Asparugus ni aina ya mboga iko kama vijitivijiti ila ni mboga ambayo ni very delicious na ni moja ya mboga very Expensive sana.
Kwa Tanzania mara nyingi huwa wana iagiza either South Africa au...
Jamani wana Jukwaa la Kilimo nahitaji kujua inakosti kiasi gani kufungiwa hii mipira kwenye shamba la nusu heka? Na je, nawapateje wanao funga ile mipira?
Wavuvi na watumiaji wengi wa boti zenye injini wamekuwa wakipata nyakati ngumu za kuporwa injini zao na wengine kujeruhiwa
Kesi nyingi za kuibiwa injini za boti ni katika ziwa Victoria, ambapo...
Habari wana JF,
Nina wazo la kulima alizeti katika wilaya ya Liwale baada ya kuona ufuta unasuasua kwenye suala la bei sokoni.
Naomba wenye uzoefu kuhusiana na mbegu inayohimili hali ya hewa...
JINSI YA KUANDAA HYDROPONICS FODDER KWA AJILI YA MIFUGO YAKO
Leo tunazidi kukuwezesha kutambua fursa lukuki ambazo zinazoweza kufanywa na yeyote katika jamii yetu.Leo tutaangalia juu ya...
Jamani wadau na wataalamu wengine wa kilimo,kilimo cha mpunga sasa kimenichosha kutokana na soko lake bei yake imeshuka wakati garama za uendeshaji zipo juu mno.
NAOMBA USHAURI WA ELIMU YA JUU...
Wadau,
Poleni kwa kazi. Nina maswali mawili ambayo ninaomba mnisaidie
1. Nimekuwa nikijaribu kufuatilia kanuni za ufugaji bora wa Sungura katika maeneo ya joto kama DSM. Nimevutiwa sana na...
Habari wakuu.
Mimi ni mtu ninayevutiwa na ujasiriamali, sasa niliwahi kusikia kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai. Nilianza kwa majaribio kuku 300 tokea April mwaka huu, hivi sasa...
Heshima kwenu ndugu
Naomba mwenye kujua wapi naweza pata nguruwe mzuri wa Mbegu mwenye mimba kwa bei nzuri anijulishe au Kama muuzaji tiririka bei na aina ya nguruwe ulonao
Shukrani
Wadau nipo mbioni kununua water pump kwa ajili ya shughuli za umwagiliaji. Naomba kujuzwa ipi ni aina bora ya water pump, hasa hizi za inchi 3-4 zinazotumia petrol.
Ahsanteni!
Salaam wakuu,
Habari zenu? Kwa kifupi nimejichanga visenti kidogo kama Tshs. 300,000/= kwaajili ya kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji.
Nina uhakika hazitoshi lakini naomba msaada wenu labda...
Salaam,
Ningependa kuwahabarisha wafugaji ,wauzaji na wasambazaji wa bidhaa za nyama (red meat & white meat) kutakua na maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada tareh 4 mpk 6 February 2021...
Habari wana JF wenzangu,
Katika harakati za kupambana na maisha nawaza kulima kilimo cha mahindi ya kuchoma.
Naomba kujua undani wa kilimo hicho na kuhusu masoko ili nifanye research ya soko...
Salaam wakuu!
Baada ya kuhangaika sana nimefanikiwa kupata milioni 6 ya mkopo bank, sasa nilikuwa nahitaji kuwekeza katika ufugaji, eneo la kufugia ninalo tayari lenye ukubwa wa heka 30 na ni...
Wadau mimi nalima sana mazao kama vitunguu, hoho, biringanya, bamia. Nimetenga nusu heka nataka nilime nyanya yenye kusapotiwa na miti ambayo inasemekana mavuno ni zaidi ya miezi 3.
Naombeni kama...
Hawa kuku nilitaka kuwauza wakiwa na week 2 kwa kupata changamoto ya banda ila nimepambana hadi nikajenga banda na sasa wanaendelea vizuri sana
Hawa kuku wananifurahisha kitu kimoja ni wagumu...
Jamani habari za leo!
Naomba kupata uzoefu wa uvuvi wa samaki hasa Sangara ziwa Victoria, nahitaji kuanza kuvua samaki hao ila sina uzoefu juu ya gharama za kumiliki mtumbwi, bei ya nyavu au...
Ndugu zangu amani Iwe pamoja nanyi. Kumekuwa na mawazo kuhusu kilimo na wengi wamekuwa na shauku kubwa sana kufanya kilimo hasa cha kibiashara. Yes, ni vizuri lakini hasara zake zimewapata wengi...
From marketing tricks to shady practices, the food industry has a lot of secrets. But they just want you to think about their yummy products, nothing else. Well, it’s important to know about the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.