Poleni na mihangaika ya hapa pale ndugu.
Nimeanza kilimo cha bustani hasa mchicha lakini nakutana na changamoto kubwa hivi sasa mchicha wangu upo hatua ya kuvuna una majuma matatu hadi sasa...
Tafadhali wataalam naomba msaada wa majina aina ya dawa ambazo zinaweza kusaidia kuondoa tatizo hili, ukiachana na huo weupe pia kuna matunda mengine yanakuwa kama yanaungua yanakauka na kudondoka.
Mimi ni mtaalamu wa kufuga nguruwe na kuku wa kienyeji. Na pia nimetunga kitabu cha ufugaji wa nguruwe na kuku wa kienyeji! Kitabu hicho nakiuza kwa shilingi 30000 tu.
kitabu hicho pia kitakupa...
Ndugu wadau wa ujasiriamali kwa wenye majibu ya uhakika naomba kufahamishwa mbali na masuala ya uwepo wa eneo, mtaji, leseni ya biashara ya TRA na usajili wa BRELA ni taratibu zipi zingine...
Wadau nawasalimu, pia natoa pole kwa tukio la ajali ya moto iliyotokea morogoro .
Ninatafuta mtama mweupe aina gadam au Karim. Tafadhali mwenye nao au anayejua unakopatikana tuwasiliane...
Mimi ni kijana ninasoma chuo, (SUA) Bsc Agronomy, nipo Likizo dar kwa sasa sina cha kufanya, sina hela na sina connection wakubwa naombeni ushauri wenu, nawategemea kimawazo, naweza kufanya kitu...
Kwa wadau wote wa kilimo na ufugaji,
muda wa kupata maarifa mapya ni huu mpaka tarehe 8/8.
Tuepuke kufanya ufugaji na kilimo cha mazoea. Ukihudhuria maonesho haya utajifunza mengi kitaalam kati...
Wakuu naomba muongozo mwakani nahitaji kulima kilimo cha maharage ya njano. Nahitaji kupata taaluma kidogo nipo wilaya ya Moshi. Pia kama nitapata na shamba la kukodisha itakua vizuri zaidi
Asalam wadau wa kilimo.
Mm ni mdau nambari moja wa kilimo nchini.
Nimekuwa nikihudhuria, kusoma, kusikiliza, kuangalia mambo yahusuyo kilimo kwa nia ya kujifunza na kuongeza ujuzi.
Kama zilivokazi...
Nimekuwa nikikifuatilia kilimo cha Aquaponic kwa muda mrefu sasa .Naomba niwape elimu hii bure kabisa na vitu vyote nilivyoweza kupata katika kilimo hichi cha Aquaponic.Na imani kinaweza kuwa...
Niko Kanda ya ziwa. Ufugaj wa samaki kwa njia ya 'cages' nimekuta ni uwekezaji mzuri kwa faida ya maana kama nilivyoshuhudia Uganda.
Anayejua undani wa ufugaji huu na risks zake na sheria...
Wadau za Jioni??
Ninatarajia kuagiza Vifaa mbalimbali vya kilimo kama vile Drip irrigation tapes na fittings zake kama Tape Plugs, PVC offtake, pia Sprinklers etc. Sasa kuna ambae ameshawahi...