Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari wapedwa, Nina nguruwe wangu wa 4 jike 1 dume 1 waliohasiwa 2. Majuzi nilikoboa mahindi ya mchanganyiko wa yaliyooza na mazima sababu nkishidwa kuyachambua kutokana na wingi Baada ya...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Habari Wakuu! Husika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji msaada kwa mwenye uzoefu au details za jinsi ya kuimport tractor (s) kutoka UK kuja Tanzania.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Luna hii kampuni inaitwa JATU, inafanyeje kazi zao, hawana dalili ya kufanana na FOREVER LIVING NA GNLD?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi, Salaam! Nina ng'ombe wangu amejaa sana gesi tumboni yaani tumbo limetuna vibaya mno leo ni siku ya nne. Msaada wenu wataalamu na wazoefu wa mifugo. Shida hiyo husababishwa na nini? Ni...
1 Reactions
31 Replies
8K Views
Wasalaam wakuu Kwa wale wanaojishughulisha na biashara ya mazao ya kilimo na kilimo chenyewe mtakubaliana na hoja yangu hapo juu. Mkulima na mnunuzi wamekuwa wahanga kwa Bei za mazao sababu tuu...
8 Reactions
49 Replies
8K Views
Wandugu, habari zenu. Ni hivi mimi nataka kuwekeza kwenye lilimo cha ufuta kwenye maeneo ya rufiji. Naomba mwenye ujuzi wa kilimo hicho cha ufuta anipe ushauri juu ya hili.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Natumaini wote mu wazima wa afya Mimi ni kijana umri miaka 27. Nilijipa muda wa miezi mitatu niamuae nijiajiri mwenyewe lakini sikujua wapi ingawa nilikuwa na mawazo ya biashara kadhaa. Mengi...
4 Reactions
27 Replies
8K Views
Wakuu nina mabwawa mawili ya samaki aina ya kambale nimeweka samaki 100 kila bwawa. Gharama ya chakula imekuwa changamoto, nimepewa uzoefu na wengine kwamba ngozi za wanyama ni chakula kizuri na...
2 Reactions
46 Replies
8K Views
Wakuu habari za saizi, nimenunua pump ya kuvuta maji kwaajili ya kilimo chaumwagiliaji sasa katika harakati za ufanyaji kazi wake imekatika chuma kinachopokea mafuta kutoka kwenye tank kwenda...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari wakuu Hongereni kwa kazi za ujenzi wa Taifa. Niende kwenye mada Moja kati ya changamoto zinazowakumba wamiliki wa mashamba ni wizi wa mazao mashambani. Changamoto hii huwakumba zaidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za asubuhi. Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula...
54 Reactions
368 Replies
99K Views
Wiki hii kuna vibaka wameiba sana ng'ombe na mbuzi nahisi mambo ya sikukuu, hebu tushauriane ni njia zipi unaweza kutumia kudhibiti wizi mabandani, na kama una experience yoyote pls iweke...
4 Reactions
35 Replies
7K Views
Wakuu habari, Alhamisi niliuliza mwenye ujuzi wa water pump maana pump yangu ya kuvuta maji imekatika kifaa cha kupokea mafuta kutoka kwenye tank kwenda kwenye engine sasa naomba mwenye ujuzi na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wapendwa? Ng'ombe wangu ameanguka toka juzi na hawezi kusimama. Ingawa anakula na anajaribu kusimama muda mwingine. Dkt. amejaribu kumwekea dripu jana ila mpaka muda huu hajaweza kusimama...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Haya ni baadhi ya mambo muhimu sana kufanya kuanzia siku ya kwanza ili vifaranga wako wasipate madhara na hatimaye kufa. i) Mara baada ya kuanguliwa, vifaranga wawekwe sehemu yenye joto kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalah Ullega mara...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama kuna thread hapa zinahusu mazao hayo naomba kupewa link. Kama hakuna basi naomba anaejua kuhusu hayo mazao anisaidie all the infos ------------ link za kilimo cha uyoga Kilimo, soko na...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
KUCHAGUA ENEO Katika uchaguzi wa eneo kwa ajili ya bustani zingatia yafuatayo: Mwinuko Eneo lisiwe kwenye mwinuko mkali kwa sababu sehemu kama hizo zinaweza kusababisha mmomonyoko wa udongo...
18 Reactions
49 Replies
57K Views
Utangulizi EM.1®️ ni teknolojia iliyogunduliwa nchini Japan miaka ya 80. Imesajiliwa Tanzania na Kampuni ya Feedpro EMAx Limited mwaka 2018. EM ni kifupisho cha Effective microorganisms ambao ni...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
KILIMO BORA CHA PILIPILI HOHO Jina la kitalaamu la PILI PILI HOHO ni Capsicum annum. Asili ya zao hili ni bara la Amerika ya Kusini. Hapa nchini zao hili hulimwa katika mikoa ya Iringa, Tanga...
4 Reactions
143 Replies
97K Views
Back
Top Bottom