Habari wadau, nimeanza kamradi ka ufugaji wa mbuzi hivi karibuni ila tatizo kuna baadhi ya mbuzi pembe zao zina ncha kali hivyo naona kama zinahatarisha wao kwa wao kuumizana, nimepata wazo la...
Parachichi limekuwa zao mbadala la biashara hususani kwa wilaya za Rungwe, Njombe na kwingineko kwenye hali ya hewa inayofanana na wilaya hizo.
Zao hili limekuwa muhimu kwa kuwa husafirishwa...
Natumaini mnaendelea vizuri na shuguli za kila siku, pitia kiambatanisho hapa chini kama unataka kujikwamua kupitia ufugaji wa kuku na mazao yake. Pia usisite kuwasiliana na sisi kwa mawasiliana...
Habari wakuu.
Katika harakati za kupata maarifa mapya mtandaoni nilikutana na hawa mbuzi (picha chini) maelezo niliyosoma kuwahusu ni kuwa;
hawa ni mbizi wa nyama wanao uwezo mkubwa wa kupata...
1.Protini.
2.Mafuta.
3. Wanga.
4. Madini.
5. Vitamini.
1.PROTINI
Ni aina ya vyakula ambavyo kazi yake kubwa ni kukuza mwili navyo ni kama ifuatavyo, Mtama, Dagaa, Alizeti na Soya. Hivi vyote...
Natamani kufuga samaki wa maji ya chumvi lkn sina uzowefu wala ujuzi wa namna ya kufuga ,Nina mpango wa kuanza na samaki ,kamba au mud crabes (Kaa tope).je naweza kupata utaalamu hapa auu ushauri...
Habari wadau,
Nina shamba langu la hekari mbili na ninatka nifanyanye kilimo cha umwagiliaji wa kutumia gun sprinkler, naomba mnisaidie ni gun sprinkler ipi nzuri kwa kutumia kwenye kilimo cha...
Binafsi nimeamua kujiajili kwenye sekta ya Kilimo, nimejikita kwenye zao la Mahindi na Karanga.
Changamoto mbalimbali zinanikuta kutokana na wadudu waharibifu wa mazao, kuna dawa ambazo...
Ninaguruwe 2 walizaliwa mwezi April 2016 , wanazaidi ya mwaka sasa lakini hawaingii joto ili niwapandshe, naomnba ushauri wako nifanyeje, nimejaribu kuwapa chumvi naona bado tu, msaada wako ni wa...
Protocol observed
Mimi ni muumini sana wa kutumia technologia za ndani na bidhaa zinazozalishwa nchini mana kwa kufanya hivyo naamini kuna watanzania wenzangu nimewasaidia ugali.
Jambo lililo...
Wadau.. Hii ni mbegu ya mahindi ambayo niliichukua kwa rafiki yangu
Lakini yeye hajui ni aina gani hakumbuki kifupi. Mimi nimepata kujua ni mbegu bora ya mahindi, lakini ni aina gani hasa...
Habarini wana jukwaa
Nina mpango wa kuanza ufugaji wa kuku wa mayai.
Naomba msaada wa kupata mfugaji wa kuku hao anayefuga kwa large scale itakua vizuri zaidi,niweze kumtembelea ili nipate kufanya...
Habari wana janvi nimesikia kuna machine inayo weza kurahisisha upandaji wa mazao kama mahindi, karanga nk je kuna mwenye taarifa sahihi juu ya hili na wapi zinapatikana bila kusahau na bei pia ...
Kwa wale ndugu zangu wenye mawzo mazuri ya kilimo na ufugaji wakati ni huu tumia fursa hii bofya hapa AECF Agribusiness Africa Window Great Business Ideas
Mimi ni mkulima mdogo wa machungwa niko Muheza Tanga. Ila kwa mwaka huu wakulima wa machungwa tumeangukia kabisa kwani machungwa yanaoza wanunuzi hawaonekani Tumezoea ikifika mwezi huu wa Tisa...
Profesa Aboud
Kwa ufupi
Watanzania wengi wangeweza kulima mboga, hivyo kuwasaidia kiuchumi kupitia njia hii.
Watu wengi katika jamii za mijini wameshindwa kuendesha shughuli za kilimo...
Habari wanajamvi
Katika pita pita zangu kwenye mitandao nimeona aina ya kuku ambayo sikupata kuisikia - BUKINI. Najua kuwa kuna BATA BUKINI kumbe sasa hata KUKU BUKINI wapo? Kwa wale...
Tunaendelea na Muendelezo wetu wa jinsi ya kushinda na uwe katika mafanikio katika biashara ya network marketing( Biashara ya Mtandao ) sehemu ya pili tulielezea sababu za kushindwa kufanikiwa...