Habarini ndugu zangu natumai mko vyema na majukumu yenu ya kila Siku ya maisha. Ningependa kutumia nafasi hii kupewa elimu juu ya kilimo cha mahindi.
Swala langu limejikita sana katika kufahamu...
Tafadhali nipeni msaada wazoefu, msimu gani unafaa kwa kilimo cha mazao tajwa hapo juu,pamoja na gharama zitakazotumika kuhudumia,lengo langu ni 50M mtaji nilionao cash ni 10M ,lengo langu kuwa...
Fiwi ni zao ambalo linawatoa sana wakulima wa mikoa ya Kilimanjaro (Mwanga, Same) na Tanga (Mombo). Soko lake hasa ni KENYA.
Sasa kwa wazoefu na wajuzi naomba kujua ikiwa kuna mbegu maalumu ama...
Mkazi wa Njombe, Steven Mlimbila maarufu kwa jina la ‘Nemes’ alipofukuzwa kazi hakudhani kama angeweza kusimama tena.
Mlimbila aliamini ndoto zake kiuchumi zimekufa kwa sababu ya kuondolewa...
Ni ukweli wa wazi kuwa wakulima wengi wanamiliki pikpiki hasa za kichina na India. Lakin zinatumika kwa usafiri tu. Nina wazo la kuongeza kifaa kidogo ili hiyo hiyo pikipiki iweze kumpeleka mtu...
Nimeanza na ufugaji wa kuku aina ya kloiler, ninao 40, wa size tofauti tofauti. Sasa hii business nataka iwe ajira yangu,
Swali linakuja:
Je, nifanyaje, hii biashara iweze kunipa mafanikio ya...
Habari wanajamvi,
Kwa kipindi hiki ambacho dunia yote imetoa macho katika janga hili lililosibu dunia, bas karibu kufahamu kuhusu kulimo ili uweze kuchagua na kuwekeza katika kilicho sahihi...
Wafugaji habari!
Nimeanza ufugaji wa kuku aina ya kroiler, ila sasa changamoto ipo kwenye gharama za CHAKULA.. aisee wanakula balaa, na wana miezi 4 .
Naomba mnisaidie, njia nzuri au nini...
Habari wadau wa jukwaa la Kilimo,.Ufugaji na Uvuvi.
Leo napenda nitoe wazo ama kama limeshawahi kutolewa basi ningependa kueleshwa kuhusu kilimo cha olive.
Nafikiri ni muda sasa umefika kwa...
Habari za leo Wana wa jukwaa la KUU.
Wakuu nimewahi kukaa katika customs mojawapo ya nchi hii inayotuunganisha na nchi jirani kwa upande wa kusini. Sio muda mrefu uliopita.
Kusema ukweli wazee...
Habarini wakuu,
Kwa wale wanaopenda wanyama kama paka, naomba msaada kuna paka hapa nyumbani kala kitu kimemzuru, basi kila wakati hujiramba mwili wake non stop, na pia na manyoa yake hutotoka...
Nimepata wazo la kufuga na kuexport konokono kwenda ulaya ambako nasikia wafaransa wanawapenda
Naomba mawazo na wadau tushirikiane ktk hili
Niko Lindi na wanastawi vizuri hadi wanaharibu mazao...
MASWALI MBALIMBALI YALIYOULIZWA KUHUSU KILIMO HIKI
Ndugu wana JF,
Naomba kama kuna mtaalamu wa kilimo anisaidie ili nifahamu makadirio ya kiasi cha mavuno ya mpunga katika ekari moja katika...
Wakuu,
Mada yahusika, katika tembea tembea yangu hasa mkoa wa Kagera nimeona faida za kiuchumi za hawa wadudu.
Wabaya wana wadhamini hawa wadudu kwa lishe na kimila, hivyo kwa kuwa hupatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.