Igweeee..
Ni matumaini yangu mu-wazima wa afya.
Naamini wafugaji wakuku mnatambua uwezo mkubwa wa kuku katika kutambua hatari iliyo mbele yake; kama vile mwewe, kipanga, mbwa, paka, nyoka na...
Wapendwa
Kwa muda sasa naona mbegu za Mapapai zilizoko sokoni, ni Malikia kutoka China tena kwa bei ya juu sana (around 15,000shs pct ndogo)
Ina maana sisi (TANZANIA) hatuna mbegu zetu mbadala...
Kilimo hai au organic farming ni aina ya kilimo kinachozingatia matumizi endelevu ya rasilimali za uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo. Kilimo hicho kinatumia mbolea na madawa yasiyotengenezwa...
Habari zenu Wajasiliamali!
Nakuja tena wadau hasa kwa wale wenye idea juu ya zao na la karanga katika soko na kilimo chake naombeni uzoefu wenu,juu ya zao ilo na changamoto zake hasa katika...
Mradi mkubwaa wa kilimo cha kisasa cha kibiashara zao la korosho na alizeti, waanza kupitia kampuni ya namaingo business agency ltd.
Mkurugenzi wa kampuni ya Namaingo anapongeza uongonzi wa...
Pamoja na umuhimu wa zao la nyanya, wadudu waharibifu na magonjwa huathiri uzalishaji na ubora wa matunda. Sasa ili mkulima aweze kupata faida na kuongeza pato lake ni vema kuzingatia udhibiti wa...
Kwenye Kilimo kuna Chaine kubwasana.
1. Kuna wauzaji wa pembejeo za Kilimo hao nao ni wakulima.
2. Kuna Wanao toa mikopo ya Kilimo pekee.
3. Kuna wakulima wenyewe.
4. Kuna Processor wa Mazao...
Habari za zenu!
Napenda leo kushea makala hii ndogo niliyoiandaa inayozungumzia masuala ya ulipaji wa kodi katika shughuli za kilimo. Na nimeona niilete makala hii hususani katika jukwaa letu...
Kama kichwa hapo juu nna ujuzi kiasi juu ya ufugaji wa kuku wa aina zote, ila nimehangaika sana kutafuta mtaji ,wapi ntapata mkopo wenye liba nafuu? NB. Npo Dodoma city
Mimi nina mtaj wa 650000. Je nlikua naomba mnijuze kilimo gani kwa bei hiyo itafaa? au
kama kuna biashara nyingine nzuri inayolipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo katika ufugaji wa kuku wa kienyeji na wa Malawi kwa muda mrefu. Ni mwaka wa pili sasa vifo kwa kuku vinaongezeka licha ya kutimza chanjo za Newcastle, gumboro na ndui kwa wakati mwafaka...