Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari wana Jamii, Kwa kifupi nimeanza kufuga Kuku wa Mayai (Layers) ni mgeni kabisa katika suala la ufugaji kuku wangu kwa sasa wana wiki 10 ila kuna Kuku kama 20 kati ya 300 wanatoa machozi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwenu wataalam na wadau wa kilimo huu ni mche wa pilipili hoho nimeujaribu kuchunguza shambani nikaona miche mitano iko zaifu baada ya kuing'oa nikakutana na hali hii je ninaweza kutumia dawa zipi...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Kwa wale wafugaji wa kuku wa kienyeji na wasio na uwezo wa kupata artificial incubators, fuata njia hii kutotolesha vifaranga vingi katika kipindi kifupi. Uwe na majike kadhaa wanaotaga (mfano...
18 Reactions
42 Replies
40K Views
Habari zenu wadau? Naomba msaada wa kujuzwa mikoa na wilaya ambazo/ ambayo naweza kwenda kulima mpunga kwa msimu huu wa mvua. Naombeni mnisaidie hasa wilaya zinazofaa kwa shughuli ya kilimo...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Wakuu naomba kujua mbegu ipi nzuri ya parachichi za budding
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu habari poleni na majukum ya kitaifa!!! Ase naombeni msaada nina kuku wa kienyeji matetei 30 na majogoo 4 tatizo hawa kuku nahisi kama kuna mtu ananichezea kwenye kuku wangu yani kuku...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Tafadhali mwenye ufaham naomba msaada kujua utaratibu na mchakato mzima mpaka kupata kibali cha biashara hiyo
0 Reactions
5 Replies
17K Views
Naombei mwenye kujua tatizo hili la mpapai kuangusha matunda wakati wakuchanua aniambie nidawa gani nitumie ili mpapai uendelee na kutoa matunda maana saivi kila uwa likichanua tu linaanguka hii...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naombeni mnisaidie kama kuna mfugaji bata mwenye uzoefu.... bata wangu vifaranga huwa vinakufa sana naombeni mnisaidie ni tatizo gani hili na nifanye nini kuzuia hili?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana JF. Ninajaribu kujifunza kuhusu kilimo cha uyoga na pia ninaperuzi na masoko yake. Nataka kuwa mkulima wa uyoga lakini nataka kwanza nijue namna ya kutoa uyoga bora na kupata masoko...
3 Reactions
175 Replies
85K Views
Natumai mu wazima wanashiriki wa jukwaa hili. Kama heading inavyojieleza naomba kwa mwenye uzoefu na kilimo cha mpunga maeneo ya Ifakara anisaidie taarifa kuhusu yafuatayo :- i. Upatikanaji wa...
2 Reactions
27 Replies
26K Views
Habari ndugu zangu, naomba kujua kuhusiana na kilimo cha maua kama vile waridi (roses). Ikiwa kuna mtu anafanya hiki kilimo au ana ufahamu nacho ni vema ukashea uzoefu wako hapa kwa manufaa ya...
0 Reactions
124 Replies
40K Views
Kifaa hiki chenye uzito wa kilo 18 kina uwezo wa kubeba kilo 80. Humuwezesha mtu kufikia juu ya manzi na kuangua nazi. Kifaa hiki kilivumbuliwa kutokana na idadi ya wakwezi wa jadi kupungua na...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau, naomba kusaidiwa kufaham maeneo ya magodown ambapo naweza kupeleka mazao ya kunde nk kwa ajili ya mauzo. Asante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za jioni nmepata hekari 1000 ambazo zipo kwajili ya kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga na hizo zimetolewa na serikali ya kijiji kwenye wilaya maarufu ya kilimo cha mpunga mashariti...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wanajamvi, mimi ni kijana niliyeamua kujikita katika ufugaji kama njia mbadala ya kujiongezea kipato. Nilianza na nguruwe 6 ambao wanaendelea vizur (wale wenye mabaka meusi)...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wasalama Wana jamvi Mimi ni mtanzania ambaye nimeitikia wito wa Serikali wa kulima kilimo cha korosho katika mkoa wa Tabora wilaya ya Kaliua na mpaka sasa nina ekari 20 za korosho zenye umri...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Muhogo ni zao la chakula na biashara lakini siku za hivi karibuni limeonekana kushamiri sana katika uwanda wa biashara kwa kusaidiana na kushirikiana na mashirika mbalimbali ili kupendeleza...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Kuku aina ya sasso wanaanza kutaga baaba ya muda gani. Au ni kama kuku wa kienyeji
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Campaign kubwa ya Kitaifa ya Cassava for life yazinduliwa Kilindi Mkoani Tanga. Naibu wa Waziri wa Kilimo Mh Omary Mgumba amezindua kampeni kubwa sana Nchini ya Cassava for life Kilindi Mkoani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…