Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari wakulima wenzangu Kwa miaka ya Nyuma kidogo ilionekana kulima ni umasikini na ufukara yani kuajiliwa ilikua ndo mwake mwake. Miaka hii kilimo ndo mpango mzima yani unakuta hata waajiriwa...
6 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama heading inavyosema, wakuu natafuta shamba kwa kilimo cha mbogambiga na matunda kama tikiti nk. Eneo liwe Mkuranga, Bagamoyo, Morogoro nk. Upatikanaji wa maji ni muhimu na aina ya udongo iwe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka kununua MF 2904WD ya HP 77. mwenye uzoefu nayo katika matumizi ya mafuta na spea anipe ushauri tafadhali
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini ndugu naomba kwa yeyote anafahamu biashara ya bidhaa zitokazo kwa ng'ombe kama pembe, ngozi, kwato pamoja na nyinginezo naomba msaada.
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari Wadau Jf, Nina Shamba La Ekari 10 lipo Bagamoyo Pwani Karibu na Kidomole. Bado ninatafakari nilime nini,ambacho naweza kuitumia Ardhi vema.Nipo Naishi Dar.Angalau Mazao yasio ya Msimu...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu nisiwachoshe sana, Naomba mwongozo kwa anaeweza kunisaidia kuanzisha kiwanda cha uzalishaji mbolea hii adimu kuhusu malighafi ipo ya kutosha! Mnisaidie pa kuanzia ili niweze kuandaa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha habari hapo juu natafuta shamba la kukodi kwa ajili ya kilimo cha mahindi iwe Mbeya, au songwe kwa mwenye nalo au kama unaweza nisaidia mwaka huu nataka nijikite...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hello, Mimi ni mfatiliaji sana wa mambo ya kilimo katika mitandao mbalimbali. Pitapita zangu youtube nimekutana na tangazo la pampu zinazotumia nguvu za jua(simsolar) Swali langu ni. 1: hii...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za leo, natumaini nyote mpo vizuri. Kama kichwa kinavyo someka, lengo kuu la kutaka tukutane hapa ni kuwaambia wadau wanaoitaji kununua iliki kuwa mzigo upo wa kutosha. Hiliki inapatikana...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Mashine za kutotolesha mayai ni professional activities, ni utaalamu endelevu na sio dormant activities, mashine za kutotolesha vifaranga zimegeuka kuwa dili kwa wajanja wachache, ikumbukwe kuwa...
3 Reactions
15 Replies
6K Views
PEAT MOSS NI NINI? Peat moss ni udongo maalumu unaotumika kwa ajili ya kuandaa miche hasa kwenye upande wa miche ya mboga mboga na matunda kama vile nyanya,hoho,papai n.k Udongo huu huzalishwa...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Nimesikia wafugaji wengi wa kuku wa mayai wakisema huwa wanakusanya mayai asubuhi na jioni kwakuwa kuku wa mayai hutaga mara mbili kwa siku.je hii ni kweli?
0 Reactions
17 Replies
20K Views
Pikipiki ni bei rahisi kuliko trekta na inaweza tumika kulimia
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau habari za usiku. Najua JamiiForums ni kisima cha maarifa, naomba ushauri kwa anayefahamu. Nina miti yangu ya matunda nataka kuotesha, nyumbani ninayo mbolea ya kuku (mavi ya kuku) nilitaka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu? Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Arusha lakini napenda kujihusisha sana na kilimo. Ni wapi mkoa wa Arusha naweza kufanya kilimo cha umwagiliaji cha maharage ya njano? Kwenye mashamba ya...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari za majukumu , naombeni msaada wa mawazo nahitaji kuingia kwenye kilimo cha mpunga naomba anae jua mchanganuo wa haya 1.Gharama za kukodi shamba kwa ekari 1 2.Kulima,palizi kwa ekari 1...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nataka nilime mahindi ila nahofia kuangamiza pesa. Je, nipande mbegu gani iliyo bora kwa kipato kingi?
1 Reactions
101 Replies
22K Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Wakulima wengi ndani ya Tarafa ya Mihambwe wamehamasika mwaka huu kulima zao la Ufuta kutoka kwenye utegemezi wa zao moja la biashara la Korosho. Wakulima hao...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wadau, Naomba ushauri. Je naweza kutumia Tank moja (mfano la lita 5000) lililo juu ya mnara kusambaza maji eneo lenye ukubwa wa ekari hadi 8? Tank liko kwenye mnara wa futi 12. Kama...
3 Reactions
59 Replies
18K Views
Back
Top Bottom