Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Ningependa kuwajulisha wakulima wenzangu wa kanda hii ya ziwa hususa mikoa ya Kagera na Geita ya kuwa tuzitumie hizi neema kwa kuanza kupanda.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mwenye mayai ya kanga kwa wingi, yawe yanafaa kwa utotoleshaji tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
3K Views
MWONGOZO AMBAO UTAKUAMBIA KUWA KUKU WAKO NI WAGONJWA Kutokana na ufinyu wa elimu ya mifugo hasahasa (kuku) kwa wafugaji na hivyo kupelekea mfugaji kupata hasara. Leo ningependa tuangazie dalili...
6 Reactions
4 Replies
4K Views
Habar wapendwa.. Naomb kuuliza, ni mazao gani ya mbogamboga yanayofanya vizur maeneo ya kilosa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi ni matumaini yangu kuwa mnaendele vizuri na kumalizia weekend. Niende moja kwa moja kwenye point, Vijana wengi tumekuwa wajasiria mali hasa kwenye ufugaji wa kuku,lakini changamoto kubwa...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Bei ya Tikiti Kirumba: 400TSh./Kilo Kawangware Kenya: 35KSh./Kilo Mombasa ZnZ: 800TSh./Kilo Kongowea Kenya: 500TSh./Kilo Makambako: 1,000TSh./Kilo Lushoto: 500TSh./pisi Mwanakwerekwe...
6 Reactions
16 Replies
23K Views
Habari wadau. Natafta mshauri mwelekezi wa uvuvi wa bahari kuu. Awe na ujuzi wa kutosha, weledi na muwajibikaji. Uzoefu wa angalau miezi 6 sita katika tasnia ya uvuvi. Malipo ni makubaliano...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wandugu mie ni mwajiriwa katika taasisi ya kifedha hapa mjini Shinyanga, niko na mwenzangu tumefikiria kuanzia biashara ya matofari kwani ujenzi huku ndio wimbo wa kila mmoja. Nahitaji...
1 Reactions
24 Replies
27K Views
Katika mizunguko yangu ya kazi nilitoka Morogoro nikaenda Mbeya kufanya shughuli zangu za kilimo hasa umwagiliaji, basi nikiwa Mbeya pale kwa kuwa mimi ni mdadisi nitampigia jamaa yangu mmoja...
74 Reactions
189 Replies
87K Views
KICHAA CHA MBWA. Kichaa cha mbwa (Rabies) ni ugonjwa unaowapata wanyama wote wanyonyeshao (Mbwa, Paka, Binadamu, Ng’ombe nk) Ugonjwa huu unasababishwa na kirusi (Rabies Virus) Virusi hawa...
4 Reactions
43 Replies
13K Views
Mimi ni mfugaji katika kutafuta njia za kupunguza gharama za chakula cha mifugo ndipo nilipokutana na maelezo kuhusu Azolla kwamba imewasaidia wafugaji wengi kupunguza gharama za chakula cha...
2 Reactions
27 Replies
14K Views
Niko kwenye majaribio ya kilimo cha papai,aina ya malkia F1, nilinunua packet moja ya mbegu, ambayo ina mbegu 80, hatua ya kwanza niliziloweka kwenye chombo chenye maji safi kwa muda wa suku 5 na...
1 Reactions
39 Replies
12K Views
Mimi ni mjasiriamali wa biashara ndogo(small scale) nataka ku transform to large scale businesses.kwaiyo nimeplan kuanzisha kiwanda kidogo cha kuzalisha unga wa sembe na ngano au pure drinking...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ulimaji wa mbogamboga hususani figiri ni shughuli nzuri hufanywa na baadhi ya watu wanao jikita katika kujipatia kipato. sasa leo nami nimependa kukupa somo mpendwa wangu kuhusu hiki kilimo...
4 Reactions
11 Replies
8K Views
SERIKALI YAZIPA KANDARASI YA THAMANI YA 2.9BN KAMPUNI ZA VIJANA KUTEKELEZA MAFUNZO YA KILIMO CHA KITALU NYUMBA NA.MWANDISHI WETU Serikali kupitia Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Uzi huu ni special kwa ajili ya kujadili mambo mbali mbali yanayohusu maadhimisho ya siku ya wakulima ali maarufu kama 88 , ambapo msimu huu huambatana na Maonyesho ya teknolojia za kilimo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? Mimi ni Raia mpya jamvini na nimelazimika kuja huku ili nipate msaada wa ushauri juu ya changamoto niliyonayo.Nianze kwa kueleza nimekuwa kwenye ajira kwa vipindi vinne tofauti...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom