Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Nahitaji kufuga kuku wa kienyeji lakini nahitaji kujua changamoto ambazo huwa zinajitokeza na namna ya kuziepuka.
3 Reactions
8 Replies
978 Views
Ukiangalia sector ya kilimo na ufugaji hutupatia fedha nyingi na ajira nchini lakini serikali haiweki macho katika nyanja za mwanzo na zenue kuleta wataalam katika sector hizi. Ukiangalia katika...
1 Reactions
6 Replies
387 Views
Kati ya nyanya aina ya DHAHABU F1 na tanzanite ni ipi Ina sifa nzuri?
0 Reactions
11 Replies
787 Views
Habari yenu wakuu hapa JamiiForums. Kwa namna ya pekee kabisa tunatoa shukrani zetu kutoka kwa wadau mbalimbali waliotoa maoni juu ya tread yetu ya kwanza kuhusiana na zao la parachichi mkoani...
2 Reactions
24 Replies
9K Views
Nataka kufuga nyuki kwenye mizinga y mbao. Natamani mizinga hiyo iwekwe kwenye banda lilijengwa. Naomba ushauri na hasa changamoto zake.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakubwaa..! Samahani kwa yeyote anae fahamu bei ya Ndizi Tukuyu/Kiwira na utaratibu unaotakiwa kufuatwa ukitaka kununua. Pia namna ya kusafirisha mpaka Dar es salaam nauli zinakuwaje, kodi pia...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina mbwa mkubwa. Sasa kila mara nikiongeza wadogo ili niongeze idadi hawakai hata mwezi wanakufa. Wanapitia dalili za kunyongonyea, kupoteza hamu ya kula, wala hawarishi na then hata kam tabibu...
2 Reactions
16 Replies
692 Views
Salam Wakuu, Nnatarajia kuwa mmoja wa wakulima wa tangawizi kwa mkoa wa kilimanjaro. Lakini kabla sijajitosa wakuu naomba mwenye kujua vizuri hichi kilimo anielezee. [emoji295]Jinsi yakukilima...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimegundua soko zuri sana la mbweha ninataka kuanza kuwafuga. Kuna watu wanapenda kufuga mbweha kuliko hata mbwa kwa sababu mbweha walifuugwa wanafurahisha sana kuliko mbwa wa kawaida; wanajua...
9 Reactions
31 Replies
4K Views
Eti wataalamu, tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini? nyuki hao wanatofauti gani zingine mbali na ukubwa? maana binafsi huwa naona hili suala ni la marketing tu ili kupiga watu bei.
3 Reactions
16 Replies
5K Views
Wakuu habari za muda huu! Ndege wamekuwa pasua kichwa. Nawaza kuvuna ila sina uhakika kama kwa stage hii zinafaa kuvunwa.
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari MwanaJF, Sasa nimesafirisha nje ya nchi. Niko Ulaya, nilipata hapa paka. Ninataka kurudi nae Tanzania, lakini shirika la ndege liniambia lazima kuwa na kibali cha import (certificat of...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, natumai sote tunaendelea kusherehekea vyema sikukuu. Nahitaji shamba la kukodi Mikese: naomba muongozo kwa wazoefu au kama wako humu wanaoishi maeneo hayo. Asante.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumaini nyote hamjambo! Mie naitwa Kakuyu, naomba ushauri mahsusi kutoka kwa waliokwishafanya Kilimo cha Maembe na Minazi. Nina shamba lipo Kisarawe maeneo ya Masaki (Mji Mpya) lenye ukubwa wa...
2 Reactions
34 Replies
13K Views
Wadau! Naitaji kuku (Matetea) yanayokaribia Kutaga au yanayotaga kwaajili ya ufugaji. Wawe watagaji wazuri niko Bunju Dar es salaam. Aliyenao naomba anicheck PM.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za leo viongozi! Naomba kwa mtu ambaye anajua mchanganuo halisi wa kilimo Cha tikiti anisaidie kuhusu vitu vifuatavyo: 1.Gharama za mbegu za kutosha eka 1 2. Idadi ya Miche katika eka 1...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Bata wako under rated sana ila ni project ambayo mtu anaweza tengeneza pesa ndefu sana tena mno. Wengi tunakomaa na kuku nakujikuta Market share ndi ndogo sana. Mayai ya Bata ndio hutumika kwenye...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Ni uwekezaji mzuri, kama umeweka pesa Bank kwenye Fixed Account. Mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa Tsh. 900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka 6. So, hekari moja ina miti 600 baada ya...
1 Reactions
65 Replies
16K Views
Habari wanajukwaa la kilimo na ufugaji, Tafadhali rejea kichwa cha mada. Ng'ombe hapa nyumbani siku za karibuni amekuwa akitoa maziwa ambayo kwa kweli ni kama maji, hayana uzito wowote na hata...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za muda huu, Nahitaji muuzaji wa jumla wa mayai ya kienyeji kwa wiki nitahitaji trey 15. Niko Dar es Salaam aliye serious anichek.0684-753836
0 Reactions
4 Replies
877 Views
Back
Top Bottom