Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari wadau, Napenda nifahamu kuhusu matumizi ya kinyesi cha popo kama mbolea kwenye kilmo hasa cha mpunga. Je, naweza kuitumia kama aina gani ya mbolea; ya kupandia au kukuzia? Je, nitumie...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni suala nililolisikia muda ila nimethibitisha baada ya mpapai kurefuka tu bila kuzaa nikaufunga gunzi ukazaa mapapai mawili, kutokana na mvua gunzi lilianguka, ukaacha kuzaa, ukafungwa gunzi tena...
6 Reactions
68 Replies
21K Views
Habari wanandugu, Nahitaji pilipili hoho za njano na nyekundu anaeuza kwa Jumla naomba ani PM tafadhali. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau naomba kujuzwa. Nimelima pilipili ila baada ya mzao wa pili kwenye majani imejitokeza kama ukungu kwa chini na mimea ni kama imeanza kudhoofu. Tafadhali nini sulihisho sbb nimejaribu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wa JamiiForums na wakulima kwa ujumla, Ningependa kufahamiana na wakulima wenzangu waliopo Mwasonga-Kigamboni ili kuweza kutembeleana kujifunza zaidi.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna ugonjwa unapukutisha mbwa haswa, tumezika mbwa wengi sana na hasara kubwa kujaribu kuwakoa. Sasa hivi kuna cases za mbwa kuugua ugonjwa wa Leptospirosis. Ugonjwa huu husababishwa na bacteria...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninapanga kuanzisha mradi wa mifugo (kuku wa kienyeji, mbuzi, nk.) kwenye shamba la ukubwa wa ekari 7 lililopo wilaya ya Bahi Dodoma. Natafuta mtaalamu mwenye uzoefu wa uchambuzi yakinifu wa mradi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF, Nimerudi tena kuomba ushauri wenu kwa sababu palipo na wengi hapaharibiki jambo. Leo naomba waliowataalam wa ufugaji hasa ng'ombe wa kienyeji waniambi je, unalipa. Mimi kama...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Leo nimetembelea shambani kwangu nimekuta baadhi ya miche ya mahindi ina hali hii,kwa wataalam naombeni mnijuze hali hii ya kutoboka majani inasababishwa na nini na nichukue hatua gani za haraka...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
As Salaam alaykum Ninatafuta patner kwenye Kilimo kuwekeza na kufanya kazi nami Tanga. Tutafikiri pamoja mazao gani yatalipa. Na eneo ya kuuza. Baadae tutafuta shamba na wafanyakazi husika. Kwa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari wadau! Ninatatizo kubwa sana katika hizi harakati za kujikwamua kiuchumi, mimi ni mfugaji wa kuku wa kisasa wa mayai (Layers) tangu waanze kutaga huu ni mwezi wa 4 sasa, lakini utagaji...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
UNAPOAMUA KUANZA UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA, ZINGATIA VIGEZO VIFUATAVYO KATIKA KUCHAGUA NG'OMBE BORA ATAKAYEKUPA FAIDA KUBWA 1. UMBO : siku zote ngo'mbe wa maziwaQQ anatakiwa awe na umbo la...
2 Reactions
16 Replies
6K Views
Niaje wakuu. Naomba kujuzwa kama kuna anae jua pilipili hoho kwenye soko la jumla inauzwaje na kwa kipimo kipi either kwa gunia kwa kilo au kwa kuuza hoho moja moja kama ilivo soko la machungwa...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Ninafuga Ng'ombe tunaowaita wa kisasa. Nina mpango wa kuwajengea banda la kupumzikia tu na sehemu yao ya kulia majani iwe sehemu ingine japo ni extension tu naomba ushauri sifa za banda liweje?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Usha sikia bata wa nyama ba mayai? Hapa nazungumzia aina mbili za Bata. 1. Pekin au American Duck 2. Khaki Campbell Hawa pekin ni Broiler bata yaani ni sawa na kuku brouler kwa sababu wana mature...
3 Reactions
16 Replies
5K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakuu habarini za wakati, wanaboard. Moja kwa moja nijikite kwenye mada. Nimefuga kuku kwa miaka takribani 6 sasa. Nimefuga kuku wa mayai (layers) na kuku wa nyama (broilers). Katika ufugaji...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wandugu. Nasikia kwamba katika kuhamasisha kilimo bongo, wakati wa kuingiza vifaa vya killimo nchini hulipii kodi bandarini. Hii pia iko kwenye vifaa vya madini? mfano wash plants n.k
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natafuta mtu wa kushirikiana nae kufuga nguruwe itapendeza akiwa Na mtaji mm nisimamie mradi
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Heshima kwenu wadau, katika harakati za mawazo yanuwekezaji, kuna mdau alinidokeza juu ya kilimo cha mkonge, ila kwa kuwa sijawahi waza, wala kupata mtu ambaye amewahi kufanya hiki kilimo...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom