Salaam JF.
Matikiti maji aina ya sugar baby ambayo yanajulikana kwa ubora na utamu pamoja na biashara inachukua siku 60 kukua na ukiongeza na siku 3-5 za kukaa ardhini .Zao hili unaweza kulima...
Kulingana na Benki ya Dunia (WB) katika ripoti yake ya Mapitio ya Uchumi wa Tanzania ya mwaka 2017, inaitaja Tanzania kutumia asilimia 80 ya maji yake yote katika shughuli za kilimo. Matumizi hayo...
Kwema wadau
Ni hivi, Wazungu huwa watu wa ajabu sanaa chini ya juaa hili, yaani wana pesa mpaka hawana pa kuzipeleka ndio maana wanakuja huku Africa kufanya matumizi yao.
Watu mliosomea kozi...
Habari wana JF. Naomba kuuliza kama zipo KAMPUNI za bima zinazotoa bima ktk sekta ya kilimo hasa bima ya mazao. Kama zipo, package zao zinakinga Risks zipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ushauri ndugu zangu, nina mtaji wa M15 nataka nifungue kiwanda cha kukoboa mpunga, je hela hyo itatosha?, biashara hii inalipa?, yapi maeneo mazuri yakufanyia kwa wilaya ya mvomero mana mim...
Kampuni ya Edmark kutoka Malaysia inamakao makuu Masaki Dar es salaam Tanzania.Inajihusisha na uuzaji wa bidhaa za afya (food supplement) ambazo ni asili na zimethibitisha na TFDA.
Kampuni inatoa...
Kuna jambo huwa nafikiria sana. Wengi humu huishia kutangaza biashara zao. Leo naona nizungumzie hawa jamaa wa drip irrigation system. Wengine nitawajia siku nyingine.
Hivi mnaona hiyo 1.8m kwa...
FAHAMU KILIMO BORA CHA
MDARASINI - CINNAMON
ABBAS JIRIWA
0716238374, 0683361843
MUHEZA TANGA
Mvua nyingi za kutosha
2000mm -2500mm kwa mwaka
Udongo wenye rutuba
Joto kwa wingi
Hewa yenye...
Wakuu
Juzi kati hapa narudi kutoka kibaruani nikaamua nichukue matunda kidogo,
Nilistaajabu sana bei ya tikiti moja ni Tsh 10,000/-, hivyo kutokana na ukata nikachukua ya elfu 2 tuu ila vilitoka...
Na Bakari Chijumba
Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba amesema Tanzania inakusudia kuwa mzalishaji mkubwa wa zao la korosho Duniani ambapo imeweka mkakati wa kufikia uzalishaji wa tani milioni...
KITABU CHA MASUALA YA GREENHOUSE SASA KINAPATIKANA
Habari wajasirimali wote na wanajihusiha na kilimo cha kisasa na wanaowiwa kujihusisha na kilimo cha kisasa hasa Greenhouse/Nethouse , sasa...
Habari zenu wakuu.wale wote Wanaopenda kilimo cha umwagiliaji hasa cha kutumia drip line system.katika kilimo cha mazao ya Muda mfupi Karibuni Sana hapa.kama una wazo la kutuelimisha zaidi kwa...
MAHITAJI
- Kuku(tetea) 10
- Jogoo 01
-Banda bora
-Vyombo vya chakula na maji
-Chakula bora
-Madawa na chanjo kwajili ya magonjwa
-Chanzo cha nishati joto na mwanga
-Elimu na ujuzi wa malezi bora...
Wadau kuna mtu humu ndani anauzoefu na hii banki
Labda amewahi kuomba mkopo atupe uzoefu wake
Nahisi hii inaweza kuwa fursa nzuri kama tukiitumia vizuri
Heshima kwenu wakuu, nalenga kuotesha miche ya mipaina(pines) ili kupunguza gharama za kununua miche iliyooteshwa. Lakini sina uelewa wa kutosha wapi nipate mbegu bora ikiwezekana za kisasa...
Mimi mfungaji wa kuku wa kienyeji
Nitatizo ktk kulea vifaranga
Naomba msaada njia gan bora
Ya kulea vifaranga
Maana nina kuku wangu watotolesha vifaranga 11 mpaka 13
Ila kwenye kulea wanabaki...
Wapendwa,
Naomba mnisaidie kwa anayejua jinsi ya kuweza kuwapata vifaranga vya layers - either kutoka interchick au mkuza chick .
Ninahitaji layers vifaranga 500, nipo mkoani njombe.
Ntanguliza...
Jaman naombeni msaada nipo hapa mwanza nataka nilime kilimo cha siku 90-120 nipeni ushauri naweza kilimo cha zao gani kwa hapa mwanza ila mtaji nnao Tsh 200000 eneo lipo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.