Ukiangalia sector ya kilimo na ufugaji hutupatia fedha nyingi na ajira nchini lakini serikali haiweki macho katika nyanja za mwanzo na zenue kuleta wataalam katika sector hizi.
Ukiangalia katika...
Habari yenu wakuu hapa JamiiForums. Kwa namna ya pekee kabisa tunatoa shukrani zetu kutoka kwa wadau mbalimbali waliotoa maoni juu ya tread yetu ya kwanza kuhusiana na zao la parachichi mkoani...
Wakubwaa..!
Samahani kwa yeyote anae fahamu bei ya Ndizi Tukuyu/Kiwira na utaratibu unaotakiwa kufuatwa ukitaka kununua.
Pia namna ya kusafirisha mpaka Dar es salaam nauli zinakuwaje, kodi pia...
Nina mbwa mkubwa.
Sasa kila mara nikiongeza wadogo ili niongeze idadi hawakai hata mwezi wanakufa.
Wanapitia dalili za kunyongonyea, kupoteza hamu ya kula, wala hawarishi na then hata kam tabibu...
Salam Wakuu,
Nnatarajia kuwa mmoja wa wakulima wa tangawizi kwa mkoa wa kilimanjaro. Lakini kabla sijajitosa wakuu naomba mwenye kujua vizuri hichi kilimo anielezee.
[emoji295]Jinsi yakukilima...
Nimegundua soko zuri sana la mbweha ninataka kuanza kuwafuga. Kuna watu wanapenda kufuga mbweha kuliko hata mbwa kwa sababu mbweha walifuugwa wanafurahisha sana kuliko mbwa wa kawaida; wanajua...
Eti wataalamu, tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini? nyuki hao wanatofauti gani zingine mbali na ukubwa? maana binafsi huwa naona hili suala ni la marketing tu ili kupiga watu bei.
Habari MwanaJF,
Sasa nimesafirisha nje ya nchi. Niko Ulaya, nilipata hapa paka.
Ninataka kurudi nae Tanzania, lakini shirika la ndege liniambia lazima kuwa na kibali cha import (certificat of...
Habari ndugu zangu, natumai sote tunaendelea kusherehekea vyema sikukuu. Nahitaji shamba la kukodi Mikese: naomba muongozo kwa wazoefu au kama wako humu wanaoishi maeneo hayo. Asante.
Natumaini nyote hamjambo!
Mie naitwa Kakuyu, naomba ushauri mahsusi kutoka kwa waliokwishafanya Kilimo cha Maembe na Minazi.
Nina shamba lipo Kisarawe maeneo ya Masaki (Mji Mpya) lenye ukubwa wa...
Wadau!
Naitaji kuku (Matetea) yanayokaribia Kutaga au yanayotaga kwaajili ya ufugaji. Wawe watagaji wazuri niko Bunju Dar es salaam.
Aliyenao naomba anicheck PM.
Habari za leo viongozi!
Naomba kwa mtu ambaye anajua mchanganuo halisi wa kilimo Cha tikiti anisaidie kuhusu vitu vifuatavyo:
1.Gharama za mbegu za kutosha eka 1
2. Idadi ya Miche katika eka 1...
Bata wako under rated sana ila ni project ambayo mtu anaweza tengeneza pesa ndefu sana tena mno. Wengi tunakomaa na kuku nakujikuta Market share ndi ndogo sana.
Mayai ya Bata ndio hutumika kwenye...
Ni uwekezaji mzuri, kama umeweka pesa Bank kwenye Fixed Account. Mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa Tsh. 900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka 6. So, hekari moja ina miti 600 baada ya...
Habari wanajukwaa la kilimo na ufugaji,
Tafadhali rejea kichwa cha mada.
Ng'ombe hapa nyumbani siku za karibuni amekuwa akitoa maziwa ambayo kwa kweli ni kama maji, hayana uzito wowote na hata...