habari wana jf naomba msaada wenu kama kuna mtu anaelima kilimo cha mpunga shadidi nahitaji kuingia katika hiki kilimo kwani nimeona ni chenye tija na manufaa.
naomba kama unafanya hichi kilimo ni...
habari wana jf naomba msaada wenu kama kuna mtu anaelima kilimo cha mpunga shadidi nahitaji kuingia katika hiki kilimo kwani nimeona ni chenye tija na manufaa.
naomba kama unafanya hichi kilimo ni...
Ninahitaji mtaalamu wa nyuki kuendesha na kusimamia kalenda ya ufugaji nyuki, uvunaji na packing. Awe na elimu ya Diploma au cheti na uzoefu wa mambo ya nyuki na awe tayari kukaa shambani kwa...
KILIMO NI MWALI HAJAREMBESHWA
Tanzania imebarikiwa sana kwa biashara ya kilimo. Hebu tizama hii:
1. Imezungukwa na nchi nane sugu kwa njaa
2. In maziwa makubwa kama Victoria, Nyasa, Tanganyika...
Natumaini humu Kuna wataalamu na wasomi. Nimeamua kuwekeza ktika kilimo hasa Cha umwagiliaji. Hasa nahitaji washauri na wataalamu juu ya drip irrigetion gaharama zake na ufundi pamoja na vifaa kwa...
Kutokana na kuombwa sana kufundisha kuhusu kilimo hiki nimekuja na wazo tofauti
nakaribisha watu kumi wa kujifunza kuanzia upandaji wake hadi kuvuna
kila mtu atachangia tshs elfu 50 itatumika kwa...
Wadau nakuja tena jukwaani kwa mara nyingine kutaka kujifunza zaidi kutoka kwenu!
Leo ningependa kupata elimu toka kwenu juu ya kitu kinachoitwa Giligilani au Coriander kwa lugha ya kigeni...
habarini wadau wa JF
Kwa kweli mwaka huu nimeamua kuaanza ufugaji wa kuku wa kienyeji
Ningependa ushauri wenu kwani niataka kujua vitu gain nahitaji ili niweze kufuata ndoto yangu ya ufugaji wa...
Habari wanabodi,
Ni wakati serikali kupitia wizara ya Mifugo na Uvuvi kuangalia mienendo ya breeders wa kuku wa nyama wanavyoshindana na wafugaji wadogo kwenye soko. Nadhani ni wakati wa vyombo...
It's a new teacher's college looking for self driven Female senior Tutor with leadership skills and enough teaching exprience at least of btn 5 and 10 yrs.
Must be a graduate in B.A Educ...
Unapofikiria kufanya mradi wa ufugaji wa kuku , hitajio la kwanza na la muhimu ni kuwa na mabanda bora ya kufugai kuku wako. Kwa bahati mbaya sana ujenzi wake umekuwa ghali na hivyo kuwakatisha...
Muhimu sana wakuu.
Tanzania yetu, ya viwanda inahitaji maendeleo na uwekezaji wa kudumu katika kilimo na biashara.
Kilimo cha miti, ni kilimo kikubwa na kina faida sana kwa nchi yetu, kutokana na...
Hbr za leo wakuu,tafadhali naomba msaada ktk maswala yafuatayo:
1. Je naweza kuwachanja kuku
wangu chanjo ya ndui japo muda
umeshapita?
2. Ni sahihi kuwachanja kuku chanjo
hii wakiwa...