SIO MBAYA wajenxi kukumbushana wapendwa
Najua mpaka tunajenga tunahangaika sana sana kuweza kujenga
Hizi changamoto utazikuta wakati WA ujenzi
Ukiwa unaenda kununua mbao hasa pale buguruni...
Habari za Asubuhi wadaunwa sekta ya Kilimo,
Naomba kuuliza je ni siku ngapi mbegu ya tikiti ya sugar queen F1 toka hutumia hadi kutoka ardhini maana ya kwangu ni siku ya tisa bado haijatoka na...
Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga.
Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje.
Pembeni limepakana n...
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa aina nzuri ya mbegu ya maharage soya ya njano, nmeambiwa zipo aina zaidi ya moja itapendeza mkiweka na bei yake.
Mbegu ambayo inafanya vizuri shambani na...
Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu
Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi
1,hali ya hewani
2,aina nzuri ya mbegu
3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa...
Nimefanikiwa kupata shamba la ekarim kama 50 ambapo kati ya hizo 20 ni msitu, lina chanzo cha maji cha ukakika na nimeshauriwa nifuge nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa.
Niefikiria kuweka...
Poleni na mihangaiko ya kila siku.
Naomba kama kuna mtu anauelewa juu ya kilimo cha matunda machungwa kwa mikoa ya Tanga, Kibaha na morogoro (hata sehemu moja).
Anisaidie kunijuza juu ya...
Wasalaam.
Huku Karatu mahindi yameota vizuri ila mvua hakuna.
Ikipita wiki moja hakuna mvua yanaelekea kukauka
Sijui maeneo mengine ila hali ya hewa ikiendelea hivi ni hatari.
Wanajanvi Salaam,
Ni matumaini yangu wanajanvi mko wazima na mnaendelea na harakati za upambanaji wa kutafuta mkate wa familia.
Napenda kuleta mlejesho wangu kuhusu safari yangu ya kwenda Mpanda...
Habarini watu wa Njombe, nchi iliyosheheni "asali" na "maziwa"!
Mwanzoni mwa mwaka huu nilifanya ziara mkoani Njombe, ziara ambayo ilinifungua macho kuhusu "utajiri" uliopo Njombe.
Katika hiyo...
To determine whether coffee or potatoes are more profitable per acre in Tanzania based on a one-year output, assuming the farms receive the best services (optimal inputs, management, and market...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, ameendelea na jitihada za kuhamasisha wakulima kulima kilimo cha kisasa cha pamba ili kuongeza mavuno na kuinua uchumi wa wakulima na taifa kwa ujumla...
Watu wengi wanatamani kufuga samaki lakini wanakosa taarifa sahihi juu ya namna bora ya kufuga samaki, moja kati ya vitu muhimu kwenye ufugaji wa samaki ni kuwa na mbegu bora ya samaki, nikisema...
Habarini wakulima wenzangu.
Mimi mkulima mpya (form one) nimejiandaa haswaa na kilimo kipindi hiki kuelekea mvua za vuli.
Hofu yangu kuu ni mvua kwani kilimo nilichopanga kufanya kinategemea mvua...
Habari za wakati huu wakuu,
Leo tunawaletea mada muhimu kuhusu "Mikoa 10 Inayoongoza kwa Uzalishaji wa Chakula Tanzania". Tanzania imebarikiwa na ardhi yenye rutuba na hali ya hewa inayofaa kwa...
Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku Rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa...
Nina shamba ekari 15 lililopo Mbeya. Natafuta mtu wa kuunganisha naye nguvu tufanye kilimo cha alizeti.
Kilimo cha umwagiliaji pia kinaweza kufanyika kwakua shambani kuna miti inayotoa maji.
Nina kuku wa mayai zaidii ya 800+.. lakini Kwa Sasa wanashambuliwa na ugonjwaa wakuharaa kinyesi cha njano na cheupee nimetumia dawa za kutosha, ushaurii kutoka Kwa wataalamu lakin wapii sijaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.