Tanzania kuna upotoshaji mkubwa sana, wengi wetu ni waongo waongo sana. Penye ukweli tunapindisha.
Ili ufuge kuku wa kienyeji, tena kwa banda la hali ya chini kabisa, ni lazima uwe na vitu...
Tanzania kuna upotoshaji mkubwa sana, wengi wetu ni waongo waongo sana. Penye ukweli tunapindisha.
Ili ufuge kuku wa kienyeji, tena kwa banda la hali ya chini kabisa, ni lazima uwe na vitu...
Kama kichwa Cha habari, nimefuga kuku (KROILER)kwa ajili ya biashara Ni mwaka Sasa lakini bado faida siioni na changamoto hasa magonjwa Ni kubwa sana.
Hi niliplan iwe project A na nilikuwa pia...
Kwema wadau!
Nina kama M 1 nataka kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya ila sina uzoefu sana kwenye hiyo mambo kama kuna muelewa anayefahamu kilimo hicho anipe mwanga nisije ingia choo cha kike...
Wakuu habarini na poleni na mihangaiko ya hapa na pale...
Wakuu nilikuwa nakijimtaji cha laki 5 hapa , na mwaka huu nataka kufuga kuku wa kienyeji, na baadaye nije nichanganye na chotara au...
Wakuu habari zenu
Nina tatizo la kuku kudonoana sana.hali ni mbaya wanadonoana kiasi napoeza kuku wengi kwa vifo baada ya kudonolewa zenyewe kwa zenyewe
kuku wana umri wa miezi miwili ni kuku wa...
wakuu kwa wle wafugaji wa broilers wazoef kuna mtu alinambia kuna dawa ya kuchanganya katika chakula cha kuku kinachowakuza kwa wiki 3 wanakua tayar kwa kuuzwa, kwa anayeifaham hiyo dawa naomba...
Hivi karibuni biasharz ya sangara imekuwa kubwa sana mpaka bei ya kilomoja imefikia Tsh 5000 huku mawenzi mkoani Morogoro.
Nimedadisi nimeambiwa ni kutokana na mautumbo ya koromeo (Bondo) ni...
Mpenzi msomaji wa blog hii leo napenda nikuletee kitu kingine tofauti kidogo na ambacho blog nyingi za kilimo, ntapenda kukuletea baadhi ya vifaa ambavyo hutumika shambani hivyo wewe kama mkulima...
Habari bandugu! Naomba wanaoelewa wanielimishe kuhusu dagaa wanaofaa kuchanganywa kwenye chakula cha kuku kati ya wale wanaotoka ziwa Victoria na wale wanaovuliwa baharini.
Wakuu poleni na majukumu nina shida moja nahitaji msaada kidogo kuhusu taarifa au mtu yeyote ambae ameshawai kufanya kilimo cha mpunga cha umwagiliaji katika mikoa ya Morogoro na Mbeya
1.Kianzio...
Entomophagy ni neno la Kigiriki ambalo lina maana ya ulaji wa wadudu kwa binadamu na non human being.
Entomon ni Wadudu na phagein ina maanisha kula.
Zaidi ya makabila 3,000 duniani unaambiwa...
Hi?
Greenhouse Tanzania ni wataalam wa ujenzi wa wa greenhouse na mifumo yote ya umwagiliaji. Pia ni wataalam wa kilimo na hutoa ushauri juu ya kilimo na changamoto zinazompata mkulima. Pia...
Naombeni msaada juu ya maelezo ya jinsi ya kupata mbegu ya ng'ombe kutoka shamba la kitulo lililopo Makete-Njombe ikiwa ni pamoja na bei yake kulingana na umri na kama naweza pata mawasiliano yao...
Ikumbukwe kuwa wk chache nilileta Idea kama watu watapenda kushare kwenye project ya kiwanda cha Maziwa Morogoro. Thanks waliojitokeza. I received almost 30 request of interested ventures.
Luckly...
Habari wanaJF.
Naombeni msaada wenu, nataka nifungue mashine ya kukoboa na kusaga mahindi. Naombeni mnisaidie jumla ya gharama kwaajili ya kufanikisha hiyo shughuli. Inshort nataka kufungua...
Habari wa ndugu
Mimi nimfugaji wa ng'ombe, jana ng'ombe alizaa ndama bila hata msaada wowote yaani kusaidiwa kuvuta ndama, na tayari kondo limetoka.
Leo nimerudi kazini nimekuta ng'ombe(mama)...
Habari zenu Wakuu,
Nahitaji kufuga kuku wa Mayai, ila sijui pa kuanzia. Naomba msaada wenu mnielekeze ili niweze fanikiwa lengo langu.
Je Nikiwa na milion mbili yatosha kuwa mtaji wa kuku wamayai?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.