Hivi nikitaka kufuga kuku 1000 wa kizungu na 1000 wakienyej katika jij la dar es salam,, tabata segerea.....
Nahitaji. Mtaji kama kias gan ikiwa ni kwa ajili ya kununua kuku ña ķujenga bañďa peķ. Ake
Habar Wadau
Natarajia kuanza kilimo cha greenhouse naomba kwa wazoefu mniambie mbegu bora zaidi ya kutumia
Tylka f1
Nikomate f1
Anna F1
Na nyingine nisizozitaja.
Natumai majibu mazuri kutoka kwenu
Habari wakuu!!!
Nina kuku wana umri wa miezi mitatu, ni kuku wa kienyeji kwa muda kama wa wiki moja iliyopita nilianza kuona dalili za kuvimba macho kwa kuku
Kufikia leo ndio wamezidi kuvimba...
Habari zenu humu jamvini,nina mtaji wa shilingi laki Saba ,pia Nina eneo la Eka tatu jirani Na mto wami Morogoro .Baada ya mfumuko wa bei ya mpunga nimehamasika kulima mpunga Aina ya Saro Eka...
Ni kwa bahati mbaya nilipojaza kifusi ndani ya garden yangu kumekuwa na ndagu nyingi sana. Hizi ndagu inaonekana zililetwa na hicho kifusi.Nimejaribu kuzign'oa lakini bado zipo na zimenikatisha...
Kwa yoyote aliepo Dar es Salaam na anamiliki shamba sehemu yoyote ile ya Dar na shamba limemshinda kwenye usimamizi
Liwe shamba la mifugo
Au shamba la mazao yoyote yale
Kijana wenu naomba ajira...
habari ya majukumu ya kutwa wadau wa kilimo na ufugaji. samahani nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji. nina kuku 30 wa miezi 5 na 6. naombeni kujuzwa kuhusu namna ya kuwapimia chakula. je kuku 30...
Habari wana jamii natafuta patna ambae yupo sirious tufanyenae kilimo cha matikiti kwa msimu huu wa masika project ianze mwezi wa 12 /1/2019 itaisha mwezi wanne. Tutalima hekari 6 patna awe na...
Habari za wakati huu!
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ninasumbuliwa sana na wanyama waharibifu hususan ngedere shambani kwangu. Nimetumia mbinu mbalimbali mfano kuwatega mitego, kuwafukuza kwa...
Habari waungwana. Nawasilisha kama nilivyoulizwa
""Nina Tshs 400000 [laki nne].Ninataka nianze kufunga kuku japo sijui A wala B kuhusu ufugaji.
Je nianze na kuku wa aina gani kati ya wa kienyeji...
Wakuu naomba kuuliza, hivi hawa kuku wa nyama au broilers hawanaga rangi nyingine zaidi ya weupe kama wa kienyeji? Maana kila nimuonaye ni mweupe au ndo wadhungu ndo wameshindwa kubuni rangi...
Hellow wadau wote wa business forum!
Naamini watu wengi wapenda mafanikio huwa wanajifunza kutoka kwa watu waliofanikiwa. Ukitaka kufanikiwa ni vizuri kujichanganya na waliofanikiwa na sio wale...
Wakulima, kwa yoyote anayehitaji kulima kilimo cha matikitimaji, nyanya,mahindi na nk ambaye hana muda au kwake usimamizi ni changamoto unakaribishwa. Tunatoa huduma ya kusimamia shamba lako...
Hii kitu nimeona kwenye Page ya waindi cjui apa bongo wapi nita pata malengo yangu kufuga samaki na kupanda azola chakula cha mifugo msaada wenu wa kuu asate sana
Wadau habari zenu.
Hivi ukinunua Tela la Trekta ambalo limechongwa hapahapa Bongo, ni lazima kulifanyia usajiri TRA au linaweza kutumia usajiri wa trekta ambalo linaunganishwa?
Jee kama lazima...
Naomba msaada nataka nianze kilomo cha nyanya wilaya ya rombo mwezi wa
Otoba.ekar moja naomba wenye uzoefu au wataalam.aina gani ya mbegu bora kwa ukanda huo na aina ya dawa...karibuni sana mnishauri.
Blacksodier ni aina ya nzi weusi ambao wao kidogo wanakuwa na mwili mdogo ukilinganisha na nzi.
Blacksodier hufugwa kwa minajili ya kuzalisha funza ambao baadae huja kutumika kama chakula cha...
Habar Wapendwa.. Naomb kuuliza iv taratibu za kukodi shamba zipoje? Nataka nikodi shamba eka mbili mikese sa unaweza jikuta unapewa shamba lenye migogoro, au unatapeliwa.. Na je ikitokea ivo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.