Wakuu Natumai Mko Poa.
Ninaomba msaada wa kufahamishwa hili zao la hoho mbegu bora mahitaji na soko zuri n kwa wakati upi wa mwaka?
Msaada wenu wa mawazo ndyo mtaji wangu nataka nijimwage na hoho...
Ndugu zangu natarajia kujenga josho kwa ajili ya kuogeshea mifugo yangu ipatayo Ng’ombe 300 na mbuzi 600.hivyo naomba mwenye ramani pamojana mahitaji ya ujenzi ili niweze kuitimiza ndoto...
Wana bodi saalam!
Sekta ya kilimo ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi yetu,lakini kwa bahati MBAYA sana serikali ya Tanzania imeitupilia mbali.
Panahitaji mageuzi ya dhati na makubwa ktk sekta hii...
Tanzania ni nchi yenye walaji wa nyama wengi na kuku huliwa kwa kiasi kikubwa sana.
Hata kama bei zinapanda, ulaji unaendelea kukua.
Matokeo yake ni kwamba kufuga kuku inaweza ikawa biashara...
Hata kama ni kuosha vyombo, niko tayari. Nahitaji kazi yoyote ile nitakayo imudu. - JamiiForums
Hata kama ni kuosha vyombo, niko tayari. Nahitaji kazi yoyote ile nitakayo imudu.
Sent using Jamii...
wakuu habari ya asubuhi, napenda mtu mwenye nia ya kufanya kilimo Cha canola tuwasiliane.
Nimekaa nikatafakari nikaona canola inaweza kuwa mbadala wa alizeti sehemu ambazo alizeti haifanyi vizuri...
Ida si kubwa ya wa-Tanzania wanaishi kijijini, Hii ni takribani 70% ya wa-Tanzania. Hawa wanategemea kilimo ili kuendesha maisha yao. Bado jembe la mkono ndiyo nyenzo kubwa ya kutendeackazi...
Jamani wa ndugu habarini? Naomba kujuwa zao la cocoa kwamaana ya eka moja inapandwa miche mingapi inakuwa. Utavuna baada ya muda gani, mavuno yapoje kwa mti, na bei ipoje sokoni kwa kg.
Sent...
Tanzania na Brazil zimeingia makubaliano ya kuinua kilimo cha Pamba ili kiwe na tija kwa wakulima nchini.
Makubaliano hayo yamejili wakati ambapo Brazil ipo katika hatua kubwa za kimageuzi ya...
Habari za muda huu wanabodi
Naomba kufahamishwa gharama (ijumuishe mtaji, vifaranga, chakula na dawa) za kufuga kuku hawa kwa kuanzia na kuku mia natakiwa kuandaa kias gani
Nimejaribu kusoma...
Habari za asubuhi ndugu zangu
Nina kuku chotara wakubwa na wanataga mayai. Lakini ndani ya wiki wameanza kuvimba miguu kwenye ankle. Alafu naona kama wanaambukizana. I je, huu ni ugonjwa gani, na...
habari ya leo..
Binafsi ninamiliki shamba dogo maeneo ya Ksarawe kwa DC JOKETI lakini halinisaidii chochote kwani sifugi wala sililimi kutokana na ukame ulioikumba ukanda wa pwani wa Tanzania...
Sisi kama Wafugaji Wanyama ndio tegemeo letu kubwa katika kuinua hali zetu za kiuchumi, Vile vile Wanyama ni viumbe wenye Matumizi Mengi kwa binadamu kuanzia Chakula mpaka Urembo.
Kwa namna...
Habari wanajamii leo napenda kushare na Jamii pamoja na taasisi mbali mbali ili kuthibitisha na kufanya utafiti zaidi kuhusiana na Ugonjwa wa GUmboro kwa Kuku.
Nikiwa mgeni katika sekta ya...
Message…habari wana jamii mm ni mfugaji mdogo nafuga kuku wa kienyeji .kuku ninao wachache tu c wengi.hivi juzi nimeanza kuona wanaumwa ugonjwa kama kukohoa hivi.nilipochunguza nikagundua vitu...
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe leo tarehe 21 Machi, 2019 amezindua rasmi mtaala wa Kilimo uliohuishwa baada ya ule wa zamani uliofahamika kama mtaala wa kilimo mseto...
Wadau wanaotaka kujua kuhusu kilimo cha njegere
WAkuu mwenye uzoefu tunaomba tuelekezane juu ya kilimo cha zao hili.
-----
Ndugu zangu naombeni msaada kuhusu kilimo cha njegere, upatikanaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.