka ya Taifa ya Dawa Nchini humo ambayo imekiri kufahamu Dawa za Kurefusha Maisha na Kunenepesha zimekuwa zikitumika kwa...
Takriban Watu 1,100 wameripotiwa kuambukizwa na Vimelea wa Ugonjwa wa #Kimeta unaosababishwa na Wanyama kama Ng'ombe, Kondoo na Mbuzi. kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hadi sasa Watu 20...
Uganda ina makabila 56 na katika makabila hayo, kuna wanyankole lenye tabaka mbili Bahima na Biru, huku Wahima wakiwa ni wafugaji na Biru wakiwa ni wakulima. Leo ninakushirikisha utamaduni wa...
Rais Yoweri Museveni amezindua Mfumo wa Kielektroniki wa Kulinda Wawekezaji (EIPP) ambao unalenga kuwasaidia Wawekezaji wa Nje na Ndani kuripoti moja kwa moja katika Ofisi ya Rais malalamiko ya...
Babu, kikongwe wa miaka 110 amekamatwa kwa kosa la kuua mke baada ya mke wake kumnyima unyumba.
====
Polisi huko katika wilaya ya Ntungamo nchini Uganda, wanamshikilia mzee mmoja mwenye umri wa...
Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mwanamuziki ametoa kauli hiyo baada Rais Museveni kutangaza kutenga Tsh. Bilioni 8.71 kwaajili ya kusaidia Wasanii ambapo ameshauri Serikali kupitisha Sheria...
Awali kabla ya kwenda ukweni kwake walikubaliana na baba wa bibi harusi mtarajiwa kuwa watakwenda na ng’ombe na mbuzi. Lakni aliwasili ukweni bila kuwa na mifugo hiyo.
Uganda. Mzee Samuel Maikut...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amepuuzilia mbali wasiwasi wake kuhusu kuondolewa kwa nchi yake katika mpango maalum wa kibiashara wa Marekani na Afrika,AGOA.
Wiki iliyopita, Rais wa Marekani Joe...
Mwenye taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa hawa magaidi yenye mlengo wa kiislamu, atapewa hela ndefu sana
Police have offered at least Shs40million for information leading to the arrest of...
Ugandan prosecutors on Monday charged the commander of a feared militia with terrorism and murder over the killing of two foreign tourists and their driver last month.
A commander in the Allied...
Rais Yoweri K. Museveni amesema Bajeti hiyo itakuwa ikitengwa kila mwaka ikiwa na lengo la ili kukuza ubunifu wa Kiteknolojia nchini humo pamoja na kuwapa motisha Wabunifu wanaoingia kwenye Soko...
Ombi langu kama Wabunge wa Tanzania nao wakiamua kama Wenzao wa Uganda ikitokea wenye Jukumu la Kunyonga Mashoga wakikosekana wasisite Kuwasiliana nami kwani naweza kutoa Kwao Ushirikiano...
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya kupitia Idara ya Afya ya Akili, waliobainika kuwa kwenye hali hiyo ni Vijana wenye miaka kati ya 15 na kuendelea ambao wanakabiliwa na tatizo la Kushindwa Kuacha au...