Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Ninafuga kuku wa kienyeji hapa shambani kwangu. Kwa kweli kuku wanastawi vizuri na nilishaanza kufurahia matunda ya jasho langu, lakini ghafla...
Kama Wizara husika itasimamia sekta ya uvuvi ipasavyo na kutoa elimu ya kutosha kwa wavuvi ikiwa ni pamoja na kuwatengea ruzuku katika bajeti kwa kipindi cha miaka mitano nina uhakika sekta hii...
Yani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo...
Ninajua moja ya Sheria za JF ni ''No name calling'' Naombeni mods mniwie Radhi.
Katika jukwaa hili la Biashara tuna wachangiaji wengi na wazuri sana,
Wachangiaji wasiopenda kuleta Mzaha kwenye...
Mbuzi wangu anasumbuliwa na kidonda kikubwa sehemu ya tumbo. Kina wiki sasa. Mara ya mwisho alikuja daktari akamsafisha na hydrogen peroxide, akamshona na kuacha sehemu wazi ya kupitisha...
Wadau naomba kupata uzoefu kwa Wafugaji wa Kuku juu ya matumizi ya gamba la Kobe katika kukuza utagaji wa mayai kwa kuku. Nimenyetishwa kwamba ukitaka kuku watage mayai na kuzaliana kama...
Naomba msaada kwa mwenye uelewa wa mambo ya uwekezaji katika mashamba ya chumvi.
1. Yapi maeneo sahihi ya uwekezaji
2. Upatikanaji wa maeneo husika na garama zake
3. Changamoto za kilimo hiki...
Wakulima wamekuwa wakihamasishwa kufanya kilimo cha umwagiliaji ili kuweza kupata faida zaidi. Wakulima wadogo wana uelewa wa aina chache za mifumo ya umwagiliaji kwa mfano mfumo wa matone...
Habari za leo,
Nahitaj kufaham ni mkoa gani naweza kupata Kunde nyeupe Kwa wingi na bei Kwa kilo ni kiasi gani.
Ninahitaji tani 400.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumekuwepo na utaratibu wa wakulima wetu kulima zao hili kwa pamoja, hii inatokana na hali ya hewa ya mahali husika pamoja na utaratibu wa watu kufanya kama wengine. Hali hii husababisha zao la...
Habarini wa jamvi, naomba kupewa ushauri kuhusu kufungua kakiwanda kadogo cha kukoboa mpunga maeneo ya mvomero morogoro. Naombeni ushauri kama inalipa na kama mnaweza pemdeza maeneo mazuri zaid...
Nahitaji chanjo ya kuku ya IB Infecious coryza. Niko nahangaika hata sijui nitaipata wapi naombeni anaeijua inapopatikana aniambie na bei.
Asanteni
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Nimejaribu kufuatilia video hii aiseh inatia uchungu sana. Ila nadhani lengo la huyu kwenye video hii lilikuwa ni kuonesha namna ambavyo ufugaji unakumbwa na vikwazo. Tunatakiwa kuangalia namna ya...
Kwanza niwe mkweli sijawahi kufuga chochote kile mwanzo na sina experience ndo nimeanza mwisho wa mwaka uliopita.
Iko hivi, mwezi Desemba mwanzoni tarehe 8 nilianza safari ya ufugaji wa kuku...
Wakuu poleni kwa majukumu.
Naomba kujua sababu na tiba ya nyanya ambazo ziko shambani zimeanza kutoa matunda lakini majani ya chini yanakauka. Shida itakuwa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar wajasiriamali! Kuku wangu vifaranga wanaugonjwa ambao wanafumbua mdomo huku ukielekea juu kama wanapiga mihayo!! Je, ni ugonjwa gani huo na tiba yake ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naomba kujuzwa juu ya kilimo cha mpunga cha umwagiliaji katika skimu ya dakawa
1.Je ni vipi naweza kupata mashamba katika skimu hi ya umwagiliaji/ Kama wanakodisha je ni bei gan kwa heka...
Kwanza ieleweke kwamba kuku chotara ni kwa ajili ya kupunguza umasikini na si kwa ajili ya Biashara.
Ukisoma hata andiko la ku introduce Kuroiler kule Uganda ilikuwa ni kwa ajili ya kupambana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.