Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

jamani msaada kwa mtu ambae amesha fanya hii biashara bucha je inalipa sh ngapi kwa kilo moja
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninafuga ng'ombe wa kisasa.Kipindi hiki cha mvua wanakula majani mabichi na machanga maana yako kwa wingi.Nimegundua maziwa wanatoa ni bora lakini sio mazito kama wakati ule wa kiangazi.Wazoefu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wapendwa,nina nusu heka ya shamba nahitaji kulima nyanya...je, ni kiasi gani cha pesa naweza kugharamia kuanzia ununuzi wa miche mpaka kufikia kuvuna wapendwa
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wapendwa nahitaji kufanya biashara ya samaki Kutoka tanga to Moshi Au mwanza to Moshi Kwa wezangu ambao wameisha Fanya biashara hiyo naombeni.ushauri wenu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Ndg. wana Jff. . . . . Kama kichwa tajwa hapo juu cha mada, Mimi ni mjasiriamali ambaye nalenga ufunguzi wa duka la pembejeo za mifugo. Hivyo niko mbele yenu kuhitaji msaada wa jina ambalo...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
wakubwa nataka kuagiza mashine ya kukobolea mpunga nje naomba kujua hatua za kuchukua mpaka i aingia site. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Nahitaji kufahama kuhisu ufugaji wa swan bata bikini (goose) na turkey (bata mzinga) nahitaji kufahamu bei ya vifaranga wao,wakubwa na bei ya mayai yao.Pia wapi wanapatikana
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wapendwa nimechoka na ajira za kubangaiza za bongo, nahitaji kuanza kilimo cha zao la beetroots maeneo ya Dodoma, Morogoro, Singida au Shinyanga. Ninachoomba msaada kwa wanajukwaa ni haya maswali...
4 Reactions
119 Replies
27K Views
Kuna aina nyingi sana za mbegu za Nyanya Hybrid. Zifuatazo ni mbegu na maeneo zinazokubali na kupata mavuno mengi. 1.Eden f1 inakubali maeneo yote tanzania. 2.Assila f1 tanzania nzima...
1 Reactions
18 Replies
31K Views
Babu yangu alikuwa na ardhi kama ekari 70 hivi lakini hakujua alifanyie nini maana kilimo cha kipindi hicho kilikuwa cha chakula ,hivyo ekari 70 ulime ale nani kila familia ina ekari 5 zenye kila...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu natumai nyote muwazima naombeni msaada mimi ni mkulima ninaemiliki shamba mkoani Tanga wilaya ya kilindi kijiji cha masagusa, nimekuwa nikisumbuliwa mara kwa mara na wafugaji jamii ya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari zenu wa ndugu? Kwa yeyote mwenye kujua biashara ya kuku wa kienyeji kwa yule anaye nunua na kwenda kuuza sehemu nyingine. Mwaswali yangu ni je, 1. Kuku wa kienyeji wanapatikana wapi kwa...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Mwenye taarifa ya soko la uwakika anishauri nataka niende shamba.
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Vifaranga vya mayai huchukua kati ya week 18-20 kuanza kutaga. Baada ya hapo huendelea kutaga mayai kwa mwaka mmoja. Baada ya mwaka mmoja kuku hawa huzeeka, utagaji unapungua na kukoma, manyoya...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Nipo Moshi Mkoani Kilimanjaro. Ninaplan ya kuanza ufugaji wa kuku. Nimejenga banda la matofali ya kuchoma lenye urefu wa mita 9 kwa mita 4 na kimo cha mita 2.3. Limeezekwa kwa...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Mimi nimkulima wa kawaida nataka nianze kutumia mbolea za madukani lakini kabla sijaanza kutumia nimeona si vyema kuacha kuwashrikisha wana jf maana humu kuna watalamu na wazoefu wa masuala ya...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Wajasiriamali habari zenu poleni na majukum ya kitaifa....Nina kiasi cha milioni moja na nusu bajeti hii naweza kuwalisha kuku na madawa mpaka watakapo anza kutaga? Pesa ya kununua vifaranga...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Wasalaam! Waungwana naombeni ushauri wa zao linalostawi zaidi kwa mikoa ya Pwani/ Tanga na lenye faida kwa mkulima. Zao lipi linafaa zaidi kati ya nanasi/ machungwa/ maembe mapapai? Natanguliza...
5 Reactions
72 Replies
14K Views
Naomba ushauri wenu, kuku gani ni wa faida kwa dar, banda linaweza kunigharimu kiasi gani, nianze na kuku kiasi gani, kuku wa kampuni gani ni bora zaidi. Nawasilisha
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Katika pitapita zangu Leo mashambani nimekutana na mkulima moja akitumia sabuni ya Unga Kama dawa yakuuhuwa wadudu kwenye maindi anasema ni sumu Nzuri ya kuuhuwa wadudu kwa anaye fahamu zaidi je...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…