Habari za jioni wanajamvi.
Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi au anayejua namna ya ufugaji wa samaki. Upatikanaji wa mbegu, uchimbaji wa kisima, chakula, muda wa kuvuna toka kupanda na namna ya...
Makundi ya Tembo yamevamia katika baadhi ya vijiji vya kata ya Lubungo wilayani Mvomero kijiji cha vianzi kitongoji cha Menge mkoani Morogoro na kuharibu mazao kwa mara nyingine tena.
Mmoja wa...
Baada ya mvua kuchekewa kunyesha, shamba nililokuwa nikilima mahindi nimeona bora nilime mbaazi. Lakini hiki kilimo kwa kweli sina uzoefu nacho. Nimeamua kulima mbaazi baada ya kugundua zina uwezo...
naona serikali ingeruhusu watu wafuge baadhi ya wanyama wa porini ingekuwa poa sana. aina za nyama zingeongezeka na kipato kuongezeka. tungeongeza pesa za kigeni maana tungekuwa tunatoa nyama...
Heri ya mwaka mpya wana JF.
Kuna tatizo kubwa sana lipo mtaani hasa huko vijijini kwa wakulima na mijini kwa walaji wa mazao ya mbogamboga kama nyanya na matunda ya matikiti na matango.
Tatizo...
Vyakula mbadala hasa wadudu ndo wanaaminika wanaweza saidia kupunguza balaa linalo nyemelea Dunia kwa sasa.
Ninavyo zungumzia wadudu nazungum,ia Edible insect. Hawa ni wadudu wazuri kwa ajili ya...
Naomba nitoe ushuhuda kidogo.
Mimi ni moja ya watu ambao najaribu kuwekeza kwenye kilimo ila naleta ushuhuda ili liwe somo kwa serikali na wananchi kwa ujumla.
Maka jana nililima ekari 20 za...
Ajira zimekuwa ngumu sana,nahitaji vijana 10 wa jinsia tofauti tufanye kilimo cha mahindi,eneo nimeshapata ekari 50 kinachohitaji ni hao vijana 10 kwa ajili ya nguvu kazi ,kununua mbegu,mbolea na...
Habari za weekend wanajamvi.
Wakuu naombeni ushauri wa mbegu bora ya nyanya ya kisasa inayostahimili wakati wa masika na bei yake. Naomba kuzijua mbegu zinazozaa vizuri wakati huo na...
Nilikuwa nauliza anayejua aina za dawa za
- Kunywesha na sindano kwa ng'ombe
- Mwenye minyoo
Ambaye unampa kinga ya minyoo
Aina ya minyoo inayoshambulia ng'ombe
Majina ya dawa ikiwezekana na bei...
Salaam;
Nimepata habari kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Mh. Bashe ametoa maelekezo kwa vyama vya ushirika nchini kusimamia uzwaji wa mpunga na mahindi upitie kwenye vyama hivyo kwa utaratibu wa...
Ndugu wazima jamani!
Mimi ndo nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji na nina muda wa mwezi sasa.
Tatizo vifaranga wangu wana ugonjwa wa mafua naweza kuwapa dawa gani?
Sent using Jamii Forums...
Wakuu naombeni ushauri.
Nina wazo la kuingia shambani, nilime zao gani kati ya nyanya na kabeji?
Na ninahitaji kupata zaidi ya million 2 katika kilimo, nilime kiasi gani ili kufikia lengo...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nitahitaji kuanzisha biashara yangu ya duka la nguo. lakini huku kwetu ni washirikina sana.na mimi sihitaji kjihusisha na ushirikina na hata biashara...
Kauli ya Mheshimiwa bungeni kuwa bei iliyopanda ya mahindi ni faida kwa wakulima hakika si kweli na uwazi kuwa hujui tabu za wakulima.
Mahindi huanza kuvunwa mwezi wa 4 hadi wa 7 na ndiyo miezi...
Wadau kwa Hali ya mvua mwaka huu kilimo Cha mpunga chaweza kuwa na manufaa,nataka kuwekeza mikoa ya shinyanga na tabora,ushauri kwenu Ni mda gani sahihi wakusia mbegu kabla ya kupanda-naweza mwaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.