Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Wadau naweza kupata wapi mbegu za nyanya za hybrid F1 kwa Daressalaam. Au kwa yeyote anajua maduka ambayo naweza kupata mbegu izo aniambie
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Napenda kujua namna ambayo mtu anaweza kutumia ili kudhibiti uharibikaji wa mayai pindi kuku anapokuwa anaatamia. Pia kama kuku anataga mayai mengi kuliko yale anayoweza kuatamia ni mbinu gani...
1 Reactions
2 Replies
205 Views
Jamani kwa wajuzi wa mambo naomba mnisaidie, nimezoea kuwaona kuku wa kisasa na huwa hawatagi, swali langu vifaranga vyake vinapatikana vipi?
2 Reactions
21 Replies
716 Views
FAHAMU AINA ZA KUKU NA FAIDA ZAKE Kuna aina mbalimbali za kuku ambazo mfugaji anaweza kufuga na kila aina inategemeana na malengo ya mtu husika anayetaka kufanya shughuli hii ya ufugaji, hivyo...
11 Reactions
2 Replies
5K Views
Kama habari inavyoeleza hapo juu, Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya, nimelima zao hili kwa zaidi ya miaka kadhaa kutokana na changamoto za hapa na pale zilinifanya kuwa mzoefu na mtaalamu sana wa...
16 Reactions
128 Replies
15K Views
Wadau kama kichwa cha topic kinavyosema, shauku kubwa la mim kuja hapa ni kutaka kupeana uzoefu wa kilimo cha vitunguu maji kw misimu ya hiv karbun kutokana na nyuz zlzomo jukwaani kuwa za miaka...
9 Reactions
97 Replies
11K Views
NYANYA ni zao linalopendwa kutumiwa, kunogesha chakula, chakula kilichowekwa NYANYA huwa na radha nzuri inayomvutia mlaji. Wakulima wengi hutamani kulima zao hili wengi huandika FAIDA na kusahau...
21 Reactions
854 Replies
259K Views
If kuna mtu anajua masoko pls share with me. Nataka kufuga sungura
2 Reactions
5 Replies
336 Views
Wakuu nimeamini sisi wakulima wadogo wadogo hatutokaa tupate utajiri kupitia kilimo kamwe, Nimeshangaa bei za mahindi kwa huku Handeni mpaka sahivi eti gunia ni 35000 ukizingatia mahindi ya mwaka...
14 Reactions
64 Replies
5K Views
Wengi tumesikia watu wakisema au kutaja Gundi ya Nyuki, ambayo kwa ufugaji wa Kisasa imeanza kuvunwa Kama zao la Nyuki pia tofauti na Asali. Ili kutambua gundi hii hupatikanaje tunapaswa kujua...
4 Reactions
3 Replies
607 Views
Habari wadau; Leo naomba nidokeze namna ya kugawa Mzinga wenye nyuki ili kujaza mizinga yako mipya isiyo nyuki kwa njia ya haraka badala ya kutumia njia ya awali ya kuwatega na kungoja waingie...
5 Reactions
36 Replies
7K Views
Nchini Tanzania ni kama maeneo mbalimbali barani Afrika, kumekuwa na ufugaji wa nyuki kwa ajili ya uvunaji wa mazao yake ili kujipatia fedha lakini bahati mbaya kumekuwa na uvunaji wa mazao...
12 Reactions
28 Replies
8K Views
Kumekuwa na maswali mengi kutoka kwa watumiaji asali ambao wengi wamekua wakiuliza kutaka kujua kama asali iliyoganda ni nzuri au imechakachuliwa. Wengine wamekua wakiamini asali iliyoganda...
12 Reactions
23 Replies
5K Views
Ndugu mwana JF! Kwa wenye uzoefu na matrekta, unahisi trekta gani limeonesha usanifu shambani(ulaji mzuri wa mafuta>upatikanaji wa vipuli>kudumu kwa chombo husika) katika ardhi ya Tanzania!?
5 Reactions
12 Replies
870 Views
Kama kuna wanaopenda kufuga wanyama hasa Mbuzi (wa maziwa, nyama) njooni tuunganishe nguvu tufanye mambo. Inawezekana kabisa tukafuga kwa mafanikio sana. Kila kitu kipo ndani ya uwezo wetu. I...
13 Reactions
441 Replies
202K Views
Wakuu kisima changu kimejaa vyura kibao. Sasa nimewaza badala ya kujaza vyura si bora nifugie samaki. Maana kama vyura anaweza ishi samaki pia anaishi. Nataka nitafute niweke Kambale maana ndo...
8 Reactions
71 Replies
2K Views
Maua nyoka(sanake plant) huwa yanapamba nyumba,nimeyaotesha lakini naona yanachelewa kukua,kuna mdau humu ana ujuzi nayo anipe utaalamu wa kuyaotesha?
0 Reactions
8 Replies
469 Views
Wakuu salaam. Niende moja kwa moja kwenye mada. Iko hivi am about 36 now na kila nikiwaza after 20 years nitakuwa na maisha gani kwa maana kiuchumi, sipati jibu sahihi. Pia kila nikiwaza hivi...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau mbalimbali wa kilimo na ufugaji, ninaomba muongozo wa namna bora ya kutumia Samadi ya asili shambani. Kwa kuanzia, nilitaka kufahamu, Samadi ipi ya asili inafaa shambani kwa kilimo cha mboga...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Habari wanajamvi. Nimekuwa nikikabiliana na woodworms (wood borers) kwenye miti na mbao hasa ni wale long-horn beetles wadudu wanao kula mbao kwa muda mrefu kwa kutumia aina tofauti todfauti ya...
1 Reactions
11 Replies
525 Views
Back
Top Bottom