Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Tanzania kuna upotoshaji mkubwa sana, wengi wetu ni waongo waongo sana. Penye ukweli tunapindisha. Ili ufuge kuku wa kienyeji, tena kwa banda la hali ya chini kabisa, ni lazima uwe na vitu...
15 Reactions
155 Replies
32K Views
Tanzania kuna upotoshaji mkubwa sana, wengi wetu ni waongo waongo sana. Penye ukweli tunapindisha. Ili ufuge kuku wa kienyeji, tena kwa banda la hali ya chini kabisa, ni lazima uwe na vitu...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama kichwa Cha habari, nimefuga kuku (KROILER)kwa ajili ya biashara Ni mwaka Sasa lakini bado faida siioni na changamoto hasa magonjwa Ni kubwa sana. Hi niliplan iwe project A na nilikuwa pia...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwema wadau! Nina kama M 1 nataka kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya ila sina uzoefu sana kwenye hiyo mambo kama kuna muelewa anayefahamu kilimo hicho anipe mwanga nisije ingia choo cha kike...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habarini na poleni na mihangaiko ya hapa na pale... Wakuu nilikuwa nakijimtaji cha laki 5 hapa , na mwaka huu nataka kufuga kuku wa kienyeji, na baadaye nije nichanganye na chotara au...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Wakuu habari zenu Nina tatizo la kuku kudonoana sana.hali ni mbaya wanadonoana kiasi napoeza kuku wengi kwa vifo baada ya kudonolewa zenyewe kwa zenyewe kuku wana umri wa miezi miwili ni kuku wa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Karibu katika secta ya ufugaji wa samaki
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu kwa wle wafugaji wa broilers wazoef kuna mtu alinambia kuna dawa ya kuchanganya katika chakula cha kuku kinachowakuza kwa wiki 3 wanakua tayar kwa kuuzwa, kwa anayeifaham hiyo dawa naomba...
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Hivi karibuni biasharz ya sangara imekuwa kubwa sana mpaka bei ya kilomoja imefikia Tsh 5000 huku mawenzi mkoani Morogoro. Nimedadisi nimeambiwa ni kutokana na mautumbo ya koromeo (Bondo) ni...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mpenzi msomaji wa blog hii leo napenda nikuletee kitu kingine tofauti kidogo na ambacho blog nyingi za kilimo, ntapenda kukuletea baadhi ya vifaa ambavyo hutumika shambani hivyo wewe kama mkulima...
3 Reactions
8 Replies
12K Views
Habari bandugu! Naomba wanaoelewa wanielimishe kuhusu dagaa wanaofaa kuchanganywa kwenye chakula cha kuku kati ya wale wanaotoka ziwa Victoria na wale wanaovuliwa baharini.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu nina shida moja nahitaji msaada kidogo kuhusu taarifa au mtu yeyote ambae ameshawai kufanya kilimo cha mpunga cha umwagiliaji katika mikoa ya Morogoro na Mbeya 1.Kianzio...
2 Reactions
23 Replies
8K Views
Entomophagy ni neno la Kigiriki ambalo lina maana ya ulaji wa wadudu kwa binadamu na non human being. Entomon ni Wadudu na phagein ina maanisha kula. Zaidi ya makabila 3,000 duniani unaambiwa...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Kweli Nna mkono wa kupanda vitu Naona pilipili yangu imekubali Ni vzri kupanda vitu vidogodogo nyumbani Syo kila kitu kwenda nunua sokoni Ova
18 Reactions
68 Replies
7K Views
Hi? Greenhouse Tanzania ni wataalam wa ujenzi wa wa greenhouse na mifumo yote ya umwagiliaji. Pia ni wataalam wa kilimo na hutoa ushauri juu ya kilimo na changamoto zinazompata mkulima. Pia...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Naombeni msaada juu ya maelezo ya jinsi ya kupata mbegu ya ng'ombe kutoka shamba la kitulo lililopo Makete-Njombe ikiwa ni pamoja na bei yake kulingana na umri na kama naweza pata mawasiliano yao...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Ikumbukwe kuwa wk chache nilileta Idea kama watu watapenda kushare kwenye project ya kiwanda cha Maziwa Morogoro. Thanks waliojitokeza. I received almost 30 request of interested ventures. Luckly...
5 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wanaJF. Naombeni msaada wenu, nataka nifungue mashine ya kukoboa na kusaga mahindi. Naombeni mnisaidie jumla ya gharama kwaajili ya kufanikisha hiyo shughuli. Inshort nataka kufungua...
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Habari wa ndugu Mimi nimfugaji wa ng'ombe, jana ng'ombe alizaa ndama bila hata msaada wowote yaani kusaidiwa kuvuta ndama, na tayari kondo limetoka. Leo nimerudi kazini nimekuta ng'ombe(mama)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu, Nahitaji kufuga kuku wa Mayai, ila sijui pa kuanzia. Naomba msaada wenu mnielekeze ili niweze fanikiwa lengo langu. Je Nikiwa na milion mbili yatosha kuwa mtaji wa kuku wamayai?
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…