Habari waungwana. Kuna mwenye ufahamu wa yalipo mashamba ya mpunga ya scheme ya umwagiliaji Ruvu? Au mwenye taarifa kuhusu kilimo katika scheme hii aelezee tafadhali. Shukran.
Habarin wadau
kwa mwanakilimo yoyote ili afanikiwe lazima ajiongeze na kwa sasa ajira ni ngumu sana.
Jongoo wamekuwa kimbilio kubwa la utajiri kwa sasa huna haja ya kutumia pesa ndefu kuwekeza...
Wanajukwaa nawasalimu.
Hivi gharama za kuunda ngalawa yenye uwezo wa kubeba hadi tani 1 ya mzigo...inaweza kuwa bei gan?? Na ni wapi hasa wanapatikana wahunzi wabobezi katika ukanda wa pwani?!?
Habari wana jf nakuombeni kujua zaidi ni wapi hizo lishe za ng,ombe mmoja kuongezeka kilo 2 na nusu kwa siku zinapatikana wapi katika mikoa ya Arusha na Moshi Natanguliza shukran
Habarini za siku.
Naomba kujua idadi ya miche ya minazi inayoweza kupandwa kwenye eka moja ya ardhi. Pili nataka nijue aina ya mbegu bora kwa mazingira ya mkoa wa Pwani.
Habari za wakati huu, naimani ni wazima bukheri wa afya na mungu anaendelea kutupigania kila iitwapo leo.
Niende kwenye mada moja kwa moja. Binafsi nimekuwa na mpango mkakati kwa muda sasa...
Nahitaji MTU wa kuniuzia dawa zifuatazo kwa bei ya jumla,amprolium,salfa dimin,s-dime,chick formula,OTC powder,trifarm,esb3,egg boosta,ascarex,piperazine,ant cocidiosis,farm acid,layer premix,na...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naishi Rufiji Bungu, ni eneo linalojishughulisha sana na shughuli za kilimo hasa mihogo, ufuta na korosho. kipindi hiki ni kipindi ambacho ufuta unavunwa...
Salaam wanabodi
Naomba link ya kujoin whatsap group la wafugaji wa ng'ombe na mbuzi,
Nategemea kuanza ufugaji, hivyo nahitaji maarifa kutoka kwa wafugaji na wadau kutoka huko.
Nategemea msaada...
Habari wadau wa JF:
Kwa wenye utaalamu na hili,
Nimenunua kuku nikamwandaa vizuri na kumpika kwa takribani dakika 50 au saa 1.
Nimeshangaa baada ya kuchukua nyama nimekutana na minyoo ikiwa hai...
Nilitamani kufuga kuku wa kienyeji ili nivune mazao yao.
Changamoto ninayoipata ni wadudu jamii ya utitiri. Yaani ukienda kuwafungulia banda lao unakumbana na utitiri wa kufa mtu.
Hapa nilipo...