Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari wadau, nimeanza kamradi ka ufugaji wa mbuzi hivi karibuni ila tatizo kuna baadhi ya mbuzi pembe zao zina ncha kali hivyo naona kama zinahatarisha wao kwa wao kuumizana, nimepata wazo la...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Parachichi limekuwa zao mbadala la biashara hususani kwa wilaya za Rungwe, Njombe na kwingineko kwenye hali ya hewa inayofanana na wilaya hizo. Zao hili limekuwa muhimu kwa kuwa husafirishwa...
3 Reactions
12 Replies
9K Views
Natumaini mnaendelea vizuri na shuguli za kila siku, pitia kiambatanisho hapa chini kama unataka kujikwamua kupitia ufugaji wa kuku na mazao yake. Pia usisite kuwasiliana na sisi kwa mawasiliana...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wakuu. Katika harakati za kupata maarifa mapya mtandaoni nilikutana na hawa mbuzi (picha chini) maelezo niliyosoma kuwahusu ni kuwa; hawa ni mbizi wa nyama wanao uwezo mkubwa wa kupata...
1 Reactions
62 Replies
18K Views
1.Protini. 2.Mafuta. 3. Wanga. 4. Madini. 5. Vitamini. 1.PROTINI Ni aina ya vyakula ambavyo kazi yake kubwa ni kukuza mwili navyo ni kama ifuatavyo, Mtama, Dagaa, Alizeti na Soya. Hivi vyote...
5 Reactions
10 Replies
10K Views
Natamani kufuga samaki wa maji ya chumvi lkn sina uzowefu wala ujuzi wa namna ya kufuga ,Nina mpango wa kuanza na samaki ,kamba au mud crabes (Kaa tope).je naweza kupata utaalamu hapa auu ushauri...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Habari wadau, Nina shamba langu la hekari mbili na ninatka nifanyanye kilimo cha umwagiliaji wa kutumia gun sprinkler, naomba mnisaidie ni gun sprinkler ipi nzuri kwa kutumia kwenye kilimo cha...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Binafsi nimeamua kujiajili kwenye sekta ya Kilimo, nimejikita kwenye zao la Mahindi na Karanga. Changamoto mbalimbali zinanikuta kutokana na wadudu waharibifu wa mazao, kuna dawa ambazo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ninaguruwe 2 walizaliwa mwezi April 2016 , wanazaidi ya mwaka sasa lakini hawaingii joto ili niwapandshe, naomnba ushauri wako nifanyeje, nimejaribu kuwapa chumvi naona bado tu, msaada wako ni wa...
0 Reactions
37 Replies
14K Views
Protocol observed Mimi ni muumini sana wa kutumia technologia za ndani na bidhaa zinazozalishwa nchini mana kwa kufanya hivyo naamini kuna watanzania wenzangu nimewasaidia ugali. Jambo lililo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau.. Hii ni mbegu ya mahindi ambayo niliichukua kwa rafiki yangu Lakini yeye hajui ni aina gani hakumbuki kifupi. Mimi nimepata kujua ni mbegu bora ya mahindi, lakini ni aina gani hasa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habarini wana jukwaa Nina mpango wa kuanza ufugaji wa kuku wa mayai. Naomba msaada wa kupata mfugaji wa kuku hao anayefuga kwa large scale itakua vizuri zaidi,niweze kumtembelea ili nipate kufanya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta mtaalam mwenye experience ya ufugaji wa wanyama mbalimbali katika mji wa Mwanza, 0755349868
0 Reactions
2 Replies
996 Views
Habari wana janvi nimesikia kuna machine inayo weza kurahisisha upandaji wa mazao kama mahindi, karanga nk je kuna mwenye taarifa sahihi juu ya hili na wapi zinapatikana bila kusahau na bei pia ...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Kwa wale ndugu zangu wenye mawzo mazuri ya kilimo na ufugaji wakati ni huu tumia fursa hii bofya hapa AECF Agribusiness Africa Window Great Business Ideas
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Mimi ni mkulima mdogo wa machungwa niko Muheza Tanga. Ila kwa mwaka huu wakulima wa machungwa tumeangukia kabisa kwani machungwa yanaoza wanunuzi hawaonekani Tumezoea ikifika mwezi huu wa Tisa...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Profesa Aboud Kwa ufupi Watanzania wengi wangeweza kulima mboga, hivyo kuwasaidia kiuchumi kupitia njia hii. Watu wengi katika jamii za mijini wameshindwa kuendesha shughuli za kilimo...
3 Reactions
24 Replies
19K Views
Habari wanajamvi Katika pita pita zangu kwenye mitandao nimeona aina ya kuku ambayo sikupata kuisikia - BUKINI. Najua kuwa kuna BATA BUKINI kumbe sasa hata KUKU BUKINI wapo? Kwa wale...
0 Reactions
22 Replies
15K Views
Tunaendelea na Muendelezo wetu wa jinsi ya kushinda na uwe katika mafanikio katika biashara ya network marketing( Biashara ya Mtandao ) sehemu ya pili tulielezea sababu za kushindwa kufanikiwa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Back
Top Bottom