Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari zenu, mdau wetu Amida Suleiman anaomba msada wa kupata kiwanda kinachosindika matunada. Ila kiwepo Dar es Salaam.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa najiuliza,bila majibu, Kwa nini ujio wa Nzige unachukuliwa kuwa ni tatizo badala ya fursa?unachohitaji ni nyavu ndogo zilizotegeshwa njia watakayopita.technologia ipo ya kujua hilo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wajuvi wa mambo, salaam kwenu wadau, Limetolewa tangazo rasmi sasa kwa pori Tengefu la Kigosi almaarufu Game lilioko ukanda wa magharibi mwa nchi yetu kuwa Hifadhi ya Taifa. Binasfi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kenbro ni 'Dual Purpose Chicks' ambao ni kienyeji walioboreshwa (improved) na waliendelezwa na kampuni ya kifaransa na kuzalishwa Kenya, wana rangi nyekundu na wana maumbo makubwa sana na hasa...
11 Reactions
142 Replies
58K Views
Serikali imezindua mkakati wa taifa wa awamu ya pili wa miaka 10, wa kuendeleza zao la mpunga nchini ili kuhakikisha wanafikia hekta milioni moja ifikapo mwaka 2025. Hayo yalibainishwa jana na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kilimo cha umwagiliaji ndio mkombozi na fursa ya uhakika. Unalima wakati muafaka, zao muafaka wakati muafaka. Tungeweza kushawishi viwanda vya mkakati kwa uhakika wa malighafi, pia miundombinu...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau bila kupoteza wakati. Kisarawe ni Wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani, na hapa nalenga eneo la Kisarawe Maneromango au kama wenyeji wapaitavyo Mango, nimeweza kugundua yafuatayo ambayo ndyo...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Serikali imewakataza wafugaji kuweka alama kwenye ngozi za mifugo yao hasa ng’ombe kwani kufanya hivyo kunashusha thamani ya ngozi za Tanzania, na badala yake imewataka waweke alama za hereni...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari zenu, naombeni msaada tafadhali. Ni mara ya pili sasa, na pia mbegu za nyanya chungu hazioti jamani pakiti linakaribia kuisha hata mche mmoja sijapata! Vilevile na pilipili hoho...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kichwa cha habari kinahusika sana tu na ninalotoka kubandika hapa. Kwenye ma group kadhaa Taasisi ya MKIKITA wako "aggressive " na matangazo kemkem kwamba ukiingia nao mkataba kuhusu mhogo...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF. Naomba kufahamishwa kuhusu kilimo cha mlonge. Je, unastawi katika udongo wa aina gani, matunzo yake, namna ya kupata mbegu zake pamoja na soko lake.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Miaka kama minne hivi nilikutana na bro mmoja anafanya kazi shamba la mzungu, alikuwa ameacha kulima viazi. Nikamuuliza kwanini, akasema kulima ni ujinga, akaniambia kuwa gunia la viazi ni...
8 Reactions
7 Replies
2K Views
Safari ilianza kilimo ni Uti wa mgongo ( jembe la mkono likatawala tukampata mbunge anaitwa mkono ) hadi kilimo kwanza ikishindikana labda tatizo ni darasa la kwanza kubeba begi kama mtu wa form...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Natumaini mu wazima wana jamvi! Kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu kilimo cha miti ya matunda Tanzania naomba anisaidie. Ukiwa na maelezo ya kitaalam itapendeza zaidi, na kama una uelewa wa juu juu...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Ninaomba kwa anayejua hivi ni kwanini ugonjwa wa mafua huwa unawashambulia sana kuku hawa, na ni kwanini ukitumia dawa unaisha kwa muda na unarudi tena. Nahitaji msaada wafugaji wenzangu na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa pamoja ndugu zangu, Mimi nimejiunga huku kwa nia ya kujifunza, kwa namna ya kipekee sana mmenipokea na kunionyesha ushirikiano hasa pale nilipohitaji msaada wa mawazo. Asanteni...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari JF, Wakulima nao waongelea hapa, ni wale ndugu zangu wanaotegemea kilimo cha jembe la mkono ambao ni wengi kuliko wale wanaofanya kilimo cha kisasa. Pamoja na kuwa na mahitaji mengine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanabodi, poleni kwa majukumu. Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kufahamu kilichosibu soko la mayai ya kisasa. Kwa wale wafugaji wa kuku wa mayai watakuwa na kumbukumbu ya miaka yote ya...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Wadau nimekutana na hiki kitu moja ya kuku wangu, ila manyoya yamenyonyoka mgongoni.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Iko hivi, nimejipanga kufanya kilimo cha umwagiliaji msimu wa kiangazi. Nina shamba ekari 4. Natarajia kiangazi kikianza nichimbe maji then nifunge pampu. Nitakuwa napandisha maji kwa generator...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Back
Top Bottom