Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari za asubuhi wana jamvi. Kama kichwa cha habari kinavyosema, ni nini sababu ya matunda matikiti kuoza yakiwa bado madogo. Kwa mara ya kwanza nililima matikiti mwezi wa tisa, kwa bahati...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Wote Mnakaribishwa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka 2015 nilifanya maamuzi ya kutafuta shamba, Mungu mwema nikapata ekari 3 na nusu. Tangia hapo mpaka leo nimehangaika na hilo shamba kulibadilisha from pori, visiki, miiba, kupishana na majoka...
13 Reactions
30 Replies
4K Views
As the global population swells, so does the need for food. Could a Netherlands approach to farming that doesn't rely on soil, sunshine, water and pesticides be the answer? The small...
4 Reactions
0 Replies
725 Views
Kama kuna mwanajf mwenye kunijuza maeneo zilipo tunda la parachichi aina ya hass kwa Moshi au Arusha anipe info's anijuze hapa au aje PM kama yuko nazo, siitaji parachichi kuchukua maeneo ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu Kama ww ni mkulima wa viaz mviringo au uko maeneo ya njombe na unafaham ishu ya viaz tuwasiliane Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nitatatizo na aina hii ya mdudu anasumbua Sana shambani kwa anaejua dawa ya kumuua maana nimehangaika Sana nimetumia dawa Kama sala naka na aina nyingine lakini hafi. Sasa naombeni kwa anaejua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu Naombeni msaada kwa yeyote anayeifahamu mvomero vizuri. Katika mishe zangu za kutafuta liziki nimepita wilaya ya mvomero na imenivutia. Sasa wadau nataka kujua roughly bei za ardhi huko...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu sisi huku shinyanga tumekuwa tukihangaika na panya wanao kula mimea inapo ota au kabla ya kuota yaani wanafukua na kula punje ya mumea Mazao yanayo liwa na panya ni mahindi, mpunga...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naombeni kujuzwa,nahitaji 1m ,tu vigezo vikoje kwenye hii benki,maana huku kwetu naiona kwenye tv,tu tafadhali nisaidieni Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nawasalimu wote. Mwaka huu nimeazimia kujikita katika kilimo, kwa kuanzia nimepata shamba eka moja, nataka nianze kilimo cha mahindi. Hivyo basi naomba wataalamu wa kilimo wanijuze mbegu kiasi...
0 Reactions
4 Replies
763 Views
Mwaka Jana nimefanya uchunguzi nimegundua Kuna fursa ya biashara ya karanga zikiwa mbishi hasa pale ukiwahi mapema Sana. Debe 1 linauzwa kuazia 10000 to 20000 vijana tusibague kazi. Pesa ziko tu...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Leo ningependa nitoe somo juu ya Kubalance Biological cycle katika bwawa la samaki. Hapa ni katika aina yoyote ya bwawa la samaki. Wafugaji wengi wamekuwa wakifuga na bila kujua au kuelewa jinsi...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Kwa wale wataalam au kama kuna yoyote ambae amewahi kufanya biashara ya kuuza mihogo kutoka shambani, pisi 3 au 2 za mihogo ina maana gani.? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Habari wana Jamvi. Naitwa Costantine Edward ni Co-founder na C.E.O wa kilimo smart app, kwanza napenda kutoa kheri ya mwaka mpya 2019 kwenu nyote. Lengo: kilimo smart ni application ambayo...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta Mkopo wa milioni mbili na nusu ya kilimo cha Maua ardhi ninayo ila nimepelea hicho kiasi. mkopeshaji anakua partner ata pata 30%
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hizi pilipili mbuzi zinatatizo gani? Kwani kila nikienda kwenye maduka ya kilimo naambulia kununua madawa tu lakini mmea hauna dalili yeyote ile ya kupona dawa nilizo tumia ni super vory, ridomil...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesikia na kuona viongozi wengi wakiliongelea swala hili, na Magesa Mulongo asema hivi
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ya majukumu wadau wa kilimo na ufugaji. Nimefuga kuku wa kienyeji. Wiki iliyopita niliona kuna kuku amepoa sana. Sasa kadiri siku zinavokwenda. Huyu kuku anavimba eneo la jicho mpaka haoni...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Niko Dar nataka kupanda nanasi kwenye kiwanja changu. Kina ukubwa wa nusu eka kiko kongowe. Naomba kujuzwa aina ya minanasi inayofaa eneo hilo na wapi nitapata mbegu/miche yake
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…