Wakuu kama uzi unavyojieleza wazi wazi kabisa mbuzi ni dili Sana Kwa walio tayari na uzoefu nawakaribisha kweny mada hii walete mawili ma3 tuunge group letu tujue jinsi ya kufanya
Nimesikia bata wanauwezo mkubwa sana kukabiliana na magonjwa na kuwafunga si kazi sana ugumu upo wanapokuwa wadogo,naomba kufahamishwa je ni aina gani za Bata ni Bora kwa mayai na kwa nyama? Na je...
Mambo wanajamvi samahani kama nitakuwa nimekosea ila nahisi humu naweza pata njia ya kuniongoza.
Story fupi kuhusu mimi. Mimi ni mfugaji na changamoto napata kwenye chakula yaani nahitaji...
Habari zenu ndugu wafugaji naombeni mnisaidie jinsi ya kutambua mayai ya kuku wa kienyeji pure yanayofaa kutotoreshwa kwenye incubator maana nikiweka mayai 100 yameanguliwa 42 tu.
Habari wataalamu,
Naomba kujua kama kuna namna bora kabisa ya kufanya mayai yasiharibike kwa maeneo yenye joto kali kama Dar es Salaam wakati wa kuatamiwa.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums...
Ndugu wanabodi, nchi za Ethiopia, Eritrea, Kenya na sasa Uganda zimevamiwa na baa la nzige (locust) ambao ni wadudu waharibifu sana wa mazao. Kiufupi, nzige wana uwezo wa kula hekta 100 za mazao...
Kabla ya kwenda kwenye somo letu juu ya ufugaji bora kwa KWALE ningependa kuwapatia bei ya bidhaa zetu ili uwe na idea kabisa.
Mayai:
1. Mayai ya Kwale Trey Moja ya Mayai 30 ni shilingi 20,000...
Habar wana ndugu naomba msaada wa kupata taarifa inayo husu kilimo cha malisho kwa wanyama alfalfa na lucerne hapa tanzania wa wanalima na wapi nitapata mbegu zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za leo. Nimeamua kuwa mfugaji wa mbwa lakini nimepata changamoto kidogo, mbwa amegoma kula siku mbili sasa.
Mwenye utaalamu anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau.
Samahani nina kuku wangu wameanza kutaga kwa mpigo sasa wanatabia ya kugombania mayai wakati wa kutaga.
Naomba mnisaidie njia ya kutatua tatizo hili.
Sent using Jamii Forums mobile app...
Kumfanyia mbwa Castration (kumtoa mbegu) inasaidia mbwa kuwa mkali au ndio atakuwa mpole akiona mbwa wengi.
Mwenye kujua na ambaye kashamuona mbwa mwenye kuasiwa anakuwaje?
Msaada please
Nanunua ngozi mbichi za Mbuzi au Kondoo zilizotunzwa kwa kupakwa chumvi (Wet Salted) kuanzia ngozi 10,000 na kuendelea tafadhali tuwasiliane kwa simu namba 0659890000 au uni-PM. Ngozi zisiwe na...
Wakuu kama mtakumbuka kupitia jukwaa hili miaka miwili mitatu iliyopita tulihamasishana sana kuhusu ufugaji wa kware ili kunufaika na biaashara ya nyama na mayai. Tuliambiwa pia mayai ya kware...
Wadau samahani, naomba kujua wapi au nani anaweza kujua kama kuna uhitaji wa ngozi za mbuzi, ninashehena ya kutosha sana, kama kuna mdau anajua lolote plz call 0652036191
Ndugu wadau napenda kujifunza kutoka kwenu kwa wale wenye kujua vizuli kuhusu biashara ya ngozi na soko lake.
Nataka kujua uitaji wake gharama ya manunuzi na gharama ya sokoni.
Na je! soko kuu...
Habari wana jf, naombeni msaada, Nataka nlime kabichi mwezi wa febr, ila tatzo cna wenyeji wa kupata shamba nahtaji nus hecta ya kukodi. Maeneo ya kisarawe au chanika na pia hata mkoa wa morogoro...
Habari za leo ndugu zangu.
Nahitaji eneo lenye miundombinu ya mabanda ya kufugia kuku nikodi/ nipange kwa maelewano na mwenye eneo husika.
Likipatikana eneo lenye uzio nje ya Mji itapendeza...
Habari?
Je Kati ya kampuni hizo naomba msaada ipi ni kampuni yenye vifaranga Bora vya kuku wanyama na mayai.
Nataraji kuingia kwenye iyo biashara hivi karibuni.
Asante
*Utangulizi*
Kampuni ya *Kinasoru East Africa (T) Ltd* inakuletea semina kubwa na ya aina yake ya *Mkulima Tajiri.* *Mkulima Tajiri* ni mfululizo wa semina zinalenga kutoa elimu na mwamko mpya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.