Ndugu zangu nataka kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Nimechagua jukwaa hili kama sehemu ya kupata maujuzi. Naomba kujuzwa juu ya Gharama, Faida, Changamoto nk
Watalamu wakubadi nimefanya hivi ili hilo tawi liweke mizizi kwenye huo udongo halafu nilitoe hilo tawi niipande sehemu nyingine naomba mniambie kama nitafanikiwa au nimechemka
Wakuu!
Mimi napenda sana sekta ya kilimo na ufugaji, sasa nilifanya Demo ya kilimo cha pilipili, kwa miche 3 tu. Leo nimevuna .
Naona pili pili zimetoka vizuri sana, nimeona kumbe naweza kufanya...
Wakuu mwaka huu nimeamua kulima vitunguu,natafuta mbegu bora za kupanda kwenye vitalu mwishoni mwa mwezi huu.
Mimi niko Moshi kama unazo ni-PM tufanye biashara.
Habari wazee kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nilianza ufugaji mwaka jana mwezi kama huu nilifuga kuku kwa ya intensive system kuku zaidi ya 150 lakini niliwahudumia vizuri nikiwa huku...
Kiswahili kizuri unaitwa mchunga ila sisi watu wa Iringa tunaita "Mkalifya " nyie kwenu mnaitaje?
Na ule uchungu uchungu ndio utamu wake! Kama huli anza kula maana ni dawa mwilini, mchunga...
Hello team msaada tafadhali.
Iko hivi, shambani kwangu bamia zinatoa maua vizuri tu. Tatizo ni kwamba maua yananyauka kabla ya wakati na hivyo yanapodondoka huacha matunda dhaifu ambayo hunyauka...
Tatizo kubwa sana wakulima tulilo kuwa nalo lilikuwa Fall Worms au Viwavi Jeshi Vamizi.Mwaka huu nimeona tatizo lingine kubwa,nadhani ni Fungal Disease. Kama ni Leaf Rust or Leaf Spots sijui,but...
Wadau naomba kuelimishwa kuhusu moneymaker Pump. Je, ina uwezo wa kusukuma maji umbali gani? Ubora wake ukilinganisha na hizi pump za laki tatu za Kariakoo?
Naomba kujua na bei zake na wapi...
Habari wadau,
Mimi ni kijana mjasiriamali ambae siku zote ndoto zangu ni kufanikiwa na njia pekee ya kuyafikia mafanikio ni malengo na uwekezaji.
Katika pita pita zangu na harakat za kutafuta I...
Mwaka huu(2020) mwanzon niliamua kuanza ufugaji wa kuku chotara. Niliamua kuanza na kuku 120. Nlinunua vifaranga wa mwez mmoja
Changamoto
Magonjwa, hii ilkuwa changamoto ndogo magonjwa hayakuwa...
Habarini na mihangaiko wakuu
Mimi Kama member wa humu sio mjuzi Sana na mzoefu wa kutumia JF app lakini katika kupitapita siku moja sijui ni category ipi nikakuta wanazungumzia kuhusu kuhusu sumu...
Habari za muda huu wanajamii.
Naomba ushauri juu ya ufugaji wa farasi.
1. Ni ipi mbegu bora ya farasi?
2. Farasi wanachukua muda gani tangu azaliwe mpaka aweze kupandwa na kuzaa?
3. Kwa hapa...
Jamani mimi ni mfugaji nataka nifanye biashara ya kuuza vifaranga, lakini nakwama jinsi gani ntapata wapi mayai ya kutotoleshea viranga vya broilers na layers?
Kwa yoyote mwenye ufaham basi...
Hongereni wafugaji salaaam zenu popote mlipo nawalaji nyama yake nikiwemo. Ufugaji wa bata mi binafsi nauona ni mgumu sana kutokana na tabia za bata ni mchafu sana yani yeye yupo rafu angekuwa...
Habari za muda wakuu,
Naomba kwa anaejua namna ya kukauka miti maana nilitoka nyumbani baada ya miaka miwili nikarudi sasa miti imekuwa mingi na haina kazi yeyote kuyachimba ni gharama kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.