Mkuu wa wilaya ya Mvomero nashukuru kwa kulifuatilia swala hilo la ukatili alilofanyiwa mama Fatuma Hasani Diawi, lakini katika swala hilo polisi wanataka kujenga kitu mpaka sasa, baada ya...
Wakulima zaidi ya 50 katika kijiji cha Namatuhi wilayani Songea mkoani Ruvuma wametapeliwa mahindi yao yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 40 na matapeli ambao wamechukua mahindi yao bila...
Mvua kila kona, mvua isiyokatika, usiku na mchana inagonga tu aisee.
Tushamwaga mbegu , tunalea vitaru na kuna plots tumehamishia nyanya mashambani ila kwa hizi mvua duu kazi ipo.
Dawa kila...
Habari!
Naomba kwa anayejua roughly gharama za kuezeka banda la kuku ukaachilia mbao na mabati (specifically gharama za ufundi) lenye ukubwa wa futi 25 kwa 28. Asanteni
Kwa sasa hakuna madawa ya ngombe kama Gentamycin, Butalex, Butaline, OTC na mengine. Hakuna kabisa. Ng'ombe anaumwa anakufa unamuona bila msaada wa matibabu! Ndiko tulikofika Tanzania ya wanyonge!
Ninapenda sana mbaazi nataka kulima zinapandwa wakati gani?..Na mti wake unadumu kwa muda gani ukiendelea kutoa mbaazi?Naomba waliolima wanifafanulie zaidi
Habari za mida wadau wenzangu wa kilimo.
Niende moja kwa moja ni share safari yangu kwenye hii fani ya kilimo ili wale wanaotegemea kujiunga wapate ka uzeofu kadogo japo wapate pa kuanzia...
Naomba sana ujumbe huu uwafikie wahusika.
Miongoni mwa njia wanazotumia viongozi wa vyama vya msingi kujitajirisha kwa kuwaibia wakulima ni kuwa na mawe ya mzani yanayoiba.
Tatizo hili ni kubwa...
habari zenu wadau.naomba tupeane ujuzi kwa wale wenye uzoefu.na uelewa kuhusu kilimo cha mbogamboga kwa kutumia Greenhouse.nini faida zake .pia changamoto zake..karibuni
UHUSIANOKATI YA BIASHARA NA FAMILIA
Biasharainatunzwa na Mfanya biashara na kuzalisha mapato. Katika mapato hayo mfanyabiashara anajilipa mshahara kutokana na kupata faida. Mshahara anao jilipa...
Habari wakulima na wafugaji wenzangu,
Baada ya kufuga kuku wa kienyeji sasa nataka kuhamia kwenye kuku wa mayai ila nimeandaa bajeti ifuatavyo kwa ajili ya mradi huu. Nina mpango wa kuanza kufuga...
Katika jambo lolote unalotaka kulifanya, ni muhimu kuweka katika mpangilio unaoeleweka. Yaani ujue mwanzo na mwisho ili unapotoka hatua moja ujue unaenda mbele au nyuma.
Hivyo hivyo kwenye...
Katika wanyama upande wa ng'ombe kuna siku tulichinja ng'ombe na baada ya kumchuna ngozi tulimpasua na kumkatakata kugawa nyama, lakini la kushangaza kwenye nyama yake mle ndani ya steki maeneo ya...
Habarini wanaforum.
Naombeni msaada nimefuga vifaranga wa kuku wa kienyeji 75 yapata wiki ya pili sasa.Ninawatunza kisasa ndani ya chumba maalumu nikiwapa huduma zote za kuku wa kisasa.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.