Ndugu nadhani sasa inabidi tubadilike na tujaribu kuangalia mazao mengine ya kibiashara Kimataifa. Na hapo nazungumzia mazao ndani ya mashauriano ya kilimo huku ndani ni kama hayajulikani na kama...
Wakuu habari,
Mimi ni mmoja wa watu wanaovutiwa sana na kilimo na natamani sana siku moja niwe mkulima wa mfano; ombi langu kwenu kama kuna mtu humu analimia Bariadi mto simiyu namba anipe uzoefu...
Habari.
Biashara ya ng'ombe nimekuja kugundua ni nzuri sana baada ya kutembelea mikoa ya kagera kuelekea hadi mpakani mwa uganda na tanzania.
Imekua ni biashara iliowapa vijana wadogo ambao...
Habari za asubuhi wadau.
Natumaini siku yenu imeanza vizuri kwa wale tulioamka mapema.
Kama kuna mtu ameshawahi kutumia mizinga ya nyuki kutoka China naomba mrejesho juu ya ufanisi wake...
Habari yenu wanajamii.nimekuja humu kuomba ushauri kwa faida yangu pamoja na kwa faida ya wengine.
Kama kichwa cha habari kinavyosema...Nahitaji kufahamu kwa mtu anaetaka kulima kilimo cha mpunga...
Habari yenu wanajamii.nimekuja humu kuomba ushauri kwa faida yangu pamoja na kwa faida ya wengine.
Kama kichwa cha habari kinavyosema...Nahitaji kufahamu kwa mtu anayetaka kulima kilimo cha...
Wasalaam wana jukwaa hope mko poa na majukumu ya kulijenga taifa.
Katika pita pita hapa JamiiForums kuna jamaa wa Zanzibar akani PM ni akanielezea anapenda sana kilimo anataka awekeze shambani...
Mkuu huwezi kujua ni kwa jinsi gani Thread yako ilihamasisha watu wengi kuhusudu kilimo nikwemo na mimi.
Bila kujali Changamoto Ulizopitia ulikuwa hero wa kipindi chako.
Ulinisababisha kwenda...
Wadau habarini za siku! Tuwe pole na majukumu ya kila siku.
Mimi naomba niulize ama mwenye uelewa anijuze;
Nimepanga nyumba fulani ambayo imezungukwa na mipaini au wengine wanaita mibai yaan ile...
Nimechimba bwawa tatu kubwa na ndogo moja maeneo ya Ruvu, nimezungushia fensi ya mabati, nyumba ya kuishi ipo na mfanyakazi tayari yupo ikiwa pamoja na miundombinu mingine iko poa mfano pampu za...
Mwaka 2016 mfumo wa maisha ulibadilika baada ya Serikali mpya kuingia madarakani! Vijana wengi tulijikita katika kilimo na ufugaji baada ya motivational speaker kutuhakikishia tutapata utajiri...
Wakuu nimekula mayai ya kienyeji nimetosheka, sasa nahitaji niyabadili kuwa vifaranga ili nifuge kuku.
Naomba anaetoa huduma tajwa hapo juu kwa Dodoma anijulishe nimletee mayai...
Sikumoja nitaanza ufugaji ila nahitaji EXPERIENCE ya ufugaji na mambo yote yanayohusu ufugaji kibiashara usimamaizi, masoko nk.
Kwa aliye na wazo la kuanza ufugaji wa kuku (broiler)tushitikiane...
Mim ni mkulima nina muda wa miaka minne katika kilimo cha mpunga, mkoa wa Morogoro wilaya ya Mvomero, tarafa ya Turiani, na ndipo shamba lenyewe lilipo ukubwa wa heka nne (4) na nusu. Kwa msimu...
Habari njema kwa wakulima wenye ndoto za kuingia kwenye kilimo cha korosho.
Mkurugenzi wa manispaa ya Lindi anawaalika watanzania wote wenye nia ya kulima korosho kuja katika halmashauri yake na...
In some cases, big cats, who are likely to ambush predators, being seen by their prey can lead them to abandon the hunt. Although unlikely to be a silver bullet, this solution is cost-effective...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.