Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Jambo wana JF, Mimi ni mjasiliamali natafuta shamba la kulima mwakani (masika) pamoja na eneo la kufugia mifugo yangu ikiwepo Mbuzi wa maziwa, nahitaji iwe katika maeneo ya Monduli eneo la Benett...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina mbwa wangu ni wa normal hayupo kwenye ukubwa wala udogo, lakini nikimuita jina nililompa anafanya shughuli zake kama hakusikii lakini ukimuita kwa "mluzi" anakuja. Sasa sijajua ni kwa mda...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakubwa salamu sana ama baada ya salamu naomba mwenye kujua Bei ya hizi Basi za Yutong sasa hivi sijui zimefika ngapi, Napenda kujua bei complete kabisa. Shukrani na abarikiwe kila asomae Post...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za saa hizi wadau. Naomba msaada juu ya swala hilo tafadhali. Naomba kama kuna mdau unajua nyanya yoyote chotara F1yenye matunda makubwa na yenye umbo la mviringo dizain ya Tengeru 97...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Habari ndugu, Naombeni ushauri wa kufuga sungura. Nimefuatilia post nyingi sana bado sijapata ufafanuzi kuhusu chanjo na chakula. Asante Mungu. Asante marafiki.
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Habarini ndugu zangu, naomba mtu mwenye kujua bei ya hoho aina ya YOLO WONDER 100g Pia naomba mwenye kujua ni makopo mangapi yatatosha kwenye hekari moja. Picha ya kopo lake mbegu ni hii hapa
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa juu ya ufugaji mkubwa wa ng'ombe. Nahitaji kuwa na ng'ombe kama elfu moja na mia mbili. Je, nitatakiwa kuwa na vibali vipi serikalini!? Je, ng'ombe wanaotoa maziwa mengi ntapatia...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana JF Kwa wenye ufahamu wa bei ya MBAAZI kwa maeneo mbali mbali na kwa kipindi hiki naomba tufahamishane Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF, naomba kujua ni lini msimu rasmi wa kuanza kilimo cha Ufuta, nataraji kulima Ufuta maeneo ya Babati mkoani Manyara. Pia nahitaji ufafanuzi kwa wataalamu wa muda mrefu wa zao la...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyosema ni wapi nitapata Ng'ombe wa maziwa mwenye mimba kwa bei rahisI? Mini ninaishi mkoani Mwanza.
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wakuu, Ufugaji wa kuku wa nyama umekua mkonbozi sana kwa wafugaji wengi lakini tatizo linakuja kwenye soko la uhakika la kuwauza hao kuku, mwisho wa siku wanajikuta wakiingia hasara...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za jioni wadau, nahitaji watu wenye uzoefu wa kupanga magogo na kuchoma mkaa. Pia nahitaji mtaalamu wa kutumia chainsaw. Kazi iko Kilwa. Karibuni.
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wadau. Naomba kufahamu Bei ya mpunga kwa eneo la Ifakara ni shilingi ngapi kwa sasa kwa gunia la debe kumi au bei ya Debe moja. Lengo langu nataka nianze kununua kwa sasa ili mwezi wa 12...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
FURSA YA KILIMO CHA NYOKA Kilimo cha nyoka ni moja ya kilimo chenye faida sana ,mmoja anaweza akaanzisha kilimo hichi ukizingatia thamani ya "snake venom" ipo juu sana. Sumu ya nyoka inatumika...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari za mda huu wana jamvi, Naomba msaada kwenye tuta.Kuna rafiki yangu ni Mwalimu yupo wilayani Newala katika mkoa wa Mtwara. Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake anatakiwa kuhama...
2 Reactions
25 Replies
10K Views
Nimepata wazo kwa sisi tulioshika mashamba makubwa ni bora kuyalima miti. Wanasema maembe baada ya miaka 3 utaanza kuvuna maembe na kufikia miaka 5 hadi maembe 500 utapata. Kwa mitiki, wao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau habarini za mchana huu! Mwenzenu nina ufugaji wa Kuku wa asili na Mungu kanisaidia wamefika 300 na ninatumia mfumo wa zero grazing. Kuna huu ugonjwa Kuku kama 10 yote majogoo miguu inakosa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani mie nina plan ya kufuga kitimoto kwa wingi. Nimesha fuatilia kwa karibu gharama infmashen nyingi ila kabla sijaanza ufugaji wenyewe naomba nijue kuhusu soko. Nia yangu ni kufuga na kuuza...
0 Reactions
141 Replies
57K Views
Habari, Ikiwa nimepanda maharage ya soya ya njano kwenye shamba lenye ukubwa wa heka 2, yakaota vizuri na kuzaa vizuri, je kuna uwezekano wa kuvuna gunia ngapi?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Je kuna kampuni ambayo naweza kuja na bidhaa mfano viungo na wao wakawa wanazifungasha ili mimi nichukue kutoka kwao bidhaa iliyokamilika? Inaitwa Copacking kwa kiingereza maelezo link:
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom